Search results

  1. manking

    Tahadhari Ya Mvua Kubwa yatolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA

    Hii si ya kupuuza jamani huenda ikatokea kweli, tuchukue hath.
  2. manking

    Morogoro: Viwavi jeshi vyateketeza heka 20 za mashamba ya mahindi Mvomero

    Jamani hili tatizo ni kubwa sana msaada was haraka unahitajika ikiwemo wataalumu watuambie ni dawa gani itakayofaa. Mimi pia ni muhanga was hili.
  3. manking

    Morogoro: Viwavi jeshi vyateketeza heka 20 za mashamba ya mahindi Mvomero

    Jamani hili tatizo ni kubwa sana msaada was haraka unahitajika ikiwemo wataalumu watuambie ni dawa gani itakayofaa. Mimi pia ni muhanga was hili.
  4. manking

    Karibu kwa upimaji wa udongo wa bei nafuu kwa kilimo bora

    Sample inatakiwa ichukiliwe kina gani cha ardhi
  5. manking

    SHAHIDI: Chusa alipanga mauaji ya Bilionea Msuya

    Kama wamepatikana na hatia sheria ifuate mkondo wake.
  6. manking

    Maalim Seif: Dalili zinaonyesha Magufuli ni Dikteta

    Watakao kuelewa hapa ni wachache tu maana salio wengi nivipofu wa fikra japo wana macho. Dr. Slaa atkumbukwa milele underline my words.
  7. manking

    Magufuli piga kazi mkuu, wengi walikutabiri

    Ukweli ni kwamba" HAKUNA UPINZANI TZ, WAZALENDO NI WACHACHE TZ, SIASA NA ULAGHAI KWA WANANCHI NDIYO NGAO YA VYAMA KWA SASA. Hamuwezi kuishi kwa kuviziana fulani kafanya nini,ushauri wangu viongozi wote bila kujali vyama watumikieni wananchi msitafute umaarufu acheni umaarufu uwatafute.
  8. manking

    Kazi imeisha: Ugandan experts explain choice of Tanzania for pipeline route

    Yes indeed job opportunities as well.
  9. manking

    Waongeza wowowo wote, angalizo

    hatareeeeee!!!!!!
  10. manking

    Visa vya CCM vyaanza kuonekana Dar es Salaam

    Mlitaka muachiwe ili muibe imekula kwenu mtasubiri sana
  11. manking

    DIRA: Mabilioni yatengwa kuwashughulikia Magufuli, Kitwanga huko Dodoma

    Hadi sasa hakuna mtu atakae weza kumuhujumu rais wetu labda baadae saana.
  12. manking

    Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

    Mzee hana cha kukosoa kwa uongozi wa Magufuli amebakia kutapatapa. Haiwezekani hao wabunge ndo wanaongoza kufisadi uwapelekee pesa ili wale no bora anavyofanya. Halafu pia mbona ilisha idhinishwa na bunge yeye anabadilisha matumizi tu!
  13. manking

    TANZIA: Christina Lissu afariki Dunia jijini Dar

    Poleni sana yote no kazi ya Mungu.
  14. manking

    Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

    Mkuu bei halisi ni ngapi ya mti mmoja wa mtiki?
  15. manking

    TUCTA na Vyama vya Wafanyakazi, huu ndo muda wa kutetea wafanyakazi. Acheni kuwa mabubu, hali mbaya

    wewe umerogwa pamoja na aliyekutuma tulieni dawa iwaingie mlizoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi.
Back
Top Bottom