Mimi nimesema 23 yrs sio 28
Jackson ana covertion rate kubwa zaidi ya Nunez aliyenunuliwa mil 100
Jackson kamisi big chances 19 au 20
Watkins 20+
Nunez 25+
Haaland 30+
Bado mimi namuona Jackson ni mtu ambaye anacheza vizuri na hapa sio kocha wala yeye wa kumlaumu
Failu ya Chelsea au Pochettino...
2026 - Attackline
--------------------Fofana (23)-------------------------
Nicolas Jackson (24) ---Cole Palmer (23) ----Kendry Paez.(18)
Sub
Mudryk (24) for Jackson (24)
Chukwuemeka (21) fo Palmer (23)
Angelo Gabriel (20) for Paez.(18)
Wachezaji walio wengi wanaanza kukomaa kisoka wakifikisha miaka 23. Tafuteni ukweli kwanza kabla ya kukoment masuala ya kitaalamu kama hizi
Unakumbuka wakati ule Sarri akilalamika juu ya akina Cheek?
Alikuwa akisita kuwapa nafasi hadi mashabiki wakawa wanalalamika. Kwenye mojawapo ya interview...
Hata ubovu wa Badiashile ni kwa sababu ya Pochettino
Enzo alikuwa mzuri wakati wa Potter sasa amekuwa average
Badiashile alikuwa mzuri wakati wa Potter sasa amekuwa hovyo
Caicedo, Mudryk, walikuwa wazuri na timu zao kabla ya Chelsea sasa average/hovyo
MUdryk alikuwa anadevelop vizuri, alipoanza...
Uchezaji wa hovyo wa Chelsea na matokeo ya kukatisha tamaa yanaweza kuhusishwa na sababu kuu 4 tofauti.
1) Wachezaji: Ukosefu wa uzoefu wa timu na umri mdogo, ambao unachangia 15% ya suala hilo.
2) Wamiliki: Ni wapya na maamuzi yao mabaya huchangia 20% ya tatizo.
3) Majeruhi: Athari kubwa...
Glasner ameipa sura mpya Palace kwa klutumia mfumo wa 3-4-2-1jinsi tumekuwa tukimwomba Pochettino afanye na kikosi chetu kutokana na kutokuwa na ubora wa mawinga wa nje, viungo wa misuli na CBs wazuri.
Palace wanaonekana timu tofauti, imara na inayoruka huku Wharton na Hughes wakiwa katikati ya...
Jana nilisem atuijadili Palace labda tutapata uzoefu wadau wa Poche wanadai wachezaji ndio wa hovyo wakanyamaza.
Wale Palace tangu waanze ligi ni wabobu kuliko Chelsea ya vitoto, leo hii wamewafunga Liver na New castle na aluta continua
Nilisema tujadili Palace halafu mnaminya
Ebu nipeni majina yote ya kocha mpya wa Palace, umri wake, uzoefu wake, je aliwahi kubeba makombe maana naona ni aina ya akivna Alonso. Tumuwahi huyo atatuletea muwa arobaini
TETESI: Tayari kuna makocha wa kaliba ya juu ambao wako mkao wa kumrithi Mauricio Pochettino na watafurahishwa na changamoto inayotolewa na Chelsea
"Ruben Amorim to Chelsea here we go"
Chelsea wamelenga macho yao kwa kocha mlengwa Liverpool Ruben Amorim kama mpango mbadala endapo Chelsea...
Ukweli ni kwamba kilichowanyima makombe ni kuwa na academy kwenye EPL na ubahili juu wa Wenga na wamiliki. Sasa sisi tunahitaji ulenge point mambo ya top 4 hata sisi tutaingia tu sio muda mrefu ila makombe ndio nawasiwasi itatuchukua miaka ishiri kwa sababu ya wamiliki wanataka kukaa na kocha...
Unapochangia mada hii kwanza utaje ulianza kuwa shabiki wa Arsenal lini, isije kuwa ulianza wakati wa Arteta halafu ukatuzungusha tu hapa hapa. Sisi Chelsea tuko serious hatukuzoea kuishi na Stress
Kama kweli ninyi ni binadamu na mna utu mtusaidie
Kwanza naomba mtupe uzoefu wenu. mliwezaje kusurvive na timu mbovu kiasi kile kwa miaka karibu 20?
Tupeni bana ,maana tunaelekea huko tusije tukawapoteza ndugu zetu njiani
Niko Serious
Arsen wote mlioishi tangu 2005 ya invisible ebu tuambieni sasa
Mauricio Pochettino ameuambia uongozi wa Chelsea kwamba lazima wafanye maamuzi ya kikatili katika dirisha lijalo la majira ya joto.
Alisema klabu inahitaji kuja na mkakati mzuri zaidi ili kuepukana na usiku wenye maumivu kama huu usijirudie tena.
Maoni yangu
Simpendi sana Pochettino, lakini...
Ushahidi mzuri ni kwamba Cucurella alimuweka mfukoni Saka, Arteat akagundua dawa ni kumuweka Ben White aambatane na Saka, wakati Cucurella yuko bussy na Saka, yeye anaenda tu uani, wina ndie alitakiwa kumtarct White lakini alichwa kuwa hru akatuliza 2-0
Kule kwa Gilchrist nako fomula ni ile ile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.