Search results

  1. samsun

    Maswali magumu kuhusu uchawi/ushirikina

    Naamini mko poa wakuu, Mi kuna maswali huwa najiulizaga na sijawahi kuyapatia majibu. 1.Nini tofauti ya mchawi na mwanga? 2.Nitamjuaje mchawi au mwanga (dalili na ishara zake) 3.Nini lengo la mchawi au mwanga? 4.Nasikia kuwa wachawi au wanga hawaibi pesa,sasa mbona nasikia uchawi na wanga...
  2. samsun

    Maisha bila ya watu wanaokutegemea si kitu

    Ndio, maisha bila ya kuwa na watu wanaokutegemea si kitu na hakuna sababu ya kujisumbua kwa kutafuta sana. Ngoja nifafanue, wewe ni mwanaume/mwanamke una kazi/biashara/shughuli ya kuingiza kipato na una miaka zaidi ya 30 viungo vyako viko kamili kiafya na kiakili, kwanini usioe/kuolewa au...
  3. samsun

    Nimekuwa mtanashati mno, hadi nimekuwa kero kwa wengine

    Wakuu nadhani mko poa, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii. Kama ujanipata hebu ngoja nikupe mfano wa ninachokieleza, nikisalimiana na mtu kwa kushikana mikono, basi siwezi...
  4. samsun

    Nimekuwa mtanashati mno hadi kuwa kero kwa wengine

    Wakuu nadhani mko poa,kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimekuwa mtanashati mno hadi naonekana kero kwa watu wangu wa karibu nini nifanye ili nijiepushe na hali hii ??? Kama ujanipata hebu ngoja nikupe mfano wa ninachokieleza,nikisalimiana na mtu kwa kushikana mikono,basi siwezi kuvumilia...
  5. samsun

    Tukio kuuuubwa la burudani linakuja, Wasafi beach party, hii si ya kukosa.

    Ni tukio kuuubwa kabisa la burudani kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa ujumla wake na tukio lenyewe ni WASAFI BEACH PARTY wakishirikiana na VODACOM TANZANIA wanakuletea wasanii vipenzi vya watanzania na Africa nzima kwa ujumla. Tukio hili la burudani litaongozwa na msanii namba moja...
  6. samsun

    Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

    Leo mjini Dar kuna matukio mawili ya burudani,moja ni la After scul bash ya Clouds media group litakalofanyika Eskape one na lingine ni la EA TV awards litakalofanyika Mlimani city. Katika kupitia baadhi ya watoa burudani nimekuta kuna majina yapo huku na kule,nikajikuta najiuliza hivi hawa...
  7. samsun

    Team Janja janja, team kununua cheki ilivyowanunua Wazimbabwe

    Ile timu Janja janja au maarufu kama timu manunuzi,ikiongozwa na msanii wa kimataifa mwenye mbinu za kijanja janja DIAMOND PLATNUMZ alikuwa nchini Zimbabwe (Zim) kwaajili ya shoo moja iliyofanyika juzi (ijumaa) na kuhudhuriwa na maelfu ya wazimbabwe ambao "inasemekana" kuwa DIAMOND aliwalipia...
  8. samsun

    Diamond Platnumz ndani ya Mayotte

    DIAMOND PLATNUMZ A.K.A MSANII WA UJANJA UJANJA yuko ndani ya nchi ya MAYOTTE kwa ajili ya kufanya shoo mbili,ambazo moja itafanyika kesho na nyingine ni kesho kutwa kwenye uwanja wa mpira.
  9. samsun

    Huu ndio ubunifu wetu waafrika.

  10. samsun

    Waliweza kukiwa hakuna kitu, ila tunashindwa wakati vitu vipo

    Ndio waliweza (wazungu) kuunda vitu wakiwa hawana hata picha ya "kugerezea" lakini sisi waafrika/watz tunashindwa kuunda vitu wakati tunaweza kuunda kwa "kugerezea" vya wenzetu! hii wewe unaionaje? Tunaishia kuripea tu, magari, simu, boti, pikipiki, tv na vitu vingine hata kuripea hatuwezi...
  11. samsun

    Sasa tunaenda kwenye maisha halisi.

    Wakuu natumai ni wazima,kama kichwa cha habari kinavyosema " sasa tunaenda kwenye maisha halisi" ndiyo tunaenda kwenye maisha halisi ya watanzania tunayostahili kuishi. Mahoteli hayana wateja,kinachofuata ni kupigwa mnada kama walikopa au kuuza kwa hiyari yao kama hawadaiwi,huku mengine...
  12. samsun

    Uchafu na umasikini

    Hivi ni kwanini hawa jamaa ni ndugu, umasikini na uchafu yaani mazingira ya wanapoishi machafu, mavazi wanayovaa machafu na hata muonekano wa mwili ni mchafu tu kwanini iko hivi. Ina maana huwezi kuwa masikini na ukawa msafi wa mwili, mavazi na makazi yako yakawa masafi au tunausingizia...
  13. samsun

    Hizi ni salama zaidi kufanya Bodaboda.

  14. samsun

    Vipi huko kwenu, bado "laki si pesa"?

    Vipi huko kwenu, bado "laki si pesa" maana huku kitaa chetu nimeumisi sana huo msemo. Ilikuwa ni hivo na hata kuna wale wadada wavaa kanga moja ndembendembe walikuwa wanajiita hivo ambao siku hizi siwasikii jinsi hali ilivyo mbaya. Pesa imepungua sana kwenye mzunguuko, kama sio robo basi ni...
  15. samsun

    Itakuwaje uwanja wa Yanga au Simba kisha mashabiki wa upande mmoja wafanye vile?

    Siku zinaenda mbele hazirudi nyuma,ipo siku tu Yanga au simba wanaweza kumiliki uwanja wao,sasa nina swali kwa mashabiki wote humu ndani. Imetokea siku Yanga ndio wapo uwanja wao wa nyumbani kwa maana ya kwamba ndio wanaumiliki,kisha mashabiki wa Simba ndio wakavunja viti,mageti au kitu...
Back
Top Bottom