Search results

  1. C

    Hivi kuna tabia ya kabila fulani?

    Tatizo mnajua makabila machache sana nchini. Nchi hii ina zaidi ya makabila 120 ila kutokana na UJINGA wetu, tunaishia kuchukua kabila moja au mawili kama makabila pekee ktk mkoa husika!. Mwishowe tunaposema kabila fulani wana tabia fulani tunajikuta tunazungumzia mkoa mzima wakati SIO...
  2. C

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Kata tiketi ya Kahama. Then, Panda gari la Bukombe/Ngara/Biharamlo au Benako, utashukia njiani tu coz sio mbali na Kahama na ni Lami tu!.
  3. C

    Kwa Matokeo Haya Nitachaguliwa Shule Ya Serikali?

    Utachaguliwa comb ya Arts mojawapo hasa uliyoanza nayo!.
  4. C

    Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

    Wa sasa, LINGUISTICS 1. Prof.Josephat M. Rugemalira. 2. Prof. H.T. Muzale. 3. Dr. Keya.
  5. C

    Shule ya Sekondari Kazima yafungwa kwa kukosa chakula

    Shule hii iko Karibu na Ikulu ya mkoa wa Tabora. Naifahamu sana maana ni jirani na niliposoma mimi "Tabora-Boys'".
  6. C

    Kuna idadi kubwa ya sup UDSM

    Samahani kwa kuingilia, Eti nasikia tarehe ya kufungua chuo (UDSM) imesogezwa mbele hadi tarehe 18 October. Kuna mwenye Uhakika katika hili wana Jamvi?…………
  7. C

    Uchambuzi wa kitabu: Unanswered Cries

    Ndiyo!. Nauitaji kweli huo uchamuzi. E-mail yangu ni cygeka@gmail.com
  8. C

    Umawanjo secondary

    Msaada msaada!!!!!, Ningependa mwenye taarifa zozote kuhusu shule hii "Umawanjo Secondary". Napaswa kwenda huko ila sijui iko Wilaya gani kati ya Njombe au Ludewa!...... Wana Janvi, Naomba mwenye kuifahamu shule hii anisaidie!.
  9. C

    Msaada kwa aliye na iv 2013

    Mkuu Nashukuru sana kwa Msaada wako kwani Umenifungua AKILI kwa kiasi fulani!. But hiyo Website ya pili haifunguki!!. Naomba uicheki sawasawa kama hujaikosea ili unitumie tena Clearly!!.
  10. C

    Msaada kwa aliye na iv 2013

    Mkuu, Naomba kama inawezekana unipe source ya Maelekezo yanayoonesha kuwa hadi 38 anaenda UALIMU.
  11. C

    Kumuendeleza binti aliyefeli kidato cha nne

    Ahsante Mkuu Naomba radhi kwa hilo.
  12. C

    Msaada kwa aliye na iv 2013

    Mkuu, Naomba kujua vizuri kuhusu chuo cha MAKTABA na UANDISHI hasa kuhusu Ada. Naomba sana unicheki kupitia Email yangu cygeka@gmail.com Unisaidie.........
  13. C

    Msaada kwa aliye na iv 2013

    Mkuu, UALIMU mwisho ni 34. Both Government & Private Colleges. Sasa hiyo ya FOUR 35 kwenda UALIMU unaweza kunipa taarifa kidogo kama ANAWEZA KWENDA??...........
  14. C

    Kumuendeleza binti aliyefeli kidato cha nne

    Mkuu SAMAHANI, Serikali imetoa mwongozo kuwa UALIMU mwisho four ya 34. Hapo vp?.......
  15. C

    Kumuendeleza binti aliyefeli kidato cha nne

    Mkuu SAMAHANI, Serikali imetoa mwongozo kuwa UALIMU mwisho four ya 34. Hapo vp?.......
Back
Top Bottom