Search results

  1. sonnita

    Niagize samaki sato/sangara/dagaa wa kukaanga nikutumie mpaka ulipo kwa uaminifu

    Hello,bei ya dagaa wa 20,000 ni pamoja na usafiri?
  2. sonnita

    Hawa ‘Wakimbizi walioteuliwa kwenye nafasi za maamuzi’ ni kina nani?

    Upendo mtu wa mwanza huko ..sio mchaga.
  3. sonnita

    FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

    Bas fanya kimya kimya kama una kimuhe muhe cha kujua. Usihusishe familia..maana itakua mwanzo wa mafarakano huko ndani..kama kula kitu kiko shwari fanya kimpango wako. Waache na amani wabaki wakijua you guys are still one family..
  4. sonnita

    Wanawake msisubirie tufe ndiyo muigize mnatupenda, tunafikieni hata tukiwa hai ili tukifa msionekane wanafiki

    Jinsi umeandika ni kavile uko somewhere tofauti na duniani,yani haupo tena. Umeacha wosia kwa wanawake.
  5. sonnita

    Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    Na dadaako hakutaki hapo kwake,keshakuchoka..
  6. sonnita

    Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

    Kanisa gani hilo iko hivi?
  7. sonnita

    Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

    [emoji23] nimecheka apo ulinzi wa mkopo..dah!
  8. sonnita

    Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako

    Mbona hata hamna gumu hapo? Swala ni kumwambia tuu unaenda kumtembelea,sio kuzuka tuu,haipendezi. We nenda tuu kwa dada.
  9. sonnita

    Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

    Ukisoma vizuri comment yangu utaona sijawakandia PSRS kwa kuwapaisha TRA. I simply meant PSRS is of no help to me since i can't apply anything there. I never compared the two as you put it.
  10. sonnita

    I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Salamaa,asAntee kwa kujibu. Sijui imekuaje ila kwa point ya size ya kioo sidhaniii,sim yangu haina kioo kidogo naamini.. ni Sony Xperia z3. I found another link though, I'll stick up there.
  11. sonnita

    I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Niki-accept cookies hakitoki,nkisema ni log in au kuregister hainipi space kufanya hivyo.
  12. sonnita

    I dedicated my Monday to read this beautiful story

    Kijiji forums kwangu inansumbua notification juu juu hata uki-act on it hazinipi nafasi. Mfano ivi Any help?
  13. sonnita

    Daah kumbe mashemeji ndo walinikataa

    Hahha, umeona eeeh? Na hashindwi kuwaskiza mashosti tena in the near future...hana maamuzi na mambo yake kabisa.
  14. sonnita

    Ajira portal ina bagua baadhi ya profession

    Yaani hili ni jipu kabisa. Mfano mimi naweza ku-apply kazi TRA tuu huko ajira portal.. Zingine zote naambiwa NOT QUALIFIED kisa nimesoma Tax Management. Saivi ajira portal ni kama pambo kwangu maana TRA wamejitoa huko.
  15. sonnita

    Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

    Tuko pamoja .yani hasira inanimaliza mimi. Hasira number 1 weakness niliyonayo. Mungu atusaidie.
  16. sonnita

    Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

    Wasikusikilize tuu,yaani wapuuzie ahadi unazowapa. Maybe [emoji848] utajiskia aibu na kuacha kuongea vitu vinavyokuzidi uwezo.
Back
Top Bottom