Search results

  1. John Mnyika

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Nilikuwa katikati ya kazi jimboni nikaambiwa kwamba kuna mwito humu wa Nape na Ridhwan kutaka nieleze elimu yangu. WanaCCM walianza suala hili kwa ari, nguvu na kasi mpya niliposema kwamba nchi imefika hapa ilipo kwa sababu ya udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa Bunge na upuuzi wa CCM...
  2. John Mnyika

    Hatua zinaendelea kuchukuliwa kuhusu tuhuma na shutuma zilizotolewa

    Tangu wanachama wachache wa CHADEMA walipoanza kutuhumiana na kushutumiana kupitia JF watoa maoni mbalimbali mmetoa mwito kwa chama kuchukua hatua na wengine mmehitaji majibu kutoka viongozi wengine na kwangu kuhusu hali hiyo iliyojitokeza. Ifahamike tu kuwa mara baada ya tuhuma na shutuma hizo...
  3. John Mnyika

    Taarifa Fupi kuhusu Kazi za Maendeleo Jimboni Ubungo (AMUA)

    Napokea kwa unyenyekevu pongezi zilizotolewa na wachangiaji mbalimbali hapa JF lakini izingatiwe kuwa michango yangu bungeni ni matokeo ya heshima mliyonipa ya kuwawakilisha. Aidha yapo maoni machache ambayo yametoa tafsiri tenge kuhusu kazi ya mbunge na wengine mmetaka nieleze nimefanya kazi...
  4. John Mnyika

    Uchaguzi EALA usogezwe mbele, uteuzi umekiuka Mkataba wa Afrika Mashariki

    Mchakato wa uchaguzi wa Afrika Mashariki unaoendelea hivi sasa sio huru na wa haki hivyo Spika, Katibu wa Bunge na serikali wanapaswa kuchukua hatua za haraka kurekebisha kasoro zilizojitokeza ili kuhakikisha uchaguzi huo unawezesha wabunge kupatikana kidemokrasia na kwa kuzingatia maslahi ya...
  5. John Mnyika

    CHADEMA inaangalia uwezo na uadilifu; maoni binafsi yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatoa taarifa kwamba maoni binafsi ya viongozi na wanachama wasiokuwa na mamlaka kwa mujibu wa katiba, kanuni na itifaki ya chama kuwa wasemaji wakuu wa masuala ya chama katika ngazi husika yasichukuliwe kuwa ni msimamo wa CHADEMA. CHADEMA kinatoa...
  6. John Mnyika

    Kikwete atekeleze ahadi zake za serikali kutenga maeneo mbadala ya wamachinga kufanya biashara

    Tarehe 03/04/2012 wachangiaji kadhaa mmetaka kauli yangu kuhusu matukio yaliyojitokeza Ubungo Mataa, sikutaka kueleza chochote kwenye hatua hiyo mpaka kwanza nikutane na wahusika. Naomba kuwajulisha kuwa tarehe 04/04/2012 nilifanya mkutano na wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama wamachinga...
  7. John Mnyika

    Siku ya Madai ya Maji; nini cha kufanya?

    Tarehe 22 Machi ni siku ya kimataifa ya maji. Ujumbe wa mwaka huu hapa nchini ni "Maji na Usalama wa Chakula", hata hivyo tunahimizwa kuutafakari ujumbe mpya bila kuelezwa matokeo ya ujumbe wa mwaka mmoja uliopita wa "Maji kwa ajili ya Miji: Kukabiliana na changamoto mbalimbali mijini". Kazi...
  8. John Mnyika

    DAWASCO imekiuka mikataba; hatua za haraka zinahitajika kuboresha upatikanaji wa maji DSM

    Wanajamii, katika mijadala kadhaa humu mmekuwa mkigusia suala la matatizo katika upatikanaji wa maji katika maeneo mbalimbali ya Dar es salaam mara baada ya mafuriko yaliyotokea Disemba 2011 na wengine mmetaka kupata kauli yangu kuhusu hatua ambazo tumechukua kuhusu hali hiyo. Naomba kujibu kwa...
  9. John Mnyika

    Magufuli hajasema kweli; Anaficha Udhaifu wa Serikali na Wizara yake

    TAARIFA KWA UMMA UTANGULIZI Tarehe 4 na 5 Januari 2011 Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa John Magufuli alinukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akitoa madai mbalimbali juu yangu wakati akijibu kauli za Wabunge wa Dar es salaam juu ya ongezeko la nauli katika vivuko vya Kigamboni na maeneo...
  10. John Mnyika

    Waraka wa Pili wa Mbunge kwa Wananchi wa Jimbo la Ubungo na watanzania

    Katika waraka wangu wa kwanza kwenu niliwapa mrejesho kuhusu uwakilishi wa Mbunge katika mkutano wa pili wa Bunge. Nawaandikia waraka huu "Uhuru na Mabadiliko" katika mwaka 2011 wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika ambayo sasa inaitwa Tanzania bara. Lengo la waraka huu wa pili...
  11. John Mnyika

    Umakini katika madini unaweza kunusuru uchumi na kuimarisha shilingi

    NB: WAKATI NAANDIKA TAARIFA HII KWA UMMA TAREHE 28 OKTOBA 2011 DOLA MOJA ILIKUWA 1800, PAMOJA NA HATUA ZA KIFEDHA ZA BENKI KUFANIKIWA KIDOGO KUSHUSA MPAKA 1700 KWA KIWANGO CHA LEO BADO HATUJAWEZA KUREJEA KWENