Search results

  1. Jammu Africa

    Raila abadilisha chama chake na kukifanya kuwa vuguvugu la mapambano

    Hahahahaaaaaa,,,,,,,Raila ni Jonas Savimbi wa Kenya,,2017???? Uhuru Kenyatta ame mcheck mate. Kesho twaenda kupiga kura bila yeye. Alhamdulillahi. Na,,,,Canaan,,nayo???? Mbio za sakafuni,,zimeishia ukingoni.
  2. Jammu Africa

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    Uhuru Kenyatta anaongoza kwa wingi wa kura-----amepatata kura hata kule hatungetarajia,,Kisii,,amefieka umasaini kwote,,Governor Ole Lenku na Governor wa Narok,,,amepata kura 34,000 luo nyanza na 6,000 Kisumu town, governor sasa ni wa jubilee huko,,kwale, amefieka wasomali wote,Ngome iliokua ya...
  3. Jammu Africa

    EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    God of Abraham, Aizak and and Abraham, you have not yet forgotten us ,,,,Kenyans,,,thanks lord for what is happening here in Kenya.
  4. Jammu Africa

    Uhuru Kenyatta asubiriwa kwenye mdahalo wa urais Kenya

    In Kenya,,houses belongs to individuals and not the government. So tenants rents houses from individuals who struggles to save or even borrow money from banks to put up these structures. No one is forced to rent a houses and you got freedom not to rent one if you find it too expensive...
  5. Jammu Africa

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    First,,when Kenya wanted to build this railway,,many said that it was expensive and it will never be done. All of a sudden, phase one is complete and phase two is continuing and almost ,, ,,at Naivasha. By 2019,,it will have passed Kisumu and reached Malaba. This is what is Jubilee,,kutenda...
  6. Jammu Africa

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Who said so,,that 700kshs was a subsidized price for a ticket?? And,, even if that is the case,,how much did this country borrow and went,,straight to waste,,and still we are paying. The price was reached at that figure,,not by the government of Kenya alone,,but together with that Chinese bank...
  7. Jammu Africa

    Uhuru Kenyatta asubiriwa kwenye mdahalo wa urais Kenya

    Miaka hii yote minnee,, RAO amekua na wakati wakutosha kujitayarisha kwa huu uchanguzi,,lakini,, kama kawaida, ameupoteza kama vile alipoteza alipokua PM,,na mambo madogo madogo,,kisha kujikuta kwa uchanguzi na kutoonyesha vile anaweza kufanya akawa rais,,na akishindwa kuchanguliwa,,eti wimbo...
  8. Jammu Africa

    Uhuru Kenyatta asubiriwa kwenye mdahalo wa urais Kenya

    Labda,,lakini kama yako yako sawa,,basi hebu niambie vile alivyo sema ila tuu,,kujipotezea kura kwa kusema eti atapunguza rent ya nyumba za kukodesha. Anahaki ya kufanya hivyo kwa nyumba alizo jenga na pesa zake lakini nyumba za kibinafsi,,,,,he he he, either yeye ni mlevi sana hata akawa...
  9. Jammu Africa

    Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

    Phase one of Kenyas SGR has been completed and it is 100% success story. You book for a ticket in advance because every body seem to be fighting to get a chance to travel through this new railway line. It is 700 kshs, 4 and half hours from Msa to Nairobi unlike buses where tickets goes from...
  10. Jammu Africa

    Uhuru Kenyatta asubiriwa kwenye mdahalo wa urais Kenya

    Raila Odinga alipewa wakati huo wote aseme kile kipya angefanyia Kenya lakini hakufaulu.
  11. Jammu Africa

    Umaarufu wa Raila wapanda huku ya Rais Uhuru ukishuka,kulingana na utafiti

    With the completion of Mombasa to Malaba railway, Uhuru rating will move to 80% and he will win the next general with no sweat:teeth::teeth: na RAO ata,,,he he he retire honorably, inshaala:msela:take it from me.
  12. Jammu Africa

    Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    Ha ha ha, walisema eti Obama hawezi kuja Kenya kwani hii inchi ilikua yatawaliwa na wahuni. Sasa wahuni ni akina nani,,,,kama si bint soda na wenzake????? Ha ha ha, ICC, kwisha,,, na sasa Uhuru ni,,,huru na,,,,,,,,,. Sasa tunawasaidia hawa wenye kutaka kujiokoa na kusingizia eti wanaokoa...
  13. Jammu Africa

    Raila Odinga: Statement On The Proposed Security Amendment Bill

    CORD ilikua imepanga kuzunguka nchini kwote Kenya kumtaka rais Uhuru Kenyatta kujiuzulu,,pamoja na inspekta generali wa polisi na waziri wa usalama,, kwa mauaji ambayo imekua ikisababishwa na Al-shabaab. Kabla hata wajaanza hiyo safari yao ya kuwachochea wanainchi,,rais Uhuru akamlazimisha...
  14. Jammu Africa

    Baba tukutane Mombasa... Mombasa prepares for CORD Rally at Tononoka Grounds

    Like son like father, Raila Odinga will try many and all the ways but one thing is clear,,,he is a big failure like his father and will remain like that forever. He will never become anything in Kenya, if not, a fugitive in is own world. We said it many times, but now everybody is watching...
  15. Jammu Africa

    Baba tukutane Mombasa... Mombasa prepares for CORD Rally at Tononoka Grounds

    Naomba mwenyeenzi Mungu kwamba, mambo ambayo hutokea Kenya yasikawahi kufanyika TZ. Yanayo fanwa na Raila Odinga ni ukora mtupu na si mhadalo wa aina yeyote. Lake ni kujaribu kuipindua serikali ya Kenya lakini mara hii amenoa tena kama alivyo fanya mwaka wa 1982 na 2007.:smiling::smiling:
  16. Jammu Africa

    Bw.Raila Odinga apewe "House Arrest" Mara Moja!

    Lakini kwa bahati mbaya, Raila Odinga amedhitibitiwa kikamili kwani hata ulinzi wake wa kibinafsi unatokana na serikali ya Kenya. Kwahivyo hakuna vile anaweza kukata mti hali yuko juu ya huo huo mti. Juzi deputy president William Ruto baada ya kumcheka Raila Odinga, aliwahidi wananchi huko...
  17. Jammu Africa

    Bw.Raila Odinga apewe "House Arrest" Mara Moja!

    Na ku unga mkono sana ndugu, mwaona nyote tabia za huyu bwana. Yeye ni kisirani usiku na mchana. Huyu bwana ni selfish na hua hapotezi wakati kuwatumia jamii yake na anapo patachake hua anawapigilia teke mbali. Alipo kua waziri mkuu, familia yake wote walikua wameshikilia high offices, na...
  18. Jammu Africa

    Bw.Raila Odinga apewe "House Arrest" Mara Moja!

    Hoja hapa ni kuwahusu Raila Odinga na rais Uhuru Kenyatta na si huo ukabila ambao unataka ku introduce. Kwahivi sasa, Uhuru Kenyatta ndie rais wa Kenya, na jana rais alimjibu bw Raila Odinga, ndani katikati ya ngome yake ya kisiasa huko Nyanza, Akamwambia kama shida ni chai hata lunch...
  19. Jammu Africa

    Raila Warns of 'Storm' if State Ignores Talks Plea

    Now he is talking of,,,dhorubas,,, that is,,Kenya will tremble as a result of what he will do. He will amass people and shake the government into submission. Why???????????? Because the government does not want to hold national dialogue. He is so superior and very special opposition leader...
  20. Jammu Africa

    Raila Warns of 'Storm' if State Ignores Talks Plea

    Raila Odinga is a lion, but a very old one. This time around, he is doing it with, not one capable lion, but two very confident and powerful young lions, UhuRuto.:smile-big::whistle::smiling: The old Agwambo is still employing those simple and the only known tricks of his,,,,the mass...
Back
Top Bottom