Search results

  1. N

    Sekondari zisizo za amali zaingia mkenge kufundisha mtaala mpya

    Ndugu wadau, Wote tunajua kwamba mtaala mpya umeanza mwaka huu 2024 kama ilivyoelezwa mara nyingi na wakuu wa wizara ya Elimu na hadi Waziri mwenyewe. Kadiri ya maelezo ni kwamba shule za sekondari zitakazoanza na mtaala mpya hasa kwa form one ni zile chache tu zenye mkondo wa amali. Shule...
  2. N

    Papa Francis alikataa Rais wa Philipines kubusu pete yake, achilia mbali unaowaona hawa anaowakatalia wiki hii

    Wiki hii imesambaa picha ya Papa Francis akikwepa kubusiwa pete yake, utaratibu unaofanywa kwa askofu yeyote, achilia mbali Papa. Kitendo hicho kimejadiliwa na kila aina ya mitandao, kwenye magroup, facebook, twitter na kokote unakoweza kutaja. Sasa mimi maoni yangu ni nini? Maoni yangu ni...
  3. N

    Je, Naibu Waziri huapa kulinda siri za baraza la mawaziri?

    Nakiri sikijui kiapo cha Naibu Waziri lakini walau nilishasikia kiapo cha Waziri. Kile cha Waziri kina sehemu anaapa kulinda siri za Baraza la mawaziri. Na kama historia ninayosimuliwa ni sahihi huwa tunaambiwa kwamba kuna waziri aliwahi kutimuliwa kwa kukiuka hilo na anatajwa kwamba ni Mrema...
  4. N

    Ubomoaji huko Kimara. Je ni kweli TANROADS walipewa Stop Order

    Mimi sijasomea sheria lakini naongea nilichokiona kwa kesi zangu na kesi zingine. Unapofungua kesi maana yake lazima uhakikishe unayemshitaki apate taarifa. Kitendo cha kumpatia taarifa kinaitwa "service" na kwa mazoea ya kuchanganya lugha (wala si vibaya) huwa unaulizwa "Je, mliwa-serve?"...
  5. N

    Bunge huwa halivunjwi bali huamua lenyewe livunjwe

    MWEZI Machi, mwaka huu, nimesoma tetesi gazetini kwamba upo uwezekano wa kuvunjwa Bunge kama litaonyesha kutokuwa na imani waziri mkuu: {MWANANCHI: Machi 15, 2017, uk. 05}. Bado ni tetesi magazetini, haijafikia hatua ya picha kuonekana kama mwaka 2012 ambapo wabunge kama hayati Deo Filikunjombe...
  6. N

    Tumeona makali ya TLS na Chama cha Madaktari. Je chama cha mainjinia kinaoneshaje makali yake?

    Kinaitwa Institution of Engineers Tanzania na kingine huwa ninasikia Bodi ya Uhandisi. Je, tunaweza kupata data jinsi wanavyokabiliana kama wenzao wanasheria na madaktari? Nakumbusha hivi kwa sababu penye vyuo amvayo kuna kozi za Engineering, mainjinia ndiyo huwa kama wababe wa kudai haki zao...
  7. N

    Mwanamke anapoolewa anakuwa kabila gani. Je, ni lile alilozaliwa na kukulia au jipya la ukweni kwake

    Msichana anakuzwa na baba yake msukuma lakini ukubwani anolewa na mnyiramba wa Singida. Watoto wa ndoa hii tunasema ni wanyiramba na si wasukuma yaani kabila la baba. Sasa mama humo ndani ya ndoa anakuwa ni kabila gani? Kama ni miiko atafuata ya kabila gani tangu siku ya kutolewa mahali?
  8. N

    Kukosana na mama au baba mzazi ni Janga jipya kwenye jamii. Tulifanyie utafiti. Tusikurupuke

    Kwa miaka kadhaa tumekuwa tukiona wanandoa wanakosana na hatimaye wanatengana, yaani ndoa inavunjika. Kwa sababu ni mazoea ya enzi na enzi, hakuna anayeshangaa kuona watu wliopendana wanafikia hatua ya kutengana na hawatakai hata kuonana kw amaisha yao yote. Hata kutengana urafiki si jambo...
  9. N

    Tujadili matokeo kubandikwa vituoni (Makala: RAIA MWEMA)

    - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Chanzo: RAIA MWEMA TAREHE: JUMATANO: OCTOBER 7, 2015 WEBSITE: (www.raiamwema.co.tz/tujadili-matokeo-kubandikwa-vituoni) - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -...
  10. N

    Kwanini Aboud Jumbe asifiwe hadharani na CCM miaka 31 baada ya kutimuliwa urais wa Zanzibar?

