Search results

  1. L

    HESLB: Sheria-mpya!

    Mkuu wangu, Wenye uwezo wakikusoma inaonyesha wazi wewe ni mtu mmoja na unabadilisha majina tu, unataka kumdanganya nani hapa JF? Tumieni huo muda kusoma badala ya kubishana juu ya mambo ambayo hayawaongezeeni tija kabisa. Pia kubadilisha majina ili kujipigia vigelegele mwenyewe sio...
  2. L

    CHADEMA imefanya nini kustahili dhamana ya Uongozi wa Taifa?

    Unajua hapa duniani Majuha wanakuwa mabingwa wa kuwaita wenzao Majuha. Aliyesema nyani haoni kundule, hakukosea!
  3. L

    JK apata PhD ya International Relations

    Mwenzenu JK kavuna, kaeni mkao wa kula hasa kwa vijana.
  4. L

    Being Part Of The Solution: Mr.President Siku 100 Za Kwanza!

    Shivji aliwahi kupelekwa Rukwa akafanye kwa vitendo na mambo yalimshinda huko.
  5. L

    Kwa Nini CCM Inashinda Chaguzi "Kwa Kishindo"?

    Mbona kila mwaka CCM wanashinda Ubungo? Ni Mrema na Lamwai tu waliwaweza Ubungo. Tatizo nionavyo mimi sio wananchi kutokuelewa bali ni upinzani kushindwa kuelewa wananchi wanataka nini.
  6. L

    Kwa Nini CCM Inashinda Chaguzi "Kwa Kishindo"?

    Na wale wapiga kura wa jimbo la Ubungo je? Nao ni pilau na sukari? Maana hilo jimbo ndilo lina vyuo vingi lakini nako CCM wanashinda tu.
  7. L

    Ilani ya CHADEMA Hii Hapa

    Itaongeza ajira. Itatengeneza ajira kuimarisha sekta za ujenzi, madini, kilimo, utalii na huduma za jamii. Itaweka kipaumbele kwa sekta za uchumi zinazotengeneza ajira kwa watu wengi mfano kilimo. Kwa kuwa kipaumbele kimewekwa kwenye elimu, CHADEMA inaamini kuwa shule nyingi zaidi zitajengwa...
  8. L

    Ilani ya CHADEMA Hii Hapa

    Huyo Kilewo jana alikuwa kwenye NEC ya CCM leo anaifagilia CHADEMA JF, kweli JF tuna wasanii. Ile habari yote ya jana atakuwa alipika tu.
  9. L

    Ilani ya CHADEMA Hii Hapa

    Kutoa ahadi kila mtu anaweza, kigumu ni kuonyesha hiyo mipango yote ita cost pesa ngapi na zitatoka wapi? Ahadi pekee zisizo na kipimo chochote ni ngumu kweli kuzipima. JK alisema ataunda kazi milioni moja, tunamkamata kirahisi maana aliweka namba na ni tofauti na mtu akisema ataongeza ajira...
  10. L

    Pinda:Mpaka wa Tanzania na Malawi una utata

    Lakini kule kwetu Kyela na kule kwa wajukuu wa Mzee Mwanakijiji kule Katumba, watu wanalitumia hilo ziwa miaka na miaka bila ya matatizo yoyote. Sisi tunavua mbasa, mbelele na magege bila matatizo yoyote. Badala ya kuongelea utata wa mpaka ambao haumsumbui mwananchi yeyote, labda...
  11. L

    Wanasiasa waliowika 2009

    Kaka mwafrika ushauri wa bure pumzisha akili yako na itumie kwa yanayojenga na sio kubomoa. Una haki ya kuniita mimi jina lolote ulitakalo, heri ya mwaka mpya na mwenyezi akuzidishie busara na kukupungizia ujinga.
  12. L

    Kubenea na siasa za Kyela

    Kaka Sikonge, nakubaliana na mengi uliyoandika hapo juu. Hivi unatoka kijiji gani Kyela? Naona unatuchanganya mara kyela mara sikonge. Mimi mtu wa itete karibu kwa mzee Mwanjala. Kwenye hii thread sitatumia jina langu la kawaida maana nisije nikazua ugomvi.
Back
Top Bottom