Search results

  1. manking

    Tetesi: Mvua imeleta maafa baadhi ya maeneo Mvomero-Morogoro

    Taarifa kamili hazijathibitika madhara na mali zilizo haribiwa kutokana na mvua iliyoambatana na upepo na radi kuharibu nyumba kadhaa na mifugo huko Mziha wilayani Mvomero usiku wa kuamkia leo. Nikipata taarifa kamili nitazileta hapa.
  2. manking

    Msaada wa kilimo cha umwagiliaji

    Habari wadau, Nashukuru Mungu aliniwezesha kupa shamba la ekari 20 maeneo ya mtibwa morogoro. Kwa muda wa miaka 5 nimekuwa nikilima Kilimo cha kutegemea mvua niliwahi kupata mwaka juzi tu mazao kidogo ya kuridhisha. Mwaka Jana nililima sikupata pia mwaka huu hadi naandika hii habari mvua...
  3. manking

    Magufuli atangaza kuwa na mawaziri na manaibu wachache tu

    Nimeamini anaposema #HAPA KAZI TU anamaanisha nini. Ili abane matumizi ya wizara zote na kufanikisha malengo anayo waahidi wananchi atahakikisha anateua mawaziri katika wizara zote bila manaibu wao isipokuwa wizara chache amabazo ni nyeti. Hii itapunguza matumizi yasiyo ya lazima ikiwemo...
  4. manking

    Ushindi wa Yanga ni dalili za ushindi wa CCM

    Huu ni utabuiri wangu matusi hayahitajiki na kama hukubaliani pita tu.
  5. manking

    Je, Nyumbu aweza kula chakula pamoja na Simba?

    Ni swali ambalo jibu lake ni gumu kidogo kwakuwa nyumbu ni kitoweo cha simba japo yawezeka ikawa kwasababu tu aidha simba ameng'olewa meno au ni mgonjwa hajiwezi. Katika harakati za siasa na madaraka na kuutaka ungozi kumekuwa na watu kugeuka kondoo kwa nje hali yakuwa ni mbwa mwitu wakali ndani...
  6. manking

    Tumpinge mgombea anayetetea uovu asiingie ikulu

    Tumesikia kauli za viongozi wakitoa ahadi zao kwa wananchi za kuwatoa wahalifu magerezani hii ni hatari na nikipimo chakuwa huyo ni kiongozi anayependa na kutetea maovu ,hawezi kukemea maovu nayeye pia ni muovu. Kwa sifa hizo kiongozi huyo hatufai na si mpenda amani tumpinge ataiharibu amani...
  7. manking

    Lowassa wewe ndiye alianza kuwatukana WanaCCM

    Wadau tusiwe wasahaulifu ndg. Lowassa siku anahama CCM hakutumia busara aliongea maneno mengi, namnukuu ' CCM hawajanitendea haki demokrasia imebakwa' Swali kumbe: Wajumbe wa kamati kuu ni wabakaji au vibaka? la hasha! Ni watu wenye akili na maono. Wewe hukukidhi vigezo ndani ya chama...
  8. manking

    Kama ilivyokuwa kwenye uteuzi wa mgombea urais ccm ndivyo itakavyokuwa uchaguzi mkuu

    Wakuu niwakumbushe jinsi ilivyokuwa katika harakati za kupitishwa mgombea urais ndani ya chama cha ccm Makada mbalimabali walianza mapema kujitangaza na kujiundia makundi yao wenyewe ili waweze kupata wadhamini kabla hata ya uteuzi wa NEC. Mwisho Kada mojawapo amabye hakujulikana mapema na...
  9. manking

    Njia ya kweli na uzima ni hii:(siasa)

    "Ni nyembamba na waionayo nakupita wachache.Njia ya upotevuni ni Pana na waionayo na kuipita ni wengi" Samahani wanjamvi nimetumia maneno yaliyotumiwa na nabii katika kitabu kimjawapo kitakatifu. Hali ya kisiasa nchini hasa tunapoelekea uchaguzi watu wengi wameonekana akifuata mkumbo bila ya...
  10. manking

    Kumbe Mbowe na wanaUKAWA wengi wanamkubali Dk. Magufuli

    https://youtu.be/5SO[video].
  11. manking

    Muuzaji mkuu wa viungo (big dealer of spices), wapi anapatikana kwa Dar?

