Search results

  1. Pierreeppah

    Naomba kufahamu simu gani yenye ubora kwa bajeti ya 500k

    Chief, niambie kuhusu hizi simu za Google pixel zina ubora kiasi gani
  2. Pierreeppah

    Naomba link ya ule uzi unaozungumzia jinsi ya kupata namba za simu zilizopotea wa FB

    Hizo cm wakati unanunua ziko vizuri kila idara, kaa nayo kwa miezi 4-6 utaona kila kitu kinaanza kuwa hafifu, kamera utaona kwa mbali ina km ukungu au moshi hivi. Memory inaanza kufuta picha moja baada ya nyingine, majina kwenye line inafutwa moja baada ya nyingine nk. Simu ni iphone km wallet...
  3. Pierreeppah

    Tigo wameshusha bei sasa ni 600k, niwaombe tu wazee wa snapdragon mtupishe kidogo au piteni kimya kimya

    Mtumiaji wa Infinix, Tecno nk akitoka na kuanza kutumia Samsung ndio huwa akili inafunguka kuwa alipoteza mda mwingi gizani.
  4. Pierreeppah

    Kwa mara ya kwanza nimepokea hela kutoka YouTube/Adsense

    Kazi ya YouTube ni ngumu sana, uwe na subscribers zaidi ya elfu. Uwe na viewers wa uhakika, tena sio wale wanao view na kuondoka, wanatakiwa walioangalia kideo nzima na matangazo yake full. Na iwe imeangaliwa kwa masaa si chini ya elfu 4 kwa mwaka. Na viewers wanaothaminika zaidi sana ni...
  5. Pierreeppah

    WhatsApp status ndio chanzo cha kutambiana siku hizi

    Kuja hapa maanake kasukumwa na maumivu
  6. Pierreeppah

    Baadhi ya wanaojiita Manabii, wachungaji wanasababisha ndoa nyingi kuvunjika

    Sio manabii tu. Ukiwa wewe mkeo ni mlokole na wewe sio mlokole, ujue mchungaji wake ni rahisi avunje ndoa yake. Kwasababu wanahesabu we ni km kikwazo ktk dini yao. Mkeo anashindwa kumtumikia mchungaji na wewe mume,, mwisho anashauriwa aachane na mume huyo alafu Mungu atakupa mume mwingine ambaye...
  7. Pierreeppah

    Rais Samia anayo nia njema lakini Viongozi wa CHADEMA hawaaminiki

    Kuaminika kwa viongozi wa chadema maanake wakubaliane na sisiem inavyotaka. Ukikubaliana na nao unakuwa km tlp, cuf ya lipumba, na wale wengineo. Kila wanachosema sisiem wao wanasema ndio mzee
  8. Pierreeppah

    Kati ya hawa wawili nimuoe nani?

    Lete namba zao alafu ntakupa mrejesho nani anafaa
  9. Pierreeppah

    Ninataka nimuache msichana kwa faida ya maisha yake

    Una wazo zuri sawa, lakini kwa upande wa mwanamke yeye hudhani humpendi, kwasababu hulka ya wanawake huangalia leo zaidi kuliko kesho au keshokutwa ndio maana mapenzi inawagharimu wanawake zaidi kuliko mwanaume. Hawapendi kufikiria mustakabali wa maisha ya kesho. Wanaamini mwanaume maisha...
  10. Pierreeppah

    Most of the Beautiful ladies are single; this is why...

    Cute girls ni chakula cha dharura kwa waliooa. Una mkeo ndani lakini amejifungua nk, itakulazimu utoke kwa cute girls wakupe faraja kipindi hicho kigumu
  11. Pierreeppah

    Mwanamke anaezusha ushatoka nae humaanisha nini?

    Km yeye anasema mmetoka naye bas na wewe ingia naye
  12. Pierreeppah

    Kamtongoza Mke wangu, nikamla mke wake

    Hebu tupia pic ya mkeo tumwone
  13. Pierreeppah

    Je, ulishawahi kula ada ya shule/chuo? Tuambie uliirudishaje

    Mi sijala ila nilitafuna vizuri huko mbele nilipofukuzwa sikuenda nyumbani bali nilienda kwa wajomba kuomba michango. Nilifanikiwa kupata ada na ziada pia lakini nilipoteza siku 5 ya masomo
  14. Pierreeppah

    Mwanaume mwenzangu huwa unajitetea vipi?

    Chukua mda mrefu wa kukaa naye au chukua mda mfupi uondoke uonekane unaharaka
  15. Pierreeppah

    Nahitaji Magazeti ya Sani

    Miaka hiyo ndo kunaanza kupambazuka, tv imeanza kusambaa tz na simu zimeanza kuingia. Na sio 2001 moja tu mara ya mwisho mwisho kusoma sani ilikuwa 2006, 7
  16. Pierreeppah

    Nina tatizo la kuwahi kufika kileleni

    Kama wewe ni mgeni hiyo ni jambo la kawaida kwasababu hisia Iko juu. Uwe na mtu moja tu hiyo hali itaisha yenyewe
  17. Pierreeppah

    Nahitaji Magazeti ya Sani

    Zama za giza isiyo na tv wala simu gazeti la sani ilikuwa buruduni tosha vijana wa miaka 1995 kurudi nyuma wanalikumbuka kipenzi chao sani
Back
Top Bottom