Search results

  1. 7ve

    KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

    Sasa we unafeli wapi si unakataa tu kumpa simu mpaka aje na polisi na wakati anasema atakuferisha we si unakuwa unamrekodi then unamchana kwamba akikuferisha makusudi tu mambo yote hadharani.
  2. 7ve

    Kuna ma Star na kuna Shahukh Khan

    Duh hapo sina la kusema maana ni kanjibai kwa kanjibai hiyo ngoma draw
  3. 7ve

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Bado nasema safari za usiku ni risk kubwa mtu unatembea 160 na wakati mbele vision imepungua kwanini usivamie vicheche, hatuja sahau bado tu yule dereva wa basi alie igonga locomotive mpaka ikatoka kwenye reli leo tena mtu kavamia roli na kwa speed aliyo ingia nayo kwenye roli karibia nusu nzima...
  4. 7ve

    Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    Usisahau kuweka na info za mbususu za huko mkuu nakukumbusha tu.
  5. 7ve

    Kapteni Mabior Garang akiwa nje ya nyumba ya Mama yake huko Jebel Sudan Kusini

    Hehehe ni mfano wa kuigwa kwa kweli
  6. 7ve

    Kwa heshima ya Motsepe na Mamelodi. Mamelodi wajitoe kwenye hatua ya nusu fainali ili nafasi yao ichukuliwe na Yanga

    Uto mnadanganywa na wachambuzi wenu wa mchongo camera iliyo ona mpira hauja ingia ni ile ya juu na ndiyo iliyo amua kwamba sio goli.
  7. 7ve

    Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

    Hahahaha hizo dalili ni wenge tu kama ulitumia pep vizuri basi ondoa shaka.
  8. 7ve

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Namtakia Mwarabu apigwe nyingi mpaka wafukuze kocha wao.
  9. 7ve

    Yanga mnaweza kuifunga Mamelodi lakini kuwazuia wasipate mabao haiwezekani, haiwezekani

    Huyo ni mgonjwa mkuu ana vyeti kabisa achana nae huwezi kuwapangia watu jinsi ya kuishi.
  10. 7ve

    CAIRO: Kocha wa Al Ahly aambiwa asipoifunga Simba goli 3 kwa Mkapa ajira yake itakuwa matatani

    Uto mna weweseka sana na huo mwiko huko nyuma na utawapa shida sana hiyo jumamosi.
  11. 7ve

    Watu kuingia Uwanjani bure ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa

    Sasa hapo una anzisha vita ya wazi kabisa kwa uto..wakianza kuku popoa mawe sie tutakuwa wapenzi wasomaji tu japo umeongea ukweli.
  12. 7ve

    Kumbe ndio maana Katavi na Sumbawanga wanaua. Kwanini uharibu maisha ya mtu?

    Hahahaha mkuu ndiyo zile gari za mikate na juisi zilizo pata ajali ya kugongana nini?
  13. 7ve

    Siri nzito za Dunia zinamilikiwa na watu wachache sana

    Mwisho wa siku mtu utaonekana dishi hivi hivi
  14. 7ve

    Weekend ijayo kuna mechi ngapi za kimataifa kwa Mkapa?

    Uto ndiyo wanapiga kelele maana si ndiyo kipofu kaona mwezi utasikia "nimeonaa,nimeonaaa,nimeonaaaaaaa.
  15. 7ve

    Tatizo siyo Kushinda Dar es Salaam ila je, tuna timu na Mikakati ya kushinda Cairo na Johannesburg?

    Ilo swali waulize uto sisi tusha watoa jasho waarabu huko kwao wenyewe habari wanayo
  16. 7ve

    Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

    Hehehe uto akishatolewa mwiko mbele na nyuma ata anza kusema Mamelodi sio level zao.
  17. 7ve

    Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

    Hahahaha msomali amekataa kuvaa jezi ya uto yeye ana vaa ya Simba tu.
  18. 7ve

    Vifaa vya kuchezea vya watoto vinawafanya wawe wajinga, hakuna udadisi

    Haya nyie mlio unda magari ya udongo tayari mmesha rusha rocket kwenye space au ujuzi uli ishia utotoni
  19. 7ve

    Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

    Mbona una wa aibisha uto wenzako wewe kilaza au kwa kuwa wenye akili ni wawili tu hapo vyurani fc.... Shabiki alienda kufukua kitu kwenye goli la wale sokwe fc na golikipa wao alijua kabisa akawa ana mzuia asifukue hicho kitu ila vip lakini mmesha utoa huo mwiko huko nyuma au mtaenda nao mpaka...
  20. 7ve

    Kauli mbiu iwe " wote mpaka fainali inawezekana"

    Yaan mimi kabisa nivae ile jezi ya uto halafu nika wapigie kelele eti uto wafuzu nusu hehehe hiyo ni ndoto nadhani tena ndoto ya kutisha. Acha vyura wapigwe tu usiwaonee huruma mjomba.
Back
Top Bottom