Search results

  1. T

    Msaaada: Minimum requirement of dhcp server

    Wapendwa habari za mishughuliko? Naomba mtu atakaye nielekeza kwa lugha rahisi Minimum requirement for DHCP server .PLZZZZZZ!!!!!
  2. T

    nifanye biashara gani mtwara?!

    Habari zenu wapendwa! naomba niwaulize nnaweza kufanya biashara Mtwara au kati ya Mtwara na Dar? Naomba mnisaidie plz?
  3. T

    Majibu ya interview ya NHIF

    Jamani yeyote aliye na updates zozote zile kuhusu interview ya NHIF plz
  4. T

    Msaada!!!

    Jamani nimekutana na tatizo moja dogo, nime design website yangu nikaweka radius corners/curves nimetest kwenye firefox imekubali lakini kwenye IE imekataa ninasuluhisha vipi hapo?
  5. T

    Natengeneza Website kwa bei Chee

    Habari zenu! Natengenza website kwa bei poa kabisa Ni PM nituongee vizuri!
  6. T

    Web developers Naomba Muiangalie hii

    jamani ile website nmeirekebisha kama mlivyonishauri naomba mnipe mawazo yenu. Ilala Mission Centre
  7. T

    Msaada jamani:Window Seven

    Nina laptop (Win 7 home premium) hapa alikuwa anaitumia mdogo wangu, sasa ikaanza kustack tu bila sababu. sasa nataka kubadilisha OS installation nayo inagoma ikifika kwenye expanding files inagomea hapo. Nifanyeje?
  8. T

    Web developers Naomba Muiangalie hii

    Habari zenu wakubwa. Naomba wataalamu waangalie hii website halafu waniambie kasoro/ mapungufu yake kitaalamu. Plz naomba msaada wenu.
  9. T

    Natafuta Tenda ya Kutengeneza Website

    Wapendwa, mbele yenu ni dada mjasiriamali na mtanzania, Natafuta tenda kutengeneza website. Natumia asp, phpmysql na xml. Naweza kutengeneza database driven website, kama forum, newsboards, chatboard nk. Kama kuna yeyoye anayehitaji please Pia ni mzuri kwenye kutengeneza database. email...
  10. T

    Makusudi au bahati mbaya?

    Za leo! Za saa hizi,! Jamani mwenzenu hata sielewi tunakoelelea, hivi kama kweli Tanzania kuna mgodi (sijui ndio mgodi au nimekosea) wa gesi asili (sijui nimepatia?) inakuwaje tunakosa umeme? Au kama kweli Tanzania ina mazingira yanayofaa kutengenza umeme wa upepo jamani inakuwaje kweli...
  11. T

    Natafuta Kazi

    Wajameni watanzania wenzangu, Mimi ni kijana wenu natafuta kazi. Nina advanced diploma ya sayansi ya kompyuta. (Advance diploma in Computer science). Niko tayari kufanya kazi yoyote ndani ya fani yangu. Lakini ni mzuri zaidi kwenye software engineering(database design, web development n.k)...
Back
Top Bottom