Bia yetu,
Mkuu hili si suala linalohusu mabeberu wala nini. Itazame hoja yangu beyond hizo sentiments. Media ndo namna pekee ya umma kupaza sauti. Serikali inayofanya kufungia media kuwa jambo rahisi inakuwa inajinyima yenyewe haki na uwezo wa kuwatumikia wananchi kikamilifu.
Sio kila kitu ni ufipa na ufupa.Tazama msingi wa hoja yangu.Kufungia chombo cha habari haipaswi kuwa rahisi hivyo.Kuna mambo hata viongozi wa serikali watakosa kuyafahamu kwa sababu ya vyombo vya habari kuwa na hofu ya kufungiwa.
Phishing occurs when a third party attempts to impersonate a genuine source to send or infiltrate fraudulent communications. Typical examples include impersonating banks, insurance brokers and cloud storage providers. Phishing techniques are commonly disguised within genuine-looking emails and...
Katika Jedwali la kodi la TRA unatumika mfumo wa kutumia turnover kukadiria kodi.
Kwa mtu mwenye turn over isiyozidi milioni 20 analipa presumptive tax ya tzs 865000 ambayo ni sawa na kama 5% ya mapato yote kwa mwaka ambayo ni sawa na kiasi cha TZS 72000 kwa mwezi.Iwapo hesabu hazijakaguliwa...
Mimi binafsi nincho kitambulisho cha TAIFA ila baada ya kufikiri nimeona kwamba kwa sababu tayari tunao uwezo kuomba Passport online kwa nini mifumo ya NIDA isibadilishwe kumwezesha mtu kuomba kwa njia ya online na kisha taratibu za uthibitisho na kukusanya kitambulisho ndo ziwe manual.Hii...
Habari wadau;
Binafsi huwa napenda kufikiri nje ya Box.Gharama na muda wanaotumia Utumishi katika kuwaita watu kwa mitihani kusahihisha n.k.unaweza kusahihishwa kwa kuleta mfumo wa Aptitude test ambayo inafanyika online.Yaani baada ya kuomba nafasi,muombaji atafanya timed tests online kwa ajili...
Are you fascinated by the web and want to get a glimpse of the tricks of web development?
Do you want to learn web development and start building your own website for your own business?
Do you want to employ yourself and earn additional revenue by taking up web development jobs
Are you a web...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.