Search results

  1. sister sista

    Face to face na X wangu

    kakangu wanawake tunapenda kupendwa na kuambiwa mambo mazuri all the time and most important ni kuwa assured that hatuibiwi nje,so as u said ur a good husband please ongeza MALOVE AND ATTENTION thats it.mi nahisi kuna body language uliionyesha wakati unaongea na huyo kicheche wako wa zamani...
  2. sister sista

    Kwanini baadhi ya Wanawake hawavai Chupi?

    kaka so ikiwekwa picha ndo itakua si "MAJUNGU"``you just made my day,unapenda picha eeh?
  3. sister sista

    Mpenzi wako anakutumia sms hii...! Utamjibuje...!

    unatumia simu gani wewe~kitochi"?????????????
  4. sister sista

    Slaa anakubalika FB kuliko JK !!!

    im afraid that unajua FB users wengi wana click tu option ya like au to add mtuas a friend just to see photos,news ,umbea etc so msiwahesabie sana hawa watu na mkitaka kuchunguza wengi ni mashabiki tu na wengi ni watoto na watu wasio busy na maisha.come=on guys hivi FB nayo mnataka kuipa status...
  5. sister sista

    WHAT A MISMATCH! It's TUNDU LISSU vs. WILLIAM LUKUVI Bungeni

    kula 5!bunge letu si la kihivyo.jipeni moyo
  6. sister sista

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    you guys are not serious!msaidieni mwenzenu mkoje nyie!mi ningekua mwanaume ningekusaidia lakini nafikiri hii ni more psychological,nilishawahi kuwa na mtu ana kibamia lakini alivyo na confidence na anavyokitumia acha kabisa!ufundi tu,hizi dawa dawa mnazomsahuri mwenenu zingine zinaweza kuwa na...
  7. sister sista

    Ligwaride mara tatu kama dozi ya panadoli kama sio Asprini

    usidanganyike kimbweka, kama wa kutoka nje atatoka tu maana unaweza ukawa umamsugua mara tatu na bado hajafika kileleni anakuridhisha wewe tu.kwani mashindano haya jamani?:A S angry:
  8. sister sista

    Ladies only - Win a date with Ngabu

    na wewe utupe vigezo vyako basi ili tujue tunachoenda kukutana nacho.leta tu hilo shindano tumejaa tel sie
  9. sister sista

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    Lenana umamaliza niliyotaka kusema
  10. sister sista

    Niwangapi wanatamani kukutana na hawa wana jf?

    wote ingekua poa zaidi na wewe uwepo
  11. sister sista

    Niwangapi wanatamani kukutana na hawa wana jf?

    mi natamani sana kukutana na rev masanilo,invisible,mzee mwanakijiji na Buchanan.kuna wengine pia wengi sikumbuki majina yote but kuna moja huwa ananichekesha sana nahisi ana vituko akiwa live hivi JF hakunaga get together jamani tupombeke na hata brunch fulani?that will be nice pls admins im...
  12. sister sista

    Woman puts red-hot knife in girl’s genitals

    kuna watu makatili duniani jamani.mi sina mtoto lakini nimepata uchungu wa ajabu yaani hapa machozi yananilenga mtoto wa mwenzako unamfanyia hivyo na bado unaendelea na shughuli zako bila hata kustuka roho.?tumetofautiana kwa kweli lakini huko arusha ni nini watu wana hasira hivyo?:A S angry:
  13. sister sista

    Elections 2010 Sitta kujitoa CCM na kujiunga CHADEMA?

    hizi hear and say izi sio nzuri.facts can do best
  14. sister sista

    Dunia IMEKWISHA. Chekini BWABWA hili

    hii vitu tuvione tu kwenye tv picha lakini ikiwa kwenye family inauma sana,imagine huyu ndio kaka yako.
  15. sister sista

    Dunia IMEKWISHA. Chekini BWABWA hili

    kama wale wa show ya rupal kina jessica wild na juju bee loh!huyu pia si huwa ni judge kwenye tv show ile ya nywele au sio?
  16. sister sista

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Thanks alot i hope hii itanisaidia, ningeingia mkenge wa nguvu maana nilionyeshwa mji mwema. Ubarikiwe
  17. sister sista

    Elections 2010 CONFIRMED: Kigwangala atangazwa rasmi mshindi Nzega

    hongera sana,inafurahisha kuona vijana wenzetu wanaenda mbali katika kulijenga taifa na tunaamini na wewe utakuwa mwakilishi wetu mzuri bila kuweka tofauti za kisiasa na nimependa confidence yako omethubutu kuingia jamvini bila kujificha na kutetea hoja,yo are the man. Ndio mtuwakilishe vizuri...
  18. sister sista

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Msaada ndugu wananchi, nina shida nataka kununua kiwanja na dalali kanionyesha huko kigamboni lakini sasa nimetokea kupewa ushauri na wengi eti kwamba uuzaji wa viwanja Kigamboni ulisitishwa naomba kwa yeyote anayejua tafadhali mnipe muongozo maana nimejjaribu hata kuwauliza watuu wanaofanya...
  19. sister sista

    Kama huu ni Uzushi usisome!!

    umejihami sana na hii ni doubt kubwa kwa unayoyasema
  20. sister sista

    OJ arejea Bongo

    acha zako wewe halafu unajulikana ulivo na mambo yako haviendani.are you a saint?na sikatoka jela kalipia makosa yake wewe nini kinakusumbua?hiviwatanzania wa nje ya nchi wana matatizo gani na majungu?fuateni kilichowatoa nchini mwenu
Back
Top Bottom