Search results

  1. MR.NOMA

    Hali ilivyo kituo cha Mwendokasi Kimara Korogwe, wengine waghairi na kutoka nje ya kituo

    Mvua zinazoendelea kunyesha zimeendelea kudhihirisha kuwa usafiri wa Mwendokasi bado hauwezi kutatua changamoto za usafiri jijini Dar! Leo asubuhi tangu saa moja kasoro mpaka sasa saa 3 mamia ya raia wanaendelea kusota kituoni huku wengine wakiamua kughairi na kutoka nje ya kituo kutafuta...
  2. MR.NOMA

    Umewahi kubadili dini na badae ukarudi dini yako ya awali? Ilikuwaje?

    Wakuu Habari za Jumapili? Binafsi sijawahi kubadili dini yangu ya awali, ila ninae kaka yangu yeye aliwahi kuhama kutoka KKKT, Full gospel, EAGT na saizi yupo kanisa lingine. Je, humu ndani tunao watu wenye kuhama hama ivo, Nini hasa sababu ya kufanya hivyo. Tunaomba mlete uzoefu.
  3. MR.NOMA

    Je, umewahi kufanya jambo gani la hovyo mpaka ukajutia?

    Karibuni wakuu, tushirikishane juu ya jambo lolote la hovyo ,ambalo umewahi kulifanya maishani mwako ,hasa kipindi Cha ujana/ utoto na badae ulijutia. Nianze Mimi,; wakati nipo darasa la 2 nikiwahi kufungulia radio ya mzee , nikaweka Kanda ya lackdube nikasililiza mwanzo mwisho. Lakini bahati...
  4. MR.NOMA

    Je ,Umewahi kufuatwa na kuombwa ugombee uongozi wa Kikundi au katika chama Cha Siasa. Tueleze ilikuwaje? Ulikubali/ ulikataa?

    Huu ni Uzi wa kubadilishana uzoefu katika maisha. Tuambie kama iliwahi kutokea ukafuatwa na kuombwa ugombee nafasi flani. Mimi binafsi niliwahi kufuatwa na chama flan Cha siasa mpaka nyumbani, jamaa walikuja na wakaniomba nichukue fomu ya kugombea udiwani katika eneo ninaloishi. Lakini...
  5. MR.NOMA

    Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

    Morning wakuu! Kumekuwa na stori nyingi za vijana wakati tukisoma secondari na vyuo ,anamtokea Binti mkali na anamfatilia kwa muda mrefu hata miezi 2 na zaidi lakini ikitokea siku bint amekubali kuja kuliwa, amefika gheto/ room ghafla Hofu na Ile mstuko unafanya jogoo likatae kupanda mtungi. Je...
  6. MR.NOMA

    LUTAMBULILO-Tego la Kunasa na kuua kabisa mtu anayetembea na Mke/ Demu wako

    Wakuu Kwa wale mliowahi kuishi Iringa,nasikia Kuna hiyo dawa ya kimila inaitwa Lutambulilo, huwa wanachanjiwa mabinti / mke wa mtu ili jamaa yeyote akijifanya kidume akaenda kulala nae bas mara baada tu ya tendo la ngono bas jamaa atajisikia kuumwa kwelikweli na atafariki baada ya dakika chache...
  7. MR.NOMA

    Je, umewahi kupata alama A zote kwenye mtihani wowote shuleni? Ilikuwa shule gani na ulijisikiaje baada ya matokeo hayo?

    Wakuu kwema! Mimi niliwahi kupata alama A zote katika mtihani mara kadhaa nikiwa O level huko Kwiro Sec Moro, na pia nilipokuwa Mkwawa high school niliwahi pata A zote mara kadhaa katika mitihani. Kiukweli nilikuwa najisikia vizuri sana na ilinipa ham ya kusoma zaidi. Je, humu jf tupo watu...
  8. MR.NOMA

    Hali mbaya ya bei za vyakula nchini, kwanini mawaziri husika wasijipime katika hili kama wanatosha au laa!

    Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii. 1. Mchele 3000-4000/- 2. Maharage zaidi ya 3500/- 3. Unga zaidi ya 2000/- 4. Nk...
  9. MR.NOMA

    Hali mbaya ya bei za vyakula nchini, kwanini mawaziri husika wasijipima katika hili kama wanatosha au laa!

    Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii. 1. Mchele 3000-4000/- 2. Maharage zaidi ya 3500/- 3. Unga zaidi ya 2000/- 4.Nk...
  10. MR.NOMA

    Dada kanifananisha au anataka nimtafune. Ushauri tafadhali

    Wakuu! Heri ya Mwaka 2023. Mwenzenu mwaka Jana umeisha Kwa kufananishwa na dada mmoja mrembo ambaye anauza duka la bidhaa za jumla na rejareja jirani na ninapokaa. Huyu dada siku nimekaa Kwa Hilo duka Kuna ka pub jirani take,na yeye ni mtu asiyetumia kilaji kabisa na amenyooka katika Imani...
  11. MR.NOMA

    Hongera sana Nape, Mimi ni Miongoni mwa tulioumizwa sana kutolewa kwako bila sababu

    Hongera Sana Mkuu, Umerudi kwenye Jungu Kuu, Wahuni walifanya sikukuu, Pale ulipokamuliwa jipu na Mkuu, Waoneshe kazi unaiweza, Wala usihangaike nao. Ulikuwa ukitimizaajukumu Yako, Tena Kwa kutumia weledi wako, Ukakumbana na likambako, Ambalo baba alilipaka upako, Waoneshe kazi unaiweza, Wala...
  12. MR.NOMA

    Hivi unaeza teuliwa bila kuwa chamani, bika kuambiwa? Naomba kujifunza wakuu!

    Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
  13. MR.NOMA

    Jamaa amemkumbatia mke wa Mjeda na kumbusu, kuja kutahamaki kumbe Mwenye Mke alikuwa pembeni ya fensi na panga lake akifyeka miti!

    Wakuu habari za Leo! This is true story. Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja baridi kwenye glossary ya jirani yetu mwingine ambaye ni Mjeda na amemfungulia glossary mke wake hapohapo...
  14. MR.NOMA

    Je, wawafahamu kwa majina Mamajusi waliomsaliti Mfalme Herode na kumnusuru Yesu kuuawa na Mfalme huyo?

    Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc . Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe...
  15. MR.NOMA

    Matapeli wa Simu wanazidi, licha ya simu kusajiliwa! Nani alaumiwe, Makampuni ya simu, TCRA, Polisi au Raia?

    Wakuu hizi sms Mzee flani ni mganga maarufu, atakupa utajiri wa freemason, mara utajiri wa ndagu nk. sasa zimetawala sana, na hizi zingine za umeshinda milioni 700000000, piga Simu 0000 ili upate zawadi zako. Au unapigiwa simu na litapeli likisema Kuna Hela imetumwa kwako kimakosa. Simu zote...
  16. MR.NOMA

    Kijana akoswakoswa kuchomwa kisu na mwenzie kisa mwanamke

    Katika Hali ya kustajabisha tar 31 Dec 2021, mitaa ya Kimara Mavurunza, kijana mwenye genge la nyanya, tikiti,nanasi etc. Alivamiwa kijana mwingine mwenye hasira huku akifoka na kumwambia mara ngapi nimekuonya hutaki kusikia, basi jamaa akachukua kisu cha palepale gengeni akamwambia Leo...
  17. MR.NOMA

    Njiwa wa kufugwa wamekuja Jenga kwangu, Sasa wamezaliana kibao. Nini maana yake?

    Wakuu naombeni majibu.Inafaa kuwakaanga na kula
  18. MR.NOMA

    Wizara ya Elimu iwasaidie wazazi katika hili waache kuibiwa

    Wakuu habari! Tukiwa tunaelekea mwezi Januari ambapo wazazi wengi wenye watoto wanaosoma sekondari watatakiwa kuhakikisha wanawanunulia watoto mahitahi yote muhimu ya shule kabla ya shule kufungua ikiwa ni pamoja na kulipa ada ya masomo. Sasa Kuna mahitaji mengine wanayoagizwa watoto wa...
  19. MR.NOMA

    Mgambo wavamia Majumbani Kimara Mavurunza na Kutishia,Kukamata watu na Kuomba Rushwa

    Habari za Leo ndugu zangu, Nimeumizwa na kusononeshwa Sana na tukio lililotokea Leo Majira ya saa 5-6 mchana Jijini Dar - Mtaa wa Kimara Mavurunza, mita chache tu ukitoka kimara DAWASCO kuelekea Kimara Mavurunza. Vijana wapatao watano wakiwa wamevalia magwanda ya kijani ambapo inasadikiwa kuwa...
  20. MR.NOMA

    Jinsi ya Kufanyakazi na bosi mtata

    Elimu ya bure kwa vijana mnaoanza kazi / mlioanza na mnapata ugumu kuishi/ kufanya kazi na mabosi watata. Fanya yafuatayo ataacha utata yeye mwenyewe:- 1. Jipendekeze sana kwake, 2. Uwe mtu wa kumsifia kuwa anaweza sana kazi, 3. Akifanya presentation mwambie hujawahi kuona mtu bright kama...
Back
Top Bottom