Search results

  1. S

    TBC inafanya hujuma kwa upinzani bungeni!

    wewe umejua leo huwa ndo kawaida yao, au ulishaona mjadala wa upinzani unapewa nafasi na TBC, kazi yake nikuongelea vizuri chama tawala hiyo ni kawaida kwa vyombo vya habari africa, Ila wajue siku zinahesabika:drama::drama::A S thumbs_down:
  2. S

  3. S

    Naomba ushauri: Wapi nipate msaada wa mtaji juu ya mradi wangu wa matikiti maji, no 0757494890

    Mama nimetembelea masoko,hayo ni kwa awamu ya pili kwa yakwanza nitalima one eka na ghalama yake ni kama million sita ila mpaka sasa nina milioni nne za kuanzia sasa natafta wapi nisaidiwe ili nifikie lengo.
  4. S

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Kaoge Ziwani wewe unamatatizo,wewe tatizo la Takwimu liko wapi? au ndo nyie Ma ccm
  5. S

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Nilisha sema JK nikinyonga kwani utumbo huo si ulitegemewa! ila hayo ni mawazo yake wa2subirie kula ya Maoni lazma kitaeleweka tu! tutaka mawazo yetu na sio ya MACCM
  6. S

    Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    Smahanimi kwa kuwahamisha kidogo kweli nanasi inalipa mf.huku kigoma lejaleja ni Tsh1000 je mtu akiwa na ekali zake 4,anaweza pata kama 4500000x2x4=36,000,000/= kama faida,sasa vp mimi nae nataka kulima TIKITI MAJI je,nitapata wapi soko la uhakika hasa kwa wasindikaji? ili wanipe tenda ya...
  7. S

    Naomba ushauri: Wapi nipate msaada wa mtaji juu ya mradi wangu wa matikiti maji, no 0757494890

    Hizo ghala kubwa ni za miundo mbinu kwa kuwa nataka kufany irrigation ili niweze kulima hata kipindi cha Kiangazi,naomba unielekeze nipunguze nini hapo,msaada wakuniunganisha na taasisi za mikopo itanisadia sana au kama kuna wakuwasiliana na mm ili 2one ni jinsi gani tuwe nae
  8. S

    Naomba ushauri: Wapi nipate msaada wa mtaji juu ya mradi wangu wa matikiti maji, no 0757494890

    Ukubwa ni eka mbili,nimeshafanya window shorping kwa Kahama,Shinyanga,Kigoma mjini na Mwanza pia Bukoba nilikuta bei za rejareja kwa wazaji hao ni 5000 kwa Kigoma ila sehemu nyingie ni Kuanzia 7000 kwa matikiti makubwa sana ya kama kilo 5 na zaidi hivyo 3000 kwa wastani inakidhi soko la walaji...
  9. S

    Naomba ushauri: Wapi nipate msaada wa mtaji juu ya mradi wangu wa matikiti maji, no 0757494890

    Nalima Eneo la eka mbili na huwa ni baada ya siku 75 uvunaji unaanza
  10. S

    Naomba ushauri: Wapi nipate msaada wa mtaji juu ya mradi wangu wa matikiti maji, no 0757494890

    Mimi ni kijana ambae nipo Kigoma Vijijini sina mtaji ila nimeweza kuandika mchanganuo wa muladi wa matitkitti maji nina mashamba hivyo Naomba Musaada wa mutaji na ntaweza kurejesha ndani ya miezi mi nne kwa atakaye weza kunikopesha,naomba musaada pia wa kitaalamu mimi ni mtoto wa mkulima wa...
  11. S

    Nina muchanganuo wa mutaji wa kuanzisha matikiti maji ila sina mutaji je,niupate wapi?naomba musaada

    1. Ukubwa wa eneo eka Mbili 4900m2*2 2. Spacing 45cm x 80 cm (shimo kwa shimo; mstari kwa mstari) Idadi ya miche/ Mbegu zinazotakiwa= ukubwa wa eneo/ nafasi 11400*2 mbegu/miche Idadi...
  12. S

    Ujumbe wa Kwaresima 2014 na wanasiasa wetu nchini.. kutoka kwa Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania

    Nawapongeza sana Baraza la Ma Askofu katoliki Tanzania kwa ujumbe wa kuwakosoa walioko madarakani na kuwakumbusha hasa kwa wakati huu ambao taifa liko kwenye mapito ya kulikomboa Taifa kwa katiba inayo wajali wanyonge
  13. S

    Kiapo Bunge la katiba Kimeshaua ndoto ya serikali tatu

    Huyo alie weka mda anafikilia kwa Kuinama,wewe unafikili kuapa kwa katba iliyopo ndo kutojadili Serikali tatu! Muungano waserikali MBILI je ni zipi kama si Serikali ya Tanganyika &Zanzibar! Jua kuwa Zanzibar ipo hivyo na Tanganyika ni lazma kama Kula!
  14. S

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Mwisho wa maccm ni kura ya siri na katiba yao ya Lumumba hapo watakufa nayo
Back
Top Bottom