Search results

  1. Drifter

    Waziri Mbarawa: Treni yetu ya SGR haiwezi kwenda Spidi 160 kwa Saa, tunaenda kwa Awamu

    Kwa akili yako unafikiri manufaa na athari za miradi ya ujenzi na teknolojia inapimwa kwa siasa za "uzalendo"? Subiri taarifa za M&E zifanywe - kama zitafanyika kama inavyotakiwa - hapo baadaye ndipo utandaze mipasho kwa nafasi yako. Hii ni kama serikali iko makini na utendaji wa mradi huo...
  2. Drifter

    Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Yeah, ni “lazima” kama wanaoumia ni “wengine”. Ni kauli ya kawaida katika tawala za kidikteta na kikomunisti. Kuna ambao hujiteua kuwatoa wenzao “kafara” nje ya taratibu za kikatiba na kisheria kwa kisingizio cha “kuleta au kuchochea maendeleo”. Very unfortunately, binadamu kwa asili si kiumbe...
  3. Drifter

    Miaka 3 ya kifo cha Magufuli: Haya ndiyo mabaya yake katika utawala wake

    Rais wa JMT ndio kila kitu. Ni Alfa na Omega. (Huyo si Rais wa USA). Mihimili mingine yote na watumishi wake inatekeleza maamuzi yake. Ana final say kwenye kila kitu. Serikali yake ndiyo inayopeleka miswada ya sheria bungeni ambayo LAZIMA ipitishwe anavyotaka yeye kisha aisaini. Hata ruzuku kwa...
  4. Drifter

    Hayati Magufuli kaingia madarakani kakuta Wanaccm wanaogopa Kuvaa Sare mitaani, ameondoka kaacha hadi Mawaziri wanavaa Sare popote!

    Sawa. Hakika hakuna mkate mgumu mbele ya rungu la dola na fursa zake. JK alikuwa na haya (soni) akitegemea “maneno” matupu yataiheshimisha CCM. Huko vijijini kanga, t-shirt, magauni na mashati ya kijani yanavaliwa tangu zamani kama “Sunday best.” Vazı la kutokelezea kwenye dhifa maalum...
  5. Drifter

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Sawa. Kiasi nimekuelewa. Ingawa common wisdom inaniambia hakuna mtu mwenye utendaji bora anayebana vyombo vya habari visiandike habari za kazi zake kiasi cha kutesa na kotowesha baadhi yao. Kwangu mimi huu mjadala wa kuangalia nani alikuwa nafuu kwa hawa viongozi wa CCM hauna maana. Hakuna cha...
  6. Drifter

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Hoja ya ajabu sana hii. Yaani JPM kwa kuiba, kupora, kutesa na kuua wakosoaji wazi wazi (juu ya kapeti) basi anakuwa Rais bora sana kwa vile alikuwa transparent; hakuwa mnafiki kama hawa wengine! Kama hayo ndio machaguo yaliyobakia kwa Watanzania chini ya CCM basi CCM ni msiba mkubwa sana wa...
  7. Drifter

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Huyo kiongozi bora anapatikanaje?
  8. Drifter

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Ndiyo CCM hiyo. Na kila awamu ina watetezi wake wasio na haya wala kuona ubaya wake. Lishakuwa jinamizi lenye sura na maumbo tofauti tofauti. Wanaokosoa mauaji ya Mwangosi, bomu Arusha (CDM) na mauaji Zanzibar (CUF/ACT) hawaoni ubaya kwa yaliyowapata kina Lissu, Akwilina, Lwajabe, na Gwanda...
  9. Drifter

    Lema amshukia Jokate kama mwewe, asema hatuchagui kwa Jinsia, Dini au Kabila

    Sawa. Endelea kusifia na kushabikia. Bila Shaka wako wanaokuelewa. Btw mimi sio nyumbu wala mtu wa kuteseka. My world is quite different. Namna yako ya kufikiri ni tofauti sana na yangu.
  10. Drifter

