Search results

  1. M

    "DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

    Nyami2010 umetumwa kumsafisha Phd faker? Zungumzia uhalali wa PHD aliyonayo,suala la wivu ni umbea.Ningekuwa foreign affairs ni msomi toka UDSM au chuo chochote kitambulikano,halafu naona mediocre mmoja mwenye Phd feki anakwenda Belgium,hapo ungesema.Nina bahati ya kukaa first class country na...
  2. M

    "DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

    Nyami 2010 una akili timamu? Eti wivu kwa Kamala!!! Fact ni kwamba ana Phd feki toka chuo ambacho hakina campus etc. Commonwealth Open University IS A BIG JOKE,jiulize kwa nini akina Nchimbi,Nagu na Kamala etc ,na sio wabunge wa Kenya & Uganda!
  3. M

    "DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

    Hiyo ingine ni ya "DR" Nchimbi,ajabu wote ni wana MZUMBE!
  4. M

    "DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

    CommonWealth Open University PhD (Management) 2001 2003 PHD CommonWealth Open University MSc. (Management) 1999 2001 MASTERS DEGREE Mzumbe University MBA (Finance & Banking) 2001 2003 MASTERS DEGREE Institute of Development Management - Mzumbe Advanced Diploma in Administration 1994 1997...
  5. M

    "DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

    EDUCATIONS School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Institute of Development Management- Mzumbe Advanced Diploma in Economic Planning (ADEP) 1992 1995 ADV DIPLOMA Lincoln University MSc. (Organisational Systems) 1996 1997 MASTERS DEGREE Humberside, Brandford University...
  6. M

    "DR" Kamala na Phd feki yake kwenda Ubelgiji kutuwakilisha!

    Ni embarrassment kwa mtu huyu kupewa ubalozi kwenye first world country na bado kujiita "DR" wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua hii ni PHD feki kutupwa!
  7. M

    Balozi zetu nje zilivyojaza watoto wa Vigogo

    Ms. Tully Malecela Mwaipopo Second Secretary Legal Affairs 212-972-9160 ext.21 mwaipopo@tanzania-un.org Ms. Rose Mkapa Administrative Attache 212-972-9160 ext. 25 mkapa@tanzania-un.org Jacob P. Msekwa First Secretary...
  8. M

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    Msomali kila alipo ni nuksi,iwe Kenya,Marekani(Minnesota),Tanzania,Uganda etc etc. Ungekuwa Mogadishu,wangekulazimisha wakufanyie "genital mutilation"
  9. M

    BlueJ installation

    Najaribu kuinstall bluej kwenye laptop yangu naona nimekwama. Sababu:Set up cannot create file on directory c:\windows\temp. Error 5:Access denied. Nimesota kama 4 hrs ago kujaribu kuangalia tatizo,kusort out hili la temp files bila mafanikio. nipeni msaada!
  10. M

    Serikali za Majimbo-The way Forward!

    Baada ya kuona wateuzi wa mikoa ,hasa wanajeshi (anayekwenda Kagera) ,nimejiluliza hii status quo itakwisha lini?Huyu Kanali anasifa gani za kuongoza mkoa huo?Nikakumbuka haya mambo yalianza tangu enzi za Nyerere,kuteua mabalozi,DC,RC wanajeshi wastaafu .Hii ilikuwa wakati wa ukoministi,dunia ya...
  11. M

    Tujihadhari na NIGERIANS

    Nilipoanzisha hii thread,Askofu huyu alikuwa hajanaswa na polisi,wale yule wa UBA.
  12. M

    Tanzania denies President bribe claims in U.S cable

    Ni kweli Salva mke wake yuko London?Alijilipua?
  13. M

    World Athletics 2011:DAEGU SOUTH KOREA-27 August - 4 September

    Watanzania tumebakia na ngono,ufisadi,starehe na uswahili!
  14. M

    RIP Credo Celestine - IFM lecturer

    Tatizo la IFM,walimu wengi vijana walikuwa wanabadilisha kama nguo!
  15. M

    RIP Credo Celestine - IFM lecturer

    Namkumbuka huyu Mkuu! Mungu aiweke Roho ya Marehemu peponi.
  16. M

    New International Airport and Port in Bagamoyo; hivi ni vipaumbele sahihi?

    You are stupid,hatuna regional or state government.Hela zote zinazokusanywa mikoani zinaenda Dar !!!!!!!
  17. M

    Serikali yashtuka kutoka usingizini; Msekwa ajibu tuhuma za ufisadi Ngorongoro

    Kwa akili zenu,do you thing Mkuu wa Kaya hakuwa na habari za hawa live animals kwenda UARABUNI? Hawa akina Ezekiel Maige ni ni young boys,namjua vizuri tangu high school,wamewekwa ni chambo tu,maamuzi yote yanatoka IKULU.
  18. M

    Uchakachuaji Dar es Salaam (UDA)

    Kwa sisi old skool tunakumbuka IKARUS buses hapa DSM under Usafiri Dar Es Salaam. Tukumbuke model hii ya transport ,wakati huo ndio iliyopo miji mikuu ya civilised countries. Huwezi kuwa na transport system ya jiji,ambapo kila mtu anaweza kuweka gari jijini kuwa daladala. Wengi mliofika London...
  19. M

    Mtoto wa Mfalme

    Chomeni moto biashara zake,hasa vituo vyake vya mafuta
Back
Top Bottom