Search results

  1. L

    Tetesi: Inasemekana GSM apata zaidi ya nusu ya mabanda (frame) mapya yaliyopo Stand mpya Mwenge

    Salaam, Kama mtakumbuka eneo la stand ya Mwenge ambapo ni maarufu wakati ule kwa wamachinga palivunjwa kwa lengo la kufanyia maboresho. Sasa kilichotokea, inasemekana Mnada kwa wale yale mabanda mapya umefanyika Usiku wa kuamkia Jana na GSM amepata zaidi ya nusu ya mabanda ya Stand. Kama ni...
  2. L

    Utaratibu wa Safari kwa Waandishi/Wachambuzi upo chini ya Manara

    Kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ali Kamwe ni kuwa utaratibu wa usafiri upo chini ya Haji Manara.
  3. L

    Barbara Gonzalez abwaga Manyanga Simba SC, aandika barua ya kutoa notisi ya mwezi mmoja kujiuzulu

    Aomba kujiuzulu na ameandika notisi ya Mwezi Mmoja, ili Januari 2023 aachie ngazi
  4. L

    Maajabu ya baadhi ya Wana-JamiiForums kwa Utawala wa Awamu ya 6

    Wasalam...! Kwanza lazima tukubali tu kuwa kwa sasa tuna Rais mwingine na ni Awamu nyingine kuanza kutafuta kuokoteza maneno maneno na kuyaanzishia thread za kukosoa Utawala wa Awamu ya 6 chini ya mama shupavu SSH ni kukosa hoja na kuonesha kuwa kuna watu walikuwa wanafaidika moja kwa moja...
  5. L

    ACT-Wazalendo Mkoani Lindi wazuiwa kumuombea Dua aliyekuwa Mwenyekiti wao Maalim Seif kisa Maombolezo ya Hayati Magufuli

    Chama cha ACT-Wazalendo mkoani Lindi kimesitisha shughuli ya Maombi ya kumuombea alieykuwa mwenyekiti wao ambaye alifariki Februari 17, 2021. Hali imetokea baada ya kuomba kibali kwa Jeshi la Polisi mkoani Lindi na kunyimwa, huku sababu kuu iliyoelezwa ni tupo kwenye kipindi cha siku 21 cha...
  6. L

    Kwako Gerson Msigwa wa Ikulu, heshimu mamlaka

    Wassalam Wakuu, Ndugu yetu Gerson Msigwa na timu yake nzima ya kurugenzi ya Habari ya IKULU naona wanashindwa kutoa heshima inayostahili kwa Mama wa Shoka Mh. Rais wa JMT, Mh. SAMIA HASSAN SULUHU. Sasa sijui anafanya makusudi au bado ana majonzi ya kuondoka kwa aliyekuwa Rais wa 5. Nimeona...
  7. L

    Baada ya Mwl. Mussa Iddy kulalamika, HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa urejeshaji mikopo

    Baada ya Mwl. Iddy wa Geita kufichua uonevu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, Hatimaye Bodi wameamua watoke hadharani tena ni Jumapili [emoji116][emoji116][emoji116] Watu mbalimbali wamehoji kwa nini Watumishi wanapoidai Serikali hakunaga hiyo 'Rentetion fee'?
  8. L

    Rais John Magufuli amteua Profesa Shukrani Manya kuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Madini, baada Francis Ndulane kushindwa kuapa

    Rais John Magufuli amemteua Profesa Shukrani Manya kuwa Naibu Waziri Wizara ya Madini, baada ya Mbunge wa Kilwa Kaskazini Francis Ndulane kushindwa kuapa juzi na kuibua sintofahamu. === Profesa Shukrani Manya Prof. Shukrani Elisha Manya is the Executive Secretary of the Mining...
  9. L

    Tanzania ya Viwanda: Zaidi ya wafanyakazi 90% wafutwa kazi kwenye kiwanda cha Mihogo kwa Nape

    Wassalam wana-JF, Mwezi Machi mwaka 2019, waziri Mkuu wa JMT Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa alizindua kikubwa na inawezekana cha pekee Mkoani Lindi maeneo ya Mbalala jimboni Mtama kinachojulikana kwa jina la CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATION. Kiwanda ambacho kinajishughulisha na uzalishaji...
  10. L

    Wateule wa Rais, Mshaurini Mh. Rais sio kupokea maagizo tu: Maneno ya aliyekuwa Msaidizi wa Baba wa Taifa.

