Search results

  1. G.Man

    Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Mkuu huo mstari unamaanisha unachokisema, lakini ili kuendelea kuelewa zaidi anachokisema alumn soma na mstari wa 18, utaona ishara nyingine pia kama za uponyaji, kushika nyoka n.k, zote ni karama na kila mtu anapewa kwa kadiri ya kipawa cha roho mtakatifu sawa na 1Kor 14 Mwisho kabisa Paulo...
  2. G.Man

    Hungary: Rais ajiuzulu kwa kumpa msamaha mtu aliyehusishwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto

    Hii taarifa Kibongo bongo ni 'NOT Applicable' 😀😀..
  3. G.Man

    Tulichofichwa ni siku na saa, siyo majira

    Yesu yu karibu kuja📌, tukeshe maana hatujui siku wala saa
  4. G.Man

    Je, Hypersexualism ni jambo la kawaida kwa teenagers wa siku hizi?

    Kufanya ngono hovyo sio sifa. Hutakuja kupata tuzo/pesa/zawadi ya aina yoyote ya kufanya hivyo zaidi ni kujiongezea changamoto. Kama unaweza basi kaa kwa utulivu tunza nguvu zako
  5. G.Man

    Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

    Changamoto ni ujio wa Mamkwe, kuna uwezekano mtoa mada ali react vibaya Mama alivyotaka kwenda na mtoto dukani, bahati mbaya mume akasikia , au mama mtu kimemuuma akamwambia mwanae( kama alikosa hekima lakin)
  6. G.Man

    Biashara ya dagaa

    🤣🤣 Dah! Biashara huwa changamoto kweli yani lazima ujitoe kaka, ku compete na watu wanaoleta mzigo mkubwa kwa pamoja sokoni sio rahisi, na kasumba mbaya ni ile ya wafanya biashara kutaka uwaachie mzigo alafu wakulipe baada ya kuanza kuuza, Nakushauri uende kijijini tafuta mzigo quality, njoo nao...
  7. G.Man

    Kwa Tukio lililomtokea Mama yangu 2009, Nimetokea kuuheshimu sana Ukristo na Wakristo wote

    Ikiwa ushuhuda wako ni wa kweli, basi kipo kitu Mungu amepanda ndani yako kwaajili yake, Ndio maana sio wagonjwa wote wanapona ila akapona mama yako na hilo likakuingia moyoni sana, Basi nakuombea kwa Mungu upate nafasi wakati mwingine ya kusikiliza mafundisho kuhusu Yesu, pamoja na kwamba una...
  8. G.Man

    Nalia na fullbacks wa Simba yangu!

    Pamoja na kuwa ali drop kiasi baada ya majeraha, ila Thadeo Lwanga aliweka balance nzuri sana Wakati wake pale Simba, Huyu Putin, Ngoma wanacheza juu sana. Fraga pia alikuwa anaweza ku drop akacheza katikati ya mabeki kiasi hata Mabeki wa pembeni wakipanda, nyuma kunabaki na watu watatu imara...
  9. G.Man

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

    Nimetoka kusoma uzi hapa kwamba watu wana mtajataja sana Magufuli, huu uzi wa tatu sasa naona malalamiko kuwa hatajwi! Hivi wanaolalamika ni walewale au ni tofauti?
  10. G.Man

    Cristiani Ronaldo tunamuheshimu na tunathamini mchango wake katika soka

    Alichopoteza Ronaldo ni ushawishi kwenye timu, hapewi kipaumbele hata kidogo, na bahati mbaya pia Ukame wa mabao umemuandama kwahiyo maisha yake yanazidi kuwa magumu
  11. G.Man

    Cristiani Ronaldo tunamuheshimu na tunathamini mchango wake katika soka

    Si kweli mkuu, Pamoja na madhaifu yake, ila timu kama timu ina udhaifu mkubwa sana hasa kwenye kutengeneza nafasi. Mara nyingi mno Ronaldo anakimbia katikati ya mabeki wa timu pinzani lakini katika mikimbio 10 mmoja tu ndo mtu anaweza ku attempt kupitisha pass kwake. Rashford game anazoanzia...
  12. G.Man

    Ligi Kuu Bara: Simba 2-2 KMC FC - Uwanja wa Mkapa, Sept 07 2022

    Nafikiri washabiki wa Simba wanaweza wasinielewe ila Thadeo Lwanga hawezi wekwa nje na kati ya Mkude au Kanoute, alikuwa anacheza deep vizuri sana saivi mabeki wanakuwa exposed Mno
  13. G.Man

    Je, bustani ya Eden haipo Tanzania?

    Bila shaka fumbo liko kwenye kutofautisha kati ya mahali halisi(Place ) na mazingira (Enviroment) , eden ni mazingira ya uwepo wa Mungu unlike tunavyotaka kuwaza kuwa ni sehemu ambayo tunaweza kwenda kwa miguu. Na Kimsingi Biblia imejaa mafumbo matupu kwahiyo tunahitaji sana msaada wa Roho wa...
  14. G.Man

    ORAL INTERVIEW MARA MBILI

    Pambania tu mkuu, kuitwa Interview mara mbili ina maana ile ya kwanza Either hukufanya vizuri, au wameona potential ya wewe kufanya kazi nyingine tofauti na uliyoomba mwanzo.. Kuhusu maswali ya jumla ni kujaribu kupunguza mrundikano kwenye interview yenyewe kwahiyo wanafanya ku shortlist watu...
  15. G.Man

    Mbinu pekee atakazotumia Konde boy kumkabili Diamond

    Mkuu, hutadaiwa kabisa damu ya Mmakonde
  16. G.Man

    Vita vya Ukraine: Pentagon yatoa orodha kamili ya silaha zilizotolewa Ukraine

    Hizo figures za Pesa hapo zina usahihi kiasi gani? Chanzo?
  17. G.Man

    Ushauri: Jinsi ya kujiandikisha kama Private Candidate kwa mitihani ya Kidato cha Sita

    Habari wakuu, Ninahitaji kujua jinsi ya kujiandikisha ku re-sit mtihani wa kidato cha sita. Na ipi inaweza kuwa rahisi kati ya kurudia mtihani ama kusoma kozi ya diploma na kuendelea zaidi mbele? Kozi zipi pia za diploma za muda mfupi mtu unaweza kusoma kwa matokeo ya form four ya div2. Asante.
Back
Top Bottom