    Wakuu habari, Naomba kufahamu au kama kuna mtu anahusika na biashara ya viungo(spices) bei za jumla kwa dar au mikoani. viungo vinavyo takiwa ni; corriander(giligiliani), black pepper(pilipili manga), cardamon(iliki),nutmeg(kungumanga) cinamon(mdalasini) garic (vitunguu swaum) n.k Ikiwezekana...
  12. manking

    Daraja la miguu Kamsamba, Mbeya ni hatari kwa watumiaji

    Daraja hili hutumiwa na wakazi wa kijiji cha kamsamba maarufu kwa kulima mpunga Mkoa wa Mbeya ni hatari linahitaji marekebisho ya haraka, vyuma pamoja na mbao vimeharibika. Wagonjwa, akina mama wajawazito, bodaboda na pia wananchi wengine hutumia daraja hili kama njia pekee kuvuka mto ulio na...
  13. manking

    Msaada jamani

    Habari wana jamii, kwa muda kama wa mwezi hivi nakuwa kama nimepaliwa na kitu bila hata yakula chochote wala kunywa ni(hewa tu) hii inanipelekea kukohoa na kupoteza sauti kwa kama dakika moja. Hali hii inajirudia mara kwa mara. nimetumia dawa kama vile, mucolin, amoxylin na elythromycin sijaona...
  14. manking

    Mchango wa Tshs 25,000 kwa ajili ya maabara utafanya kazi iliyokusudiwa?

    Uhamasishwaji wa kuchangia maabara za shule kila kaya na wafanyakazi kwangu naona kama uchangiaji wa misafara ya viongozi wetu kwenda kutanua nje ya nchi. Binafsi mimi sijaona umuhimu wakwenda watu kama 250 kwa ghalama kubwa huku wakijua hali ya uchumi wa nchi sio mzuri. Je nikweli huu mchango...
  15. manking

    Natafuta mashine ya kupukuchua mahindi

    Wakuu habari, Naombeni msaada wa kupata mashine ya kupukuchua mahindi kuna aina mbili nimeziona watu wanatumia. 1. Zipo zinazotumia engine ya petrol. (2) Pia kunazile zinazotumia engine za diesel. Nahitaji kujua bei zake na zinapatikana wapi hapa Tanzania. Natanguliza shukrani kwa mwenye...
  16. manking

    Kujambishwa na kushtuka

    Habarini wakuu. Naomba kujuzwa kuna hawa watu wanaoshtukashtuka akipigiwa horn ya gari, kupuliza mdomo(mluzi) n.k watakuwa na tatizo gani kiafya? KUMBUKA: Kuna wenye mabusha na wasio na mabusha lakini wote wantatizo la kufanana.(same symptoms)
  17. manking

    Kwa dadaz wa mmu tu

    Aliye single na anahitaji mpenzi au rafiki nipo anitafute. umri, elimu na kazi sio issue nitamheshimu na kumjali.
  18. manking

    Unakumbuka sekondari miaka ile?

    Namkumbuka kiongozi wa bush runners(BISO) katika shule ya sekondari Buswelu iliyopo Mwanza alivyokuwa akitesa watu. Waalimu, Viranja na wanafunzi walikuwa wanamuogopa sana alikuwa akiitwa Bob Zero. Chakuchekesha mwili wake chaupepo(mwembamba) kama sindano lakini ndio aliwatesa sana pale...
  19. manking

    Huenda watoto wakapungua Mashuleni

    Habarini ndugu zangu, Kwanza kabisa nawapongeza wote mlio oa na kuolewa Mungu awabariki muendelee kuijaza nchi(kuzaa) kama tulivyoagizwa. Binafsi nimefanya utafiti nikagundua kuwa vijana wengi sasa hivi hawako tayari kuingia kwenye ndoa(kuoa au kuolewa) kwa madai kwamba 1.Maisha magumu...
  20. manking

    Kwa wadada wa Tanga tu.

    Habarini za j'pili, leo niko pande za Tanga atakae taka kampani yangu anipm karibuni.
Back
Top Bottom