Search results

  1. MadameX

    Oreo Cake

    80g siagi isiyo ya chumvi 180g sukari ya kusaga) 2 mayai 220g unga 1 tsp baking powder 1/2 tsp bicarbonate soda 1/2 tsp salt 1 tsp vanilla 1 kikombe cha maziwa lala (yoghurt au sour cream) Oreo biscuits kama 5 hivi crushed Changanya unga, baking powder, baking soda na chumvi weka kando...
  2. MadameX

    Mdosi kaniganda

    Mimi kama mimi siamini au kawaida nashangaa kwanini mtu anacheat au extra marital affairs . Niko katika dilema na huyo mdosi ambae ni coworker, he is married and kids, kwa kawaida hawa watu ni wabaguzi so rightly speaking I dont fancy them. Sasa issue huyu mdosi bwana kahamishwa hapa kwetu na...
  3. MadameX

    Dada uko single.. na umri unayoyoma.....tulizana

    Hehehe nimeitoa huko kwenye blog ya wake za wazungu......lakini kweli huku kwetu uswazi kweli ni kawaida kuwa na mume with 10+ age gap. Wengi wao wanakuwa machumaji.....
  4. MadameX

    Nakata undugu huu wa mizinga....

    Jamani huyu ni ndugu yangu tunashare mmoja wa wazazi, ni mtu wa matatizo sana. Mpaka leo hii yuko 40+ lakini ni mtu wa drama, from case to case za aina ya utapeli. Huwa pia anatabia ya uzushi na tabia nyingine nzito. Sasa naona umebaki undugu wa maslahi, kila siku ni mtu wa kutaka asaidiwe...
  5. MadameX

    Akina Mario....

    Naam, wamejenga vifua kusubiri white trash nao watoke................. [
  6. MadameX

    Trying to fit in Wrong Place

    Kama hayajakukuta shukuru mungu...but majority of us are trying or forced to fit in the wrong place. Habari ndo hiyo cc: watu8, Mtambuzi, Bujibuji, Mbuzi Mzee, Preta, MziziMkavu, Kongosho
  7. MadameX

    RIM makes a comeback with BlackBerry Z10

    Specifications BlackBerry 10 OS. HSPA+ / UMTS (850, 900, 1700, 1900, 2100 MHz); GSM/GPRS (850, 900, 1800 MHz); LTE Bands 2, 4, 5, 13, 17 (700, 850, 1700, 1900 MHz). Dual-core 1.5 GHz TI OMAP 4470 (Qualcomm Snapdragon MSM8960 for US and Canada). 4.2", 1280x768 (356 PPI) screen with 24-bit...
  8. MadameX

    Sex Rehab...wapi?

    Kule kwetu tunaita wenye nyege za kitunguu saumu, zaidi ya maombi ya kutoa pepo la ngono. Kweli kuna tiba ya hii addiction, I mean some kind of Sex Rehab Center. Akuu sio mimi kuna mtu anahitaji huu msaada.
  9. MadameX

    Kitchen Tips

    To prevent egg shells from cracking, add a pinch of salt to the water before hard-boiling. To get the most juice out of fresh lemons, bring them to room temperature & roll them under your palm against the kitchen counter before squeezing. If you accidentally over-salt a dish while it's...
  10. MadameX

    Wenzenu wameamua.....

  11. MadameX

    Majungu ofisini....surviving

    Wandugu Hamjambo....jamani hebu nisaidieni vipi niweze kuishi na watu wa majungu ofisini, kuna huyu jamaa yuko imara kuona makosa na kuyafikisha kwa Boss hata kama madogo madogo ili mradi nisiheme kwa raha. Maaana hizi offfice politics siziwezi na wala sijazizoea.
  12. MadameX

    Zanzibar Mix

    1 kg Viazi mviringo/ulaya 1/2 kikombe unga wa ngano 1 kijiko bizari(rangi ya mchuzi) 4 malimau/ndimu au upendavyo chumvi kiasi 6 ltrs maji...yakutosha kuivisha Namna ya kupika 1)Chemsha viazi kwenye maji 4 ltrs na maganda yake mpaka ziwive lakini zisivurugike,zikiiva zimwage maji ziweke...
  13. MadameX

    Flirty Obama

    Boys will be boys...................... Nani kanuna?
  14. MadameX

    Paintings Of Flowers Made From Human Bodies

    Boflo, Mbuzi Mzee, Bujibuji, Preta, MziziMkavu, watu8 na sisi tujipange sasa
  15. MadameX

    Chai Masala/Tea Spice Powder

    Mahitaji ya kutengeneza Chai Masala 100gram hiliki/cardamoms 50gram mdalasini/ cinnamon 2 tsp pilpili manga/whole black pepper ( 1 tsp mnanaa/ dried mint (optional) 1tsp karafuu/whole cloves 2 tsp tangawizi iliyosagwa/ginger powder 1 tsp kungumanga/nutmet. Visage vyote kwenye pamoja kwenye...
  16. MadameX

    Uzee nomar....

    MadameX miaka 30 ijayo ................. Bujibuji busy noting down.
  17. MadameX

    Mmmh maumbo mengine.......

    Yana more than 111 uses
  18. MadameX

    Karibuni Eid ya Ukweee

    Msikose basi nawasubiri. Ndo nishapakua na masahani yako jamvini
  19. MadameX

    Kashfa za Serbia hizi hapa.....

    =
Back
Top Bottom