Phishing occurs when a third party attempts to impersonate a genuine source to send or infiltrate fraudulent communications. Typical examples include impersonating banks, insurance brokers and cloud storage providers. Phishing techniques are commonly disguised within genuine-looking emails and...
Katika Jedwali la kodi la TRA unatumika mfumo wa kutumia turnover kukadiria kodi.
Kwa mtu mwenye turn over isiyozidi milioni 20 analipa presumptive tax ya tzs 865000 ambayo ni sawa na kama 5% ya mapato yote kwa mwaka ambayo ni sawa na kiasi cha TZS 72000 kwa mwezi.Iwapo hesabu hazijakaguliwa...
Mimi binafsi nincho kitambulisho cha TAIFA ila baada ya kufikiri nimeona kwamba kwa sababu tayari tunao uwezo kuomba Passport online kwa nini mifumo ya NIDA isibadilishwe kumwezesha mtu kuomba kwa njia ya online na kisha taratibu za uthibitisho na kukusanya kitambulisho ndo ziwe manual.Hii...
Habari wadau;
Binafsi huwa napenda kufikiri nje ya Box.Gharama na muda wanaotumia Utumishi katika kuwaita watu kwa mitihani kusahihisha n.k.unaweza kusahihishwa kwa kuleta mfumo wa Aptitude test ambayo inafanyika online.Yaani baada ya kuomba nafasi,muombaji atafanya timed tests online kwa ajili...
Are you fascinated by the web and want to get a glimpse of the tricks of web development?
Do you want to learn web development and start building your own website for your own business?
Do you want to employ yourself and earn additional revenue by taking up web development jobs
Are you a web...
Kuwa mjanja
Je wewe ni mjasiriamali ambaye mara kwa mara unatoa quotes pamoja na invoices kwa ajili ya wateja wako?
Je huwa unachapa vitabu vya quotation pamoja na invoices kwa ajili ya Biashara yako
Je unapenda kupunguza gharana za uendeshaji?
Je ungependa kupunguza matumizi ya karatasi ili...
Moja kati ya maswali na changamoto ambazo huwa nakutana nazo mara na wateja hawa ni swala la Je kweli wanahitaji kuwa na tovuti?
Baada ya kuzungumza na kushauri wateja wengi kuhusu suala hili nimeona ni vyema nikaandika kwa kifupi namna bora ya kufahamu iwapo biashara yako inahitaji...
Habari wadau:
Ofa inaendelea
Jipatie Domain pamoja na hostin kwa mwaka kwa gharama ya TZS 45,000 tu kwa mwaka.Hii ni ofa maalum kwa wanaoanza.Domain.ni za .com.na .co.tz.
Gharama za designing ni maelewano
Tuwasiliane kwa email:sales@appserver.pw Simu 0717512851
Au comment NAHITAJI...
Habari za wakati huu;
Je wewe ni mjasiriamali mdogo na wakati?
Je wewe ni mjasiriamali unaeanza biashara?
Je unahifadhi vipi taarifa za biashra yako
Je unafuatiliaje utendaji wa Biashara yako?
Jaribu kufikiri iwapo utakuwa na uwezo wa kupata taarifa mbalimbali kuhusu biashata yako pamoja na...
Ninaangalia sasa uelekeo wa nchi na jinsi sekta zinavozidi kusahauliwa
Nafikiri sasa ni wakati wa kubadili muundo wa serikali hasa kwa upande wa Cabinet
Nafikiri Cabinet isitokane na wabunge na wakienda Bungeni wasipige Kura Yoyote.Badala yake Cabinet iwe kama ilivyo kwa Wakuu wa Miko na...
Habari Comrades
Napenda watanzania wote watambue kwamba kwa sasa kama taifa tunapitia katika kipindi cha mapinduzi ya kiutamaduni
Mapinduzi haya yanhusisha mabadiliko ya kisiasa kiuchumi,kijamii n.k,Katika kipindi tunahitajika kama raia kuunga mkono juhudi za serikali.Tunapaswa kwa pamoja...
Mimi ni mwalimu wa ICT nina uwezo wa kufundisha maeneo yafuatayo;
Basic Introduction to Computers
Internet and Email
Graphic Design
Web design and development
Social Media Management
Pia nafundisha:
English
Basic Accounting/Book Keeping
E-commerce and Drop Shipping
Marketing Management
Kama...
Karibu katika mjadala huu.Mimi ni Pwagu nduguye Pwaguzi;
Kumekuwa na kamsemo maarufu kahusucho umaskini wa kifikra.wengi wameudadavua msemo huu nami leo nataka kuwa mmoja wa wadadavuzi
Fikra za kimaskini ndio chanzo cha umaskini wote na ndio umaskini mbaya kuliko wote.
Umaskini wa mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.