Na wewe tuo ujinga wako. Dunia nzima wanajenga Reli. Sisi tunataka kuishia Dodoma. Halifu baadaye tunalalamika. Ohooo Kenya wanatuzidi. Ohoo tungekuwa na reli mpaka kigoma ohoo sii unaona wezetu reli yao inafika mpaka Uganda [emoji1254]
Kwa nini? Inatakiwa tuwe na treni kila mahali, hili kuzuia uaribifu wa barabara zetu. Kuna vitu vingine vya kuzuia. Bwawa la Nyerere, Daraja lq busisi. Madaraja ya kupishania magari nk..
Tunasahau mapema sana. Mnakumbuka Mwakembe na Treni zake. Yeye ndiye aliyeanzisha, na kumwachia Mh Samweli Sitta. Na tayari walishaanza mpango wa kukopo Uchina. Na Mh S Sitta alipanga luunza kabya 2014 hili kushawishi Kura kwa CCM
Walioingia jeshi kuazia 1993. Awana card ya CCM wala UVCCM.. Chini ya hapo kwenye file zao wana card za CCM au UVCCM. Utaulizwa unataka kuchukiwa kadi yako pindipo ukistaafu? Ukikataa wanarudisha...
Nina wasiwasi na habari hizi... kwanza alivyovaa kofia Barrett. Utadhani ni mwizi. Hakuna cheo change nyota zaidi ya tatu, hii yake inaonysha kuvaa nyota zaidi nne. Halafu JWTZ awana beji yenye msalaba. Rangi ya kombati, ni tofauti na JWTZ.....
Huyu Mzee ni mwizi wa mali za CCM. Jumuhiya ya wazazi. Anatafuta njia ya kurudisha mali alizo nyang'anywa na JPM kurudishwa chamani.
Safi sana Bashiru na kamati yake. Ndiyo maana anawalaumu ...... eti walikuwa wapinzani (CUF na Chadema ACT)
Wale wote wazi wa mali za CCM. Wanaanza kutafuta namna ya kurudisha mali walizoiba. Tunaikumbuka kamati ya uchunguzi za mali za CCM. Bashiru na wezake na Polepole ni lazima waindoke kwanza. Nape na Mzee Bulembo (Jumuhiya ya wazazi) walikula sana na JPM alirudisha yote kwa CCM chama kikawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.