Search results

  1. Greg50

    Kupungua kwa matumizi ya bodaboda

    Siku hizi maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kasi ya matumizi ya bodaboda imepungua sana. Wengi wa wakazi ni mwendo wa kwata tuu, mguu pande, mguu sawa, mbele tembea!!! Sijajua ni muamko wa kutembea kwajili ya mazoezi au kubana matumizi?
  2. Greg50

    Utitiri wa magari yaliyokata wese barabarani

    Kipindi hichi barabarani si ajabu kabisa kukutana na magari kadhaa yamezima katikati ya barabara kwasababu ya kuishiwa mafuta. Hali hii husababisha ongezeko la foleni kubwa hasa kipindi cha asubuhi na jioni. Wenye magari jitahidini kujaza wese la kutosha kufika destination yako, pia kupaki...
  3. Greg50

    #COVID19 Covid mpya njiani

    "We need more money to plan for second pandemic, there's gonna be another pandemic" - POTUS
  4. Greg50

    Kitengule Tegeta Kibaoni ni hospitali ya hovyo

    Unafika pale usiku wa manane na mgonjwa aliezidiwa, mnaingia kwa daktari badala ya kuwahudumia anatype tuu kwenye computer kwa dakika zaidi ya kumi na tano huku akiwaambia msubiri. Sasa sijui anasubiri mpaka mgonjwa afe hapo mbele yake ndio amuhudumie au vipi? Hii ni huduma ya hovyo sana...
  5. Greg50

    Ajira Mpya Serikalini ( TAMISEMI) watu 233

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia mbili thelathini na tatu (233) kama zilivyoainishwa katika tangazo...
  6. Greg50

    Fikra

    Ufunuo 13:16-17 16 He causes all, both small and great, both rich and poor, both free and slave, to receive a mark on their right hand or on their forehead, 17 so that no one may buy or sell, except he who has the mark or the name of the beast or the number of his name. Mataifa ya ulaya na...
  7. Greg50

    Kuuza mechi kisa binti mpole

    Kuuza mechi kwa kigezo cha kuwa binti ni mpole, mkimya, mnyenyekevu, mlokole, ustadhat, hana makandokando ni kujitafutia kaburi la mapema. Kuna siku utakuja kusikia anayoyafanya nyuma ya pazia hutaamini macho yako (japo sio wote). Ni vyema kujikinga hata kama binti ananena kwa lugha...
  8. Greg50

    Nimegundua kwanini wahindi/waarabu wakifariki biashara zao hazifi

    Za asubuhi wanaJF, Katika pitapita zangu leo nikabahatika kuskia maongezi ya kikao cha management ya moja ya biashara kubwa hapa mjini ya mhindi. Kikao hicho walikuwepo mamanager kadhaa watu wazima wa kama miaka 50 hivi, pia alikuwepo boss na mwanae wa kike (kwa muonekano ana kama miaka kati ya...
  9. Greg50

    Wakenya tufundisheni jinsi ya kumake dollars online

    Habari wakuu, Baada ya kutafiti mitandaoni nimegundua kuwa kuna Kenyans wengi sana wanaotumia mitandao kujipatia pesa kama freeelancers na tutors compared to Tanzanians. Mfano ni website moja inaitwa Idea connection nimeona humo Kenyan experts wako zaidi ya 700 wakati Tanzanian experts wako...
  10. Greg50

    Saruji kutoka nje inaruhusiwa?

    Habari wakuu, Naomba kujua kama serikali inaruhusu uingizaji wa saruji kutoka nje.
  11. Greg50

    Hujafa hujaumbika

    Baada ya kuchagua mchepuo wa HKL pale A level sikuwahi kabisa kuwaza kuwa nitakuja kuvaa barakoa kama wale jamaa wa PCB. Lakini mwaka huu nimeivaa bila kupenda nikakumbuka wahenga kuwa "hujafa hujaumbika".
  12. Greg50

    Waajiriwa acheni kuishi kwa presha

    Nanukuu "Nimeona hivi karibuni kila mwajiriwa akijaribu kusave hela na kukopa ili kuanzisha kabiashara flani au mradi kwa lengo la kuja kuacha kazi. Nadhani hii inasababishwa na maneno ya motivational speakers kuwa hakuna tajiri alieajiriwa bali wote wamejiajiri. Lakini biashara hizi nyingi...
  13. Greg50

    Gari inavuma sana, shida inaweza ikawa nini?

    Wakuu msaada, Kuna toyota probox inavuma sana utafikiri unaendesha tandam, yaani ikichanganya kuanzia 80 kuendelea kelele nyingi sana. Nini inaweza ikawa shida? MREJESHO
  14. Greg50

    Uingizwaji wa Cement na Clinker kutoka nje

    Habari wakuu, Naomba kujuzwa kama Serikali inaruhusu uingizwaji wa Cement na Clinker kutoka nje ya nchi.
  15. Greg50

    INAUZWA Jipatie asali kutoka Tabora

    Jipatie asali bora kutoka Sikonge Tabora kwa bei poa.... Lita 1 = 10,000/= tuu..... Lita 5 = 45,000/= tuu..... Tunapatikana Dar na Tabora.... Mikoa mingine tunatuma pia.... Kwa mawasiliano tucheki 0686222463.....
  16. Greg50

    Nida ni jipu

    Habari wakuu, Hawa Nida nadhani kazi waliyopewa ya kuwapa wananchi vitambulisho hawaiwezi. Sasa hivi kila huduma serikalini wanadai uwe na kitambulisho cha Taifa, kuanzia uhamiaji, TRA mpaka TCRA. Lakini tatizo linakuja kukipata hiko kitambulisho Nida utazungushwa bila mafanikio na huku mambo...
  17. Greg50

    Flash-kingston 32gb 25,000/= memorycard-sandisk 32gb 20,000/=

    Flash-kingston 32gb 25,000/= memorycard-sandisk 32gb 20,000/= Tupo Tegeta Kwa mawasiliano tucheki 0783899412
  18. Greg50

    Samsung j5 haisomi line

    Wakuu msaada, Samsung j5 model no. SM-J5008 mpya kabisa nikiweka line inasema ‘mobile network unavailable’ . Yeyote mwenye kujua jinsi ya kutatua tatizo hilo, au ambae anafahamu anaeweza kutatua tatizo hilo amtag hapa niweze kwenda hewani wakuu. Shukrani.
  19. Greg50

    Huawei P9 sawa na bure, haina tatizo

    Huawei P9 RAM : 4 GB Internal : 64 GB Display : 5.2-inch, 1920x1080 Rear camera : Dual 12MP Front camera : 8MP Battery : 3000 mAh Security : Fingerprint Bei : 370,000/= ( inajadilika) Mahali : Dar Mawasiliano : PM Sababu ya kuuzwa : nina simu mbili, nataka kubaki na moja.
Back
Top Bottom