    Wakuu wa mikoa mnapata kigugumizi kumshauri Magufuli uzalendo wenu uko wapi? Sisi na akina Pinda hawa wakati wa Mwalimu tulikuwa wadogo lakini hatukupokea tu maagizo… tulikuwa tukimshauri mwalimu na serikali yake. Ninyi leo hii mnajikomba komba tu na huo si uadilifu, kila mkisimama majukwaa...
  11. L

    Mm

    Mm Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Yametimia: BASATA yaupiga pingu wimbo wa ROSTAM(Roma na Stamina) unaoitwa Parapanda

    BASATA tafadhalini tuachie tuburudike na hili goma, jamaa wameng'ata na kupuliza ndani yake
  13. L

    Jichagulie Dunia YAKO

    JICHAGULIE DUNIA YAKO _______________________________________________ Sahau kuhusu mengineyo, kinachofurahisha ni kuwa katika dunia yetu hii kila mtu ni staa...ni staa katika dunia yake; tena kila mmoja ni shujaa...lakini ni shujaa katika dunia yake; isitoshe kila mtu ni mjuaji...lakini ujuaji...
  14. L

    Hii iwafikie wanaume wote (Sio wavulana)

    _*HII ISOMWE NA WANAUME TUU*_ [emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871][emoji871] *Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto...
  15. L

    Accounting Software/package

    Salaam wakuu..! poleni na majukumu ya kazi, samahani naomba kujua gharama za kutengeneza/kutengenezewa accounting software kwa ajili oganizesheni ni shilingi ngapi..? Nina oganizisheni yangu nataka kuwa na hii software kwa matumizi ya ofisi, kama upo interested tafadhali unaweza kuweka hapa...
  16. L

    Nauliza TU...?

    Kwa mwenye majibu tafadhali....! ->Hivi Msanii machachari wa Bongo Movie kwa jina la "Kamanda WEMA" alishafuatwa na wafuasi wake takribani Mil 2.6 kwenye chama chake kipya..? Na je ulinzi nyumbani kwa mama yake bado unaendelea baada ya kurushiwa mawe na watu wasiojulikana..? ->Vip Waziri...
  17. L

    Hii inatokea kwa Serikali ya Tanzania tu nchi ya Maajabu

    Wakati Serikali kupitia Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Mwijage wakimzuia bilionea wa kwanza Afrika aliyeamua kuwakomboa Watanzania hususani kwenye gharama za ujenzi /makazi Al Hadji Aliko Dangote kuagiza malighafi kama makaa ya Mawe kwa ajili ya uzalishaji wa saruji kutoka Afrika Kusini...
  18. L

    Mbunge wa Mchinga ndg Hamidu Bobali apata ajali leo

    Mbunge wa Mchinga kupitia Cuf ndg Hamidu Bobali amepata ajali ya gari leo jimboni kwake. Hilo limethibitishwa na mwenyewe kupitia ukurasa wake wa facebook na wote waliokuwemo ndani ya gari ni wazima lakini gari tu ndio imeharibika kwa mbele...! Poleni
  19. L

    Wanawake nyie endeleeni kuringa tu

    Msichana ana miaka 22, anafuatwa na mvulana na kuambiwa kwamba anataka kuolewa, mvulana yupo kamili kajiandaa na anamaanisha, msichana anakataa kwa visingizio vya kipumbavu mvulana anaachana nae. Anachokifanya ni kumfuata mvulana ambaye hana mpango wa kumuoa kisa gari kisa fedha anataka kuitwa...
  20. L

    Nywele zawaponza walimu

    Nywele zawaponza walimu wa shule ya Msingi…! Kuna jambo limetokea la kishirikina kijiji cha Mongomongo, kata ya Navanga, Wilaya ya Lindi mkoani Lindi. Jambo hili limehusisha wanafunzi wa shule ya msingi Mongomongo walimu wao watatu wa kiume pamoja na wazazi wa hao watoto. Ilikuwa siku ya...
Back
Top Bottom