Waungwana kwa muda sasa natafuta video za Taifa Stars kwa yoyote aliyenazo au anajua wapi naweza kuzipata nitashukuru.
Ningependa kama zingekuwa ni HD lakini ata SD zitafaa.
Ahsanteni.
Hii article kutoka kwenye UK's The Independent, It's lengthy, lakini inafungua macho.
Dubai was meant to be a Middle-Eastern Shangri-La, a glittering monument to Arab enterprise and western capitalism. But as hard times arrive in the city state that rose from the desert sands, an uglier story...
Sir Alex Ferguson has re-opened hostilities with Rafa Benitez by disputing the Liverpool manager's claim that he has spent more on transfers than the Spaniard.
Benitez suggested last week that Ferguson had spent £100million more he had, but the Manchester United boss retaliated by ordering...
Week iliyopita serikali ya Dubai ilimnyima visa mcheza Tennis wa Israel soma hapa
Israeli Peer refused Dubai visa.
Tennis channel ikastrike back kwa kusema hawataonyesha hayo mashindano (sikujua ata kama kuna channel ya tennis)
"Tennis Channel Wont Televise Dubai Event in Protest"...
Hawa waungwana wamepunguza uzalishaji, ili bei za mafuta zipande tena kwa kudai kuwa fair price ni pale inapokuwa well above $ 75 a barrel.
Maadui wa US(Iran,Russia,Venezuela) naona mambo si mazuri.Ndio maana wanapushi sana hii cut.
Naoana hawa waungwana wanazidi kuchangia kwa hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.