Search results

  1. Y

    Dodoma: Wafanyabiashara wakubwa tumewakosea nini TRA Serikali?

    Tusianze kulalamika tu fuata sheria zilizotungwa na bunge tukufu ili kuepuka usumbufu usokuwa wa lazima.kulipa kodi ni wajibu wako na sio hiari.lipa kodi kwa maendeleo yako
  2. Y

    Prof. Kabudi afunika bungeni

    Prof yuko juu,JPM noma sana kuibua vifaa mfano wa Prof Kabudi
  3. Y

    Ungepata nafasi ya kumshauri Mh Lowassa, Ungemwambia nini!

    Kiongozi sehemu yeyote ile hupangwa na Mungu,hivyo basi Mungu hakupanga awe rais wetu ashauriwe aendelee na business zake na akubali matokeo vinginevyo atajipandisha presha bure (presha inapanda presha inashuka)
  4. Y

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    pale magogoni atapasikia tu
  5. Y

    Kafulila: Simbachawene hana weledi kuwa waziri wa nishati na madini

    Kibaraka wa Mengi kazini. mengi ni janga la kitaifa
  6. Y

    TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Pole sana kamanda kwa kuondokewa na mama mzazi,hakika sisi sote ni wa Mungu kwake tutarejea
  7. Y

    Tambo za waziri Muhongo

    Bahati mbaya katika wizara za serikali yake ni kati ya wizara zinazoongoza kwa kuitia umaskini nchi hii kwa kusamehe ushuru na kodi. Pia ni wizara hiyo hiyo inayoongoza kwa kuwa na mikataba ya ovyo isiyo na tija na wananchi. Mandla jr,nadhani na wewe unakuwa kwenye kundi la mambumbumbu...
  8. Y

    Rais Kikwete, Kutembelea Mfungwa na Mwizi wa EPA Kunatia Shaka

    hivi kwa nn jk hajaenda mpaka leo gerezani kumjulia hali babu seya, hana huruma hata kidogo mke wa mtu anauma asikwambie mtu,uibiwe kitu chochote lkn sio mke wa mtu
  9. Y

    Hali ya usalama si shwali muda huu Wilayani Bunda kata ya Nyasura mkoani Mara

    Mleta hoja yawezekana ana lake jambo, atuambie Yuko Nyasura ipi ikiwezekana aweke na picha. Kama ni mambo ya uchaguzi CCM itashinda kwa 90% hapo kesho. Karibuni Bunda mji wenye amani na utulivu. Chuki hapo umenena ni lazima CCM ipate...
  10. Y

    Siasa za CCM: Kodi juu, Umeme juu, maji juu, Gesi juu, Kiwanja juu, Mshahara uleule

    Umefanya research lakin kabla ya kuandika upuuzi huu? Kwa taarifa yako Tanzania ni nchi ambayo gharama za umeme kwa watumiaji wa kawaida ni ndogo bado kuliko nchi zote EA wakati tanzania unit haijafika 200shs ,rwanda ni 240RWF sawa na 500shs,kenya ni dola moja sawa na sh za tza 1560 na...
  11. Y

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    zitto ni kamanda mpiganaji na mpambanaji hakika mchele utabaki kuwa mchele na pumba kubakia pumba,ZZK kashinda kesi big up kamanda zzk uko juu.Unastahili kuchukuwa uenyekiti wa chama chenu cha chadema kamwe wasikutishe.
  12. Y

    Roho mtakatifu kuwashukia watanzania 2015?

    Amen' "Kwa Mungu yote yawezekana kwake aaminiye" Tuendelee kuomba Mungu afungue ufahamu wa watanzania wauone ukweli huu' Ni kweli kabisa Mwenyezi Mungu atusaidie tuendelee kuchagua chama makini kinachoendelea kutuletea maendeleo yaani Chama Cha Mapinduzi (CCM),Kidumu chama cha Mapinduzi
  13. Y

    Get Cure from Dengue Fever in 1 day

    Thanx four this important post,I hope all of us will make use of the papay leaf juice to cure and eradicate dangue desease
  14. Y

    Kinara vurugu za kidini huyu hapa

    Kwa mtazamo wangu,serikali inapaswa kukaa na pande mbili yaani Waislam na wakristo na kuzijadili hoja au kero za pande zote mbili kwa pamoja. Haya matukio ya mauaji yanayotokea inaweza kuwa ni moja katika athari za kero hizo au ikawa ni sababu mojawapo kwani sababu hasa bado haijafahamika...
  15. Y

    Tra,hili halikubalik!!!!

    nakuunga mkono ndugu yangu nami boda boda langu limekutana na kadhia hiyo hapo moro Kwa hiyo wewe ulitaka TRA wamkimbie huyo mwendesha bodaboda wasitekeleze majukumu yao mara baada ya kutimua mbio?.Acha ushahabiki shauri watu wafuate sheria za nchi.
  16. Y

    Mwanza:Mfanyabiashara akutwa na jeneza katikati ya bidhaa zake!

    Huyu jamaa anajua kazi la hilo jeneza ni kubwa na ni kawaida ya hao jamaa kufanya biashara kwa njia za kishirikina hata marehemu sheikh yahya alikuwa akifanya hivyo
  17. Y

    Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

    awadhi ulishaambiwa kuwa mtoto ana umri wa miaka 14,hebu changia mada
  18. Y

    Msafara wa CCM wapata ajali Chunya.

    tuwaombee wapiganaji,aliefariki Mungu amlaze pema peponi na majeruhi wapate kupona mapema kuendeleza harakati za kuendelea kushikilia dola
  19. Y

    Msaada:Wakuu natafuta mbwa wa ulinzi

    weka mob.phone number yako wana jf waweze kukusaidia
  20. Y

    Bado natafakari kauli ya Malima kwamba zile silaha ni mtaji mkubwa wa maisha!

    Kaimu kamanda huyo alisema kuwa polisi waliokwenda kufanya uchunguzi wa awali walibaini kuwa mtu aliyeiba vitu hivyo hakuwa amevaa viatu kutokana na nyayo za miguu yake zilizoonekana nje ya chumba alichokuwa naibu waziri huyo. hapo kwenye red inamaana huyu mtu alikuwa nae chumbani,alivyo...
Back
Top Bottom