Search results

  1. heartbeats

    Mnaizungumziaje ZiG, Sarafu mpya ya Zimbabwe?

    Wananzengo Zimbabwe wame tangaza sarafu yao mpya kureplace pesa yao iliyopoteza thamani kwa 80 asilimia, Sarafu hii ni ya kidigital pia inapewa thamani na gold. Hadi sasa Zig 100 ni sawa na usd 10 na point. Je, watajikwamua? ==== Zimbabwe’s new currency, the ZiG, strengthened a day...
  2. heartbeats

    Mo Energy na uchafuzi wa mazingira

    Wakuu, Hakuna kitu nakerereka kama kutembea kila mita kumi nakutana na chupa ya Mo energy imezagaa hakuna dalili kwamba itaenda popote. Kwanini nisione chupa ingine kama ya maji ya azam au hill au kilimanjaro, hata ikionekana kwa bahati mbaya basi ukirudi hutoikuta hii ndo inatakiwa. Sasa Mo...
  3. heartbeats

    Hakuna mwanamke anaetoboa mbele ya Mwanaume Halisi

    Nawasalimu kwa jina la Dp Ipo hivi hawa wavulana wanaolia lia mbele za wanawake wanatuzalilisha sana, Mwanaume hutakiw kuwa dhaifu mbele ya kiumbe cha kike hata awe na uzuri wa aina gani Hutakiwi kumuhofia hata kidogo hakikisha tu upo smart mwilini na akili mfukoni pia ila sio muhimu...
  4. heartbeats

    Gari la mafuta linawaka moto muda huu maeneo ya Ubungo

    Mliopo maeneo ya Ubungo na Kimara kibo, tupeni update ya hapo maana wengine wanakimbilia hatari. === Lori linalosafirisha Mafuta limepinduka na kusababisha Moto mkubwa katika maeneo ya Ubungo jirani na Kituo cha Mabasi Yaendayo Kasi cha Kibo jijini Dares Salaam. Jeshi la Zimamoto limefika...
  5. heartbeats

    Wadada wa Dar mpo vizuri katika updates za hali ya hewa

    Wakuu, yani wadada kusikia utabiri wa hali ya hewa kwamba maeneo ya pwani kutakuwa na upepo mkali wa wastani na mawimbi ya bahari kufikia hadi mita 2 , Basi wameamua kuvaa nguo fupi alafu nyepesi kwa makusudi alafu unakuta ndani vichupi tu no skin tight, ni mimi tu sijui nawaona huku mjini...
  6. heartbeats

    Msaada wa kazi ya udereva wana JF

    Wakuuuu kwa anayeweza kutoa msaada au connection ya kazi ya udereva. Namwombea baba yangu. Ana leseni class D, E, G ni mzoefu wa magari miaka mingi. Mwenye connection au maelekezo naomba msaada nimtupie mzee taulo, shukrani.
  7. heartbeats

    Kozi gani kijana wa kiume asomee VETA?

    Wakuu, nina mdogo angu age 18 kamaliza four mwaka huu, bila shaka hatoweza pata maksi za kwendelea. Sasa ni kozi gani ambayo itamsaidia mbeleni uko hata kwa kujiajiri. Ya kwanza napendekeza udereva, ila ningetaka kujua na nyingine ambayo haitopitwa na wakati maana maendeleo haya ya sayansi...
  8. heartbeats

    Msaada wa udhamnini ,expecial anaefanya serikalini

    Wakuu, Mwenye kweza msaidia mzee wangu huyu akapate mkate wake wa kila siku ,amepata pa kujishikiza ila anahitaji wadhamnini wawili mmoja mfanya kazi serikalini na mwingine kawaida Huyu wa kawaida yupo kipengele icho cha wa serikalini, mwenye kuweza kumsaidia anaweza ni Pm
  9. heartbeats

    Kwa kesi hii anaweza kulipishwa?

    Wakuu, Huyu mjamaa ana ofisi mahala ya duka, walikuja watu wakamwomba waweke mali zao wanakuja zipitia Mali zikawekwa nje zina samani ya laki 7 zikapotea ambapo aliechiwa alipata dhArula Je, anawajibika kulipa mahakamani mad
  10. heartbeats

    Ni hivi wanawake wanaliwa kimasihara kwa sababu hii

    Wakuu ndugu zangu Ni kwa yale maneno ambayo mwanaume anachomekea kama masikhara, mfano ktk kazi. Unafanya kazi ya boda mwanamke kashuka kwene chombo, unafanya kama umeshika kiti pale alipo kaa alaf wajisemea akiwa anakusikia aisee nusu kiti kiunguwe inalekea nanii ako ni so hot, akicheka cheka...
  11. heartbeats

    Hospitali ipi naweza kupimwa masikio?

    Wakuu, Shida ni hiyo maana nasumbuliwa na kizunguzungu mno, kila nikigoogle naambiwa Vertigo ambayo ni shida kwenye sikio maana sina balansi kabisa
  12. heartbeats

    Vijana tupambane, soma hii

    Sirjeff Dennis, CEO Exxon is the influencing leader behind the booming investing mania in Tanzania and East Africa. He started his entrepreneurship career at the tender age of 17 years and found himself fortunate enough to receive significant exposure to global opportunities that helped him...
  13. heartbeats

    Tetesi: Kama huna cheti cha CO-19 ajira sensa sahau

    Ndo ipo ivoo kwasababu 1.utakutana na watu wengi Uzi tayari
  14. heartbeats

    Pick up lines weka wako lengo kila mtu atabasamu

    wakuu hakuna kitu kizuri kama tabasamu katika uso wa binadamu uzi huu ktk coment weka line ambayo mtu akisoma atatabasamu au aki pick up line akamtumia mtu lazima atabasamu lugha yoyote mfano ' hakuna kitu kingine cha gharama ninachokipata buree kama upendo wako, Nahisi umemwambia Mwenyezi...
  15. heartbeats

    Kizunguzungu kisichoisha

    Nina shida ya kizunguzungu kisichoisha na kujihisi mwili mwepesi sipati usingizi yani ovyo ovyo nimetumia dawa mpaka nimechokoka sioni kupona hata kidogo
  16. heartbeats

    iPhone6+ kuandika No service jinsi ya kufix

    Wakuu Nina iphone six plus ila ukiweka chip inaandika no service, ktk setting network inaandika not available Carrier pia not available
  17. heartbeats

    Nataka kuanzisha App ya kukopa ,kununua bidhaa za majumbani

    Wasalaam Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu, Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo...
Back
Top Bottom