Search results

  1. Wanstechnical

    Nimemeza kipande cha toothstick kwa bahati mbaya, nini madhara yake.

    Inaitwa "toothpick" sio toothstick, waambie na wenzio wote wanaoita stick kwa kifupi.
  2. Wanstechnical

    Kwani madereva wa vibaby walker wana fujo sana?

    Mngekuwa mnabishana kwa kuweka na picha za magari mnayomiliki ingekuwa safi sana, sio mnabishana kwa magari mnayoyaona barabarani tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Wanstechnical

    Ijue wilaya ya Rombo

    -Wilaya inayoongoza kuwa na vijana walevi wa pombe haram Tanzania nzima. -Wilaya inayoongoza kuwa na ndoa zenye mahari kubwa kuliko zote. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Wanstechnical

    Sumbawanga Heshima Yenu

    Huu ni msimu wa mvua, kushangaa mvua imetokea wapi ni "utovu wa akili"
  5. Wanstechnical

    An handsome president ever in my life

    Kuna kipengele nahisi mwalimu wako wa kingereza hakueleweka, #articles kasome tena... mbali na hivyo si vibaya ukiandika kwa lugha uliyo na umilisi nayo.
  6. Wanstechnical

    Hawa WCB wako vizuri-Video ya jibebe

    Basi wewe pia hukuwa unajua ulichokiandika, kumsifia director ni jambo moja, director kuonekana mkali kwenye wimbo mkali ni jambo lingine, unadhani Hansana anaweza kudirect video ya wanafunzi wakiimba wimbo wa taifa ikawa kali kama aliyodirect ya Marioo? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Wanstechnical

    Hawa WCB wako vizuri-Video ya jibebe

    Walichokuwa wanakihitaji hakipo kwa hao madirector uliowataja, vile vile sio lazima kila video ifanywe na directors wa ndani, kuna msururu wa videos walizofanya na hao unaowataka, je umewahi kuwasifia kwa hilo? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Wanstechnical

    Kinga macho yako yasiasilike

    Yaki"asilika" inakuwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Wanstechnical

    TBC1 haipendwi na Watanzania

    Hata zizimwe zote siwezi kukaa napoteza muda kuangalia tv, garbage tv channel ever...
  10. Wanstechnical

    Mambo matatu waliyonishangaza watu wa mikoani.

    Jina lako ni anal yse eeh?
  11. Wanstechnical

    Sheria mpya mifuko ya jamii, walimu mjiandae kilio cha kishindo

    Ukitaka kutoa taarifa inayohitaji facts jiandae.
  12. Wanstechnical

    Haka kademu kamenifanya niache kusikiliza kipindi cha Amplifaya

    Siku nyingine ukiwa unaandika, zingatia alama za uandishi
  13. Wanstechnical

    Tuzo na tunzo lipi neno sahihi?

    Neno sahihi ni Tunzo(N) linalotokana na kitenzi Tunza(T).
  14. Wanstechnical

    Ex wangu anaolewa April 29, kaniomba tukutane aniage mara ya mwisho

    Trh 29/04, Jumapili...ndoa ya dini gani hiyo?
  15. Wanstechnical

    Kuna kikundi cha watu wamesambazwa mitandaoni kupunguza makali ya hoja zinazokosoa mambo mbalimbali ya Serikali

    Mbaya zaidi hata akili hawana, account zao nyingi zimeanzishwa hazina miezi miwili.
  16. Wanstechnical

    Raia wachoshwa na kundi linaloisifia Serikali ya awamu ya tano

    Tumia umoja, unasema "mmemsubiri" wewe na nani? Sema ni raisi uliyemsubiri wewe na nafsi yako maana hata mkeo(kama unaye)au demu wako anaweza kuwa hayuko upande wako.
  17. Wanstechnical

    Tundu Lissu na jamaa zako mnajifunza nini kutoka kwa Akon?

    Bora uombe kukosa mali kuliko akili timamu...
  18. Wanstechnical

    Sasa ni wakati muafaka kwa CHADEMA kuangalia uwezo wa Tundu Lissu kuendelea kuwa mwanasheria wa chama

    Baada ya hii ripoti na makubaliano leo mmeibukia wapi sijui, mnaongea kuhusu Lissu as if yeye ndiye aliyekuwa anakwamisha Tanzania kulipwa hizi pesa, anyways wekeni akiba ya upupu wenu wakati waja mtakuwa hamuelewi nini kimefanyika.
Back
Top Bottom