Search results

  1. M

    Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    Masoud kaumbuliwa kudanganya kuhusu hizo codes. Kwani wewe umesomaje hadi ukakosa kuona.
  2. M

    Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    Hajaanzisha uzi. Kaleta habari kama research ilivyotumwa kwenye gazeti na mtafiti. Sasa jina na namba ya mwansidhi imo unaweza kumuuliza.
  3. M

    Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    Unampaje sifa mleta mada kwa article aliyoikopi gazetini na kutuletea humu. Tena bahati nzuri ina jina na contact za mtafiti.
  4. M

    Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    Mkizidiwaga hoja mnaanza matusi. Research imewashinda kupangua. Mwambieni Masoud aje awasaidie bingwa wa International laws.
  5. M

    Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    Punguwani mkubwa, umekaa kiubishiubishi ndiyo maana huelewi researcher alivyoturahisishia kuielewa hii habari. Karume alizindua ujenzi wa mitambo ya televisheni mwanzoni mwa mwaka 1972 kabla hajauawa. Aboud Jumbe akaizindua TV ianzr utangazaji January 12, 1974 siku ya kuazimisha miaka 10 ya...
  6. M

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Kuna wakili alinisumbua kesi yangu. Hsoni aibu leo anadai hiki, tukienda appeal anadai kitu tofauti ili mradi anaona ni loophole ya kushinda kesi.
  7. M

    Serikali ichukue hatua kwa kauli za Askofu Gwajima

    Nilimshauri Gwakima asijibu swali lolote atakalohojiwa na kamati na amenitii. https://www.jamiiforums.com/threads/gwajima-alifuata-ushauri-wangu-kukataa-kujibu-maswali-ya-kamati-ya-bunge-bunge-halina-mamlaka-hayo.1906997/post-40066618
  8. M

    Serikali haina mamlaka kuhoji juu ya imani za watu, hii ni hatari sana

    Nilimshaiuri Gwajima asijibu swalili lolote kwenye kamati na akatii. https://www.jamiiforums.com/threads/gwajima-alifuata-ushauri-wangu-kukataa-kujibu-maswali-ya-kamati-ya-bunge-bunge-halina-mamlaka-hayo.1906997/post-40066618
  9. M

    Hivi kutakiwa kutoongea lolote baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge iko kwa mujibu wa sheria au ni ubabe tu?

    Nilimshauri Gwajiboy asijibu chochote atakachoulizwa na kamati na ametii. Kama hukusoma ushauri wangu upitie tena hapa https://www.jamiiforums.com/threads/gwajima-alifuata-ushauri-wangu-kukataa-kujibu-maswali-ya-kamati-ya-bunge-bunge-halina-mamlaka-hayo.1906997/post-40066618
  10. M

    Gwajima alifuata ushauri wangu kukataa kujibu maswali ya kamati ya bunge. Bunge halina mamlaka hayo

    Nimeongeza link za alichosema mwenyewe Gwajima kanisani leo.
  11. M

    Kazi bado ngumu: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi jipya, Mahakama yakubali kulisikiliza

    Jurisdiction point inajitegemea, huhitaji kuiunga na point nyingine. Hata hivyo a point of law can be raised at anytime in the proceedings. Hata kama ingekuwa imefika Court of Appeal point of law ikiwa raised lazima judge ashituke na aishughulikie. Hoja ni kwamba mahakama ni chombo cha sheria...
  12. M

    Ikigundulika kesi ya Mbowe haina uhalisia, taifa letu tutaingia kwenye mgogoro

    Acha uongi wewe. Hong Kong hawakupiganua uhuru.
  13. M

    Ikigundulika kesi ya Mbowe haina uhalisia, taifa letu tutaingia kwenye mgogoro

    Kama ulifundishika na historia iliyokuambia tuwaite wakoloni basi kaa ujue sisi hatukufundishika kama wewe. Sisi tuliwaona ni wakombozi walituletea reli, hospitali, elimu, dini na civilaization. Wewe endelea kupiga nyungu na kunywa kikombe cha babu.
  14. M

    Ikigundulika kesi ya Mbowe haina uhalisia, taifa letu tutaingia kwenye mgogoro

    Una akili fupi isiyovuka upana wa pua yako. Mabalozi ni sovereign state wanahamasishwa na nchi zao na siyo na CHADEMA. Mulamula alitumia uwaziri wake kuhamasisha wasiende wakampuuza. Wewe ni taifa dogo sana watafanya watakalo. Ukisindwa hamia kwenye Jupiter au Mars.
  15. M

    Hivi kesi ya Mbowe leo imeishaje pale Mahakama Kuu

    Kenge mkubwa, Huoni wenzako wameshtuka na kutii nilichosema https://www.jamiiforums.com/threads/kesi-ya-ugaidi-inayomkabili-freeman-mbowe-kuendelea-tena-31-8-2021.1907632/
  16. M

    Hivi kesi ya Mbowe leo imeishaje pale Mahakama Kuu

    Nimefungua thread nyingi za wana CHADEMA na tangu asubuhi zilikuwa ni taarifa za kuwepo kesi hii. Baada ya hapo nikatarajia thread nyingi kuhusu mahakama ilichosema. Sijaona chochote badala yake kuna taarifa nyingi za vituko na matukio ya yaliyotokea mahakamani. Mara wamekuja mabalozi tele...
  17. M

    Mahakama ya haki ya Afrika: Wagombea huru ruksa nchini Tanzania

    Mbona sijaelewa yaani ni kama vile ni hukumu ya miaka ya zamani, wala siyo kitu kipya.
  18. M

    Askofu Mkuu wa KKKT, Dkt. Fredrick Shoo amtembelea Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Wewe una uwezo wa kumpiga mtu askofu. Si unaona askofu Ruwaichi mlivyojaribu kanisa likamuokoa hadi mkajipendekeza kutuma ndege bila kuombwa. Mligundua kitanuka mapema kama mngefaulu. Chezeya kanisa weye, muulize mfalme Constantine wa Roma. Vijitu vidogo vidogo kama dola yako si vya kupambana...
  19. M

    Gwajima alifuata ushauri wangu kukataa kujibu maswali ya kamati ya bunge. Bunge halina mamlaka hayo

    Siku moja kabla Askofu Gwajoma hajahojiwa na kamati ya bunge niliibua uzi unaosema bunge halina mamlaka ya kumuhoji alichoongea kanisani. Hivyo nikashauri Gwajima akatae kujibu swali lolote atakaloulizwa. Nilisema wazi ninampinga Gwajima msimamo wake wa kutotaka watu wachanjwe kwani mimi...
  20. M

    Leo ni Birthday ya Sultan wa Zanzibar

    Kaangalie Dar Week, siku hii imo watalii wote wanaijua, isipokuwa wewe ambaye hujichanganyi maeneo kama Sea Cliff, Slipway unapenda Madongokwinama.
Back
Top Bottom