Search results

  1. N

    Msaada wa mawazo kuhusu huyu mwanafunzi

    Kuna jamaa yangu yupo Dodoma alikuwa na mtoto Marangu sekondari Moshi sasa akapata changamoto ya ada baada ya mwanae mwingine kuugua mpaka kufanyiwa upasuaji. Huyu Dogo mwanafunzi alishasajiliwa kufanya mtihani wa form two lakini hakufanya kutokana na kushindwa kulipa ada . Mwaka huu baba...
  2. N

    DAWASA Kinyerezi, mwezi sasa unaisha sijapata control number ya kufanya malipo kuunganishiwa maji

    Wakuu ni mwezi sasa unaisha sijapata control number ya kufanya malipo kuunganishiwa maji, wadai mtandao TTCL upo down jambo hili linashangaza sana kwa kampuni kubwa kama DAWASA Kama wahusika mpo fuatalieni, msilazimishe kampuni kukaa kwenye mtandao mmoja ambao tija yake ipo chini kisa tu ni wa...
  3. N

    Cheo cha mwenyekiti wa tawi CCM kina fursa gani?

    Hiki cheo kina fursa gani maana nimeona kwenye tawi fulani jirani na home kulikuwa na msuguano kwelikweli.
  4. N

    Inawezekana TAMISEMI kumbadilishia mtu aliyepangiwa chuo kwenda kidato cha tano?

    Kuna dogo alipata div 3 form four ila kwenye combination HGK yake alipata CBC. Sasa amechaguliwa chuo cha mipango Dodoma certificate ya mipango. Sasa amefika nyumbani akiniuliza kama Tamisemi wanaweza kubalishia akapata shule ya kidato cha tano. Uwezo wake ni mdogo hawezi kumudu gharama za...
  5. N

    Min Laptop ya del latitude 2120

    Kioo cha latitude 2120 kinauzwa bei gan wakuu hiki kilatop kamedondoka kioo Kwishiney kiweka mstari
  6. N

    Milk cow allergy

    Mwanangu ana allergy ya milk fomula yenye maziwa ya ngombe skimmed cow milk na soy milk formula wadau natumia maziwa gani?. Au anaweza kushinda na vyakula mpaka Mama yake aje anyonyeshe saa 10 jion maana Mama yake anaondoka asbh sana. Umri miezi 9.
  7. N

    Kuhusu meter ya Maji

    Wakuu naomba kuuliza Jana nimefunga meter ya Maji baada ya kuchukua bomba toka kwa jirani yangu nyumba anaishi kijana tu sasa tumeamka asbh meter inasoma unit moja wakati jana tulichota ndoo mbili tu
  8. N

    Msaada: Duka linalouza puti ya kusaga rangi ya magari kwa bei nafuu Kariakoo

    Wadau naomba kuuliza duka linalouza put ya kusaga rangi ya magari bei nafuu Kariakoo.. Bei ya jumla per carton.
  9. N

    Naomba kujuzwa napoweza kupata puti za magari kwa bei nafuu

    Wakuu naomba kuuliza ni duka gani Kariakoo naweza kupata katoni ya puti za magari kwa bei nafuu. Natanguliza shukrani.
  10. N

    Photocopy machine nzuri

    Wakuu naomba kuuliza ni photocopy machine gani nzuri aina ya canon inayotumia wino wa poda na bei yake possibly na duka linalouza.
  11. N

    Maji ya chupa Mbeya

    wakuu kwa odhoefu kuna viwanda vingapi vya kutengeneza maji mkoa wa Mbeya na nyanda za juu kusini kwa ujumla....Mbeya spring water bado inafanya kazi
  12. N

    Kituo cha Elimu maalumu

    Wakuu kuna ndugu yangu anaulizia kituo cha kufundisha watoto hawa wenye matatizo ya kusikia na kuongea cha private hapa Dar aul bara
  13. N

    Natafuta kijana wa kuwa Fundi welding

    natafuta kijana atakuwa anakaa kwenye kijiwe cha kaka yangu ana duka ila machine ya kuchomea ipo tu haitumiki, kaz ikija basi anafanya tutakubaliana tutavyogawana . Kama yupo interested aje PM
  14. N

    Microwave ya kampuni gani ni bora?

    Naomba kuuliza microwave bora na ya kampuni gani na wanauza duka gani hapa Dar
  15. N

    Dr. James 7days smilling Gold Gel.

    Wadau hii kitu nimekuta Dada mmoja anauza anasema inapunguza unene kwa kupaka hii inafanya kazi kweli au utapeli na ina madhara wadau ukitumia
  16. N

    Pre form one

    Natafuta darasa kwa ajili ya kuanzisha pre form one na tuition centre hapa DSM. mdau anayefaham anipm
  17. N

    Biashara ya ngozi

    wadau naomba mwenye kuijua au aliyewahi kufanya biashara ya ngozi anipe udhoefu kidogo
  18. N

    Toyota Raum

    wakuu naomba kuuliza naweza kuagiza Toyota raum ya 2005 toka Japan mpaka kufika hapa bongo Na kuitoa bandarini kwa Tsh 12Mil.
  19. N

    Naomba kujua ubora wa hii Star x led TV na TCL

    wadau naomba kijua ubora wa hii star x led tv na Tcl kwenye ubora. Ni kampuni bora na kwa nn?
  20. N

    Polycyt Ovary Syndrome (PCOS)

    Habari wadau naomba msaada mke wangu anasumbuliwa na PCOS Ni mwaka wa tano sasa anaweza vidonge bila mafanikio katika hospital tofauti. Naomba mwenye experience na hili tatizo, Je opesheni inaweza kuwa ndio suluhisho la hili tatizo?
Back
Top Bottom