Search results

  1. Mchoropa

    Pintech fridge inauzwa

    Upo wapi? nicheki 0655206989 tuzungumze
  2. Mchoropa

    Simba wako kwenye mavuno

    Ha ha ha ha hatari sana
  3. Mchoropa

    Ushauri: Mkaka mdogo ananipenda mpaka familia yake wanajua nifanyeje kuepuka usumbufu?

    Umri ni namba tu wala hautatizi mahusiano, changamoto ni kwa kuwa tayari wewe una mpenzi mwingine, vinginevyo ningekushauri UMPWELEPWETE huyo dogo@
  4. Mchoropa

    Je nani kuondoka na tuzo hii?

    Lukaku
  5. Mchoropa

    Wanasoka mahiri kutoka mkoa wa Morogoro

    Ally Shomari, Ismail Mhesa, Juma Abdul, Shiza Kichuya, Mo Ibrahimu, Hassan Kessy, Mzamiru Yasin, Jonas Mkude, Shomari Kapombe, Aishi Manula n.k
  6. Mchoropa

    Kagame cup mshindi wa 3: Yanga waingia mitini

    Hili kaburi mlilofukua linaweza kufukiwa na watu wengine mwaka huu, ngoja tusubiri hiyo tar 05/07/2018
  7. Mchoropa

    Tujikumbushe Wasukuma waliowahi kucheza soka

    Mrisho Ngassa
  8. Mchoropa

    Niliyoyashudia Morogoro sitasahau

    Bado unajiona uko sawa? unawezaje kuhudumia mbwa gharama ya mil 4 ilihali wapo binadamu wenzako hawana uhakika hata wa mlo mmoja kwa siku? Jitathmini, njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba mno@
  9. Mchoropa

    Wajuzi: Nauli Ya Kwenda Brazil

    Nadhani kusudio lako ni kutuonyesha unajua "kubold" maandishi@ Rangi zinaumiza macho#
  10. Mchoropa

    Waziri Mwakyembe amemteua Mwenyekiti wa Bodi ya chuo cha Michezo Malya

    Wanahitimu ktk chuo hiki wanatumiwaje (Ajira)?
  11. Mchoropa

    Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

    Hapo kwenye top four ndiyo muelekeo ulivyo aiseee@
  12. Mchoropa

    . Cameroon 2000. African cup of National.

    Pierre Lechantre akiwa kocha mkuu@
  13. Mchoropa

    Taarifa kwa wateja wetu wa Umeme waliounganishwa kwenye gridi ya taifa

    #Pangaboi kutoka Canada imeleleta mtikisiko kwenye maji na kusababisha shoti ktk vifaa vya kufua umeme@
Back
Top Bottom