Search results

  1. M

    Natafuta Sti Wrx 2005

    Wakuu natafuta gari subaru sti wrx 2005 model..... Iwe manual,turbo.isiwe imetumika bongo budget 10 m cashhhh.
  2. M

    Mke wangu kabadilika sana.....

    Habari zenu ndugu wa mmu, Ni hivi nmebahatika kuoa na kupata babyboy moja.Nmedumu kwenye ndoa miaka 3 na mke wangu. Nmeishi na mke wangu kwa upendo na furaha.Miezi mitatu iliyopita mke wangu alienda Kwao Mwanza,maana tangia nimuoe hajafika huko.Sasa alivyorudi amebadilika kila kitu kuanzisha...
  3. M

    Mawazo yenu tafadhali.

    Wadau kuna swali nataka kuuliza humu jf.Je mtu mwenye ukimwi anaruhusiwa kusafiri nje ya nchi.Nje ya Tz? Nawasilisha.
  4. M

    Upepo Mkali Kinondoni

    Wadau huku maeneo ya kinondoni mpaka mwananyamala kuna upepo mkali sasa hivi.je maeneo yenu yakoje tuhabarishane.
  5. M

    Msaada wenu wakuu - Audi ya mwaka 2004

    Msaada please. Nimeshindwa calculation ya Gari ya audi,year 2004, cc1980, millage 109000. na cif $3399. Niandae ngapi kuiweka Road? Shukrani.
  6. M

    Help: Nissan skyline

    Wakuu habari zenu.Jamani mwenye kuijua hio gari au kuitumia anipe ubora wake.fuel consumption ikoje naona ina cc2490.spare etc nataka ushauri kabla ya kuagiza jp
  7. M

    Rav 4 vs Xtrail

    Habari wadau, Naombeni msaada wenu kati ya rav4 na xtrail..ipi iko nzuri brbrb ie fuel consumption,speed,durability ,spares na ubora,kama 4wd au 2wd?
  8. M

    Msaada wa mawazo Safari ya Egypt

    Wadau, Tafadhali kama kuna mdau aliefika Egypt ama ana information zinazohusika anisaidie. Viza zake zinasumbua kupatikana? Gharama za air ticket, hoteli, chakula makadirio ni kiasi gani? Vipi hali ya machafuko katika nchi hiyo? Kuna usalama nikiwa uko? Kuna ubaguzi? Nina hamu na nataka...
Back
Top Bottom