Kwahiyo unataka si tufanyeje? tuichukie CDM kwa hilo, haha haha imekula kwako, hatujaichukia kwasababu ya kubambikiziwa kesi ya ugaidi ndo ije kuwa hili, pole!
Mi nashangaa CDM kwanini wamechelewa kutoa tamko la kujitoa, wakati mimi binafsi nilishaapa kutoshiriki kwenye mchakato huu wa kutafuta katiba mpya ya CCM, na hata kwenye kupiga kura kupata wajumbe wa mabaraza ya katiba sikuwa na mda kujisogeza kugombea wala kupiga kura. Walioshiriki wanasema...
Mi sijakuelewa katika tukio hili alitaka atulieje, asiende kwenye tukio kuwatiliza wanafunzi wakati wao walimuitaka wakitegemea ndiye kiongozi atakaye wasikiliza?
Chilosisi sijui kalala? make na huyu jamaa akiona tu post zinazoegemea upande wa CDM lazima akimbilie huko kupost ujinga wake. Bado sijaelewa hawa watu Nape anawalipaje, kwa kuwa wa kwanza kupinga kitu kinachoegemea upande wa CDM au kupinga tu? kama kupost mapema Chilosisi atakuwa anachukua...
Kilichonisukuma kuweka CV hii ya professor Kahigi, ni post moja hapa kwenye forum iliyokuwa inamdhihaki msomi huyu wa namna yake, hili jambo limenikera sana. Unajua kuwasikiliza waropokaji kama Mwigulu na Lusinde tumejikuta tunasahau kwamba si hulka ya wasomi kuropoka ili waonekane wanajua sana...
Da kweli Tanzania tuna safari ndefu sana, kama kweli umeshindwa kufahamu kwanini mode kabadili kichwa cha habari yako. Afu pili umeandika kishabiki, hivi wewe kwa akiri fupi tu, kwa kizazi hiki na kinachokuja unafikiri nani atakubali kumpa nchi mtu kama riz1 miaka ijayo? ukweli ni kwamba...
Wanajikosha kwa serikali tu hao, hawana lolote, tangu wapigwe fine kwa kupromote ushoga sasa wanataka kuonyesha eti walionewa kwa kufanya vitu vyenye picha ya kizalendo kumbe ndo wanaharibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.