Search results

  1. mbapa

    Umewahi kuchangia damu salama?

    Nmechangia ila hawakunipa utambulisho
  2. mbapa

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    VIP mkuu ukitoka in lucid dream huwez kuwa na hizo power?
  3. mbapa

    Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    Ukishatoka nje ya mwili, mwili wenye ganzi utaendelea kupumua?
  4. mbapa

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Habar Jf members!. Pia heshma kwenu wataalam/walimu mliojitolea kutoe elimu ya meditations hapa Jf. Kuna hali flan imenistua wakati nameditate kutaka kuelekea 3rd eye. Nlipokua nameditate macho yakawa na yanatetemeka/kupepesa kwa nguvu na kutaka kujifumbua nlipojizuia kufumbua yakafunga kwa...
  5. mbapa

    TECNO CAMON C9 yaingia sokoni kwa kishindo

    Bei gan mkuu?, kabla sijabofya namba?
  6. mbapa

    Inauzwa Tecno Y4

    Weka bei na unakopatikana.
  7. mbapa

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Msaada wa kuitafsir hyo ndoto na pia kuhusu hatua katka meditation
  8. mbapa

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Habari za mda huu wakuu?, natumai mko njema!. Vip kuhusu watu wanaooteshwa dawa katika ndoto na kujipatia mafanikio?.
  9. mbapa

    Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    At the last night wakat na_meditate ilishindikana kuendlea kwan yale matukio yanayonijia yananfanya yanizubaishe had kubadil direction ya pumz na kurudia upya, wiki kadhaa nyuma nilimeditate na wakat matukio yanaingia na kufany km naota. Then baada ya mda nkastushwa na energy flan km mvua...
  10. mbapa

    Je, Wewe ni mzaliwa wa ngapi? Ona majukumu na wajibu wako

    Mimi ni wa 4 kwa mama na wa 9 kwa baba. Lakini baba ameniachia mimi majukumu ya kuilea familia!. Hapa inakuaje kwa utafutaj wangu wa riziki kuitafutia familia?.
  11. mbapa

    Msaada wa sheria ya mirathi

    Habari ndugu wana Jf?. Naomba msaada wa kisheria kwa urithi wa watoto kwa baba aliefariki akiwa na watoto4 pamoja na mkewe!. Akaacha wosia kwamba watoto wawil kati ya hao hawatamrithi chochote mana hawakumtii kama baba na walikua majeuri. Watoto hao wawil walionyimwa urithi kwa baba wao...
  12. mbapa

    Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

    Unapatikana mkoa gani mkuu?.
  13. mbapa

    Msaada wa kisheria kwa makosa ya jinai kwenye ushahidi

    Hukumu imetolewa leo mtuhumiwa aachiwa huru!. Mlalamikaji alalamika na kusema atakata rufaa na mshitakiwa nae ataka kukata rufaa ya kudai fidia. Je ni nani mwenye nafasi nzuri ya kukata rufaa?. Na kwanini?
  14. mbapa

    Msaada wa kisheria kwa makosa ya jinai kwenye ushahidi

    Afande akiambiwa mlete huyo msiri wako aje kuithibitishia mahakama kua ameona tukia anasema msiri analindwa kisheria. Kwa hyo ni ushahidi wa kuambiwa na msiri ambae analindwa kisheria. Mlalamikaji yeye anasema "mimi sikujua kua huyu ndie mwizi ila tu nlijua baada ya kuambiwa na afande ambae...
  15. mbapa

    Msaada wa kisheria kwa makosa ya jinai kwenye ushahidi

    Ok!. Nashkuru mkuu kwa kunijuza kitu nisichokijuaga!.
  16. mbapa

    Msaada wa kisheria kwa makosa ya jinai kwenye ushahidi

    Habari wanaJf?. Kuna ndugu yangu ambae ni mtuhumiwa kwa wizi wa mifugo!. Ushahidi unaomweka hatiani hauna kidhibiti wala hajakamatwa kwenye eneo la tukio badala yake amekamatwa kwenye shughuli zake na kuambiwa ameiba siku zilizopita. Shahidi wa mlalamikaji ni askari ambae anasema...
  17. mbapa

    Unajua nini kuhusu mnyama aitwae "Kakakuona"?

    Unayatumiaje mkuu?.
  18. mbapa

    Unajua nini kuhusu mnyama aitwae "Kakakuona"?

    U hali gani mwana JF? Ningependa kujua faida au thamani ya mnyama aitwae Kakakuona katka maisha na mizunguko ya binadamu!. Nawakaribisha wataalam jamvini..
Back
Top Bottom