    Nashauri kuwepo na somo maalumu la uzalendo kwa nchi yetu

    Very idealistic. Kuamini kuwa tiba ya majizi na mafisadi ni elimu; kwamba wakielimishwa kuhusu “ubaya” wa wizi, rushwa, ufisadi basi wataacha na kuwa raia wema hiyo ndiyo inahitaji elimu. Uzalendo ni neno la propaganda; halina uhalisia katika dunia halisi. Nyerere aliambiwa na Wachina...
  11. Drifter

    Lema amshukia Jokate kama mwewe, asema hatuchagui kwa Jinsia, Dini au Kabila

    Duh mkuu unatarajia Mbowe apimwe na kulinganishwa na Samia kwa “kujenga” barabara za taifa na mikoa? Seriously? Halafu unaamini kwamba Rais anasifiwa kwa “kujenga” barabara na miradi mingine ya kitaifa ya miundombinu nchini? I thought you were above that feeble mindset of those illiterate...
  12. Drifter

    Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

    Pipe dream. Ufisadi haujawahi kuisha wala kupungua ndani ya serikali ya CCM. Kinachobadilika ni makundi yanayonufaika na style ya upigaji. Wenyewe wanapashana “kutesa kwa zamu” na “kuimba kupokezana”. Awamu za 2,3 na 4 ufisadi ulikuwa kwa janja ya kucheza na sera, sheria na mikataba. Walikuwa...
  13. Drifter

    Akili za kibiashara kwa Watanzania ni za kutafuta, ndio sababu tuna Watanzania wachache matajiri

    Kichwa cha mada ni tofauti na maelezo ya mada. Hapa unalalamika kuhusu serikali kushindwa kutimiza wajibu wake kwa hospitali kuhusu bima ya NHIF. Badala yake siasa (propaganda) inatumika kulaumu hospitali kwa kugoma kuhudumia wagonjwa bila kujali suala la malipo. Kwamba hospitali ziwe na “utu”...
  14. Drifter

    Napinga Jakaya Kikwete kuwa kiongozi wa waangalizi wa Uchaguzi wa Nigeria, hana sifa hizo

    Mkuu Erythrocyte, pamoja na yote unayojitahidi kueleza hapa, elewa kuwa viongozi wa Afrika wanafanana na wanajuana sana. Usifikiri Kikwete anapewa majukumu kwa bahati mbaya. Kwamba “hawamjui”! Hizo spana huko nje hakuna anayezijali. Mkapa alishawahi kukiri kwa jeuri katika mahojiano na media...
  15. Drifter

    Hii SGR Dar-Moro Masaa Mawili, Duniani Huko Wanatumia Dakika 20!

    Usichanganye SGR na HST (High-Speed Train). SGR yetu haikusanifiwa kufikia kiwango cha HST.
  16. Drifter

    Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

    Relax man. Usiwe serious sana na hicho kibarua all the time. Usijepata degedege bure. Sugu asili yake hip hop. Kwao swaga ni jadi. No malice to nobody, he means. Naona wewe unaweza tiririsha politiki hata kwenye gauni la harusi la madame wa manara. Take it easy, smooth, nigga. Ushindi ni wenu tu.
  17. Drifter

    Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

    Kweli ushambwa mzigo. Si kila wakati ni wa politiki. Unasaka kiki hadi kwenye swaga za Sugu? Hapo ulitakiwa ucheke na wewe kuweka kijembe cha ki-UWT-CCM kujibu mapigo.
  18. Drifter

    Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

    Sijui kama umejibu swali lililoulizwa. Kauliza: kwanini wewe hutakufa?😳 Jieleze.
  19. Drifter

    Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

    Yote sawa. Lakini jiulize, kama kufa ni kufa tu na si adhabu, yule jamaa kwanini alikuwa akiagiza wanaompinga na kumkosoa wauwawe? Alishasema “msaliti” hawezi kuachwa a-survive tu! Jiulize inakuwaje kwenye mfumo wetu wa sheria kuna hukumu ya kifo kama adhabu na katika vitabu vya dini kuna...
Back
Top Bottom