    Leo shsrehe za CCM zilifanyika kitaifa Songea. Dalili za kusifiwa Aboud Jumbe zilianza kuonekana mapema asubuhi kwa mkiosoma magazeti. Gazeti la MTANZANIA lilipambwa na habari mbili tofauti. Moja ni ile isemayo kwamba Uongozi wa CCM na Serikali ya mkoa wa D'Salaam kwa maana ya MKuu wa Mkoa...
  11. N

    Rais wa Zanzibar apeleka salamu za rambirambi kwa mfalme wa Saudi Arabia

    Rais wa Zanzibar Dr. Shein amempelekea salam za rambirambi Mfalme Salman bin Abdul-Aziz Al-Saud wa Saud Arabia kufuatia kifo cha Mfalme Abdullah. MY TAKE: Sijasikia Rais wa Jamhuri ya Muungano naye akipeleka salam hukohuko Saudi Arabia. Nisaidieni, skipeleka zitakuwa za eneo gani la muungano wetu?
  12. N

    Mama Anne Mkapa na Rais Mkapa walivyokataa kuitwa "Doctor"

    Rais Benjamin Mkapa na mkewe Anna Mkapa waendelee kuitwa “Waheshimiwa” au “ndugu” na siyo Dokta….Taarifa ya Ikulu kwa vyombo vya habai jana ilisisitiza kwamba kuitwa majina yao litumike neni “Mheshimiwa” au “Ndugu”na siyo “Doctor”, ilisema taarifa hiyo iliyosainiwa na Geoffrey Nkurlu. …Katika...
  13. N

    Wako wapi wale tausi wa mitaa ya karibu na Ikulu?

    Kuna wakati ulikuwa ukipita mitaa ya IFM hasa pale Bunge Office unakutana na tausi wazuri wakirandaranda huku na kule. Tukawa tunaambiwa kwamba walikuwa wanatoka State House. Hata mle Jumba la Makumbusho walikuwa wamejazana. Ilikuwa inapendeza. Je, nini kilitokea, maana naona siku hizi mitaa...
  14. N

    Escrow: Je, 'Capacity Charges' ni nini?--RAIA MWEMA

    SOURCE: RAIA MWEMA DATE: DECEMBER 17, 2014 (Wiki iliyopita) WEBSITE: (www.raiamwema.co.tz/escrow-je-’capacity-charges’-ni-nini) -------------------------------------------------------------------------------------------------- KABLA ya Juni 2011, huko Illinois, Marekani, watu walishangaa kuona...
  15. N

    Kwa heri Major-General Lupogo. Tunakukumbuka kwa kipigo cha Sebambule dhidi ya Idi Amin

    Unaweza kuanza kusoma thread hii kwa kujiuliza "kwani huyu Herman Lupogo ni nani na ana mchango gani katika nchi hii". Historia isiposomwa vizuri hatuwezi kujua mchango wa baadhi ya watu. Mmoja wao ni huyu Retired Major-General Herman Lupogo ambaye nimesoma taarifa za kifo chake kwenye gazeti la...
  16. N

    Nyerere alisema jeshi haliwezi kuendelea kuitii na kuilinda serikali hii corrupt ya Tanzania

    Eti kwamba jeshi litapindua zikija serikali tatu. Huu ni utabiri wa wanasiasa wa sasa ambao hata vitabu ni utata kuvifungua. Lakini kwa Nyerere ni tofauti. Arcado Ntagazwa alikuwa mmoja wa G55 anayesimulia kwamba wakati wanaleta hoja ya serikali ya Tanganyika mwaka 1993, walikaa mara nne na...
  17. N

    JF Tumsaidie Mama Maria Nyerere kumchagulia magazeti ya kusoma.

    Thread ya Mama Maria Nyerere imetawala jukwaa lako na mimi naomba nije na special thread na naomba sana msiichanganye kuipoteza kwa sababu licha ya kwamba subject ni Mama Maria lakini object ni kitu kingine kabisa specific Kwanza naomba msome post hii hapa chini kwenye RED kisha mnielewe...
  18. N

    Mume wa Rais wa Tanzania atakuwa na wadhifa na majukumu gani?

    Sipingi wala sikatai shughuli anazofanya mke wa Rais, mara leo kaalikwa huku, kesho kaalikwa kule na wakati mwingine na viongozi wa serikali. Wakati huohuo tunamwita First Lady. Maswali yangu yanakuja hivi: 1: Je, tukipata Rais mwanamke, je mume wake naye atakuwa anazunguka huku na kule na...
  19. N

    Goodluck Ole Medeye kwamba 2015 anagombea ubunge Jimbo la Arusha kumng'oa Godbless Lema

    ***************** Akiwa Bungeni dakika tatu zilizopita Goodluck Ole Medeye alikuwa anaomba mwongozo kwa Naibu Spika kuhusu kauli ya Godbles Lema kwamba yeye Medeye ni mbaguzi. Medely akatumia nafasi hiyo kutangaza kwamba 2015 anagombea ubunge wa jimbo la Arusha alikozaliwa ili kupambana na...
  20. N

    Mwenyekiti TANZANIA KWANZA, Said Mkumba akerwa na ukigeugeu wa Kardinali Pengo kuhusu muungano

    Juzi magazeti mengi nchini yalitoa msimamo wa maaskofo wote wa kanisa Katoliki walioutanganiza kwenye makanisa yote nchini kuhusu Mchakato wa Katiba unaoendelea kwenye bunge la katiba. WanaJF, mtakumbuka kwamba maaskofu wametamka bila woga wala kuficha kwamba maoni ya Tume ya Jaji Warioba...
Back
Top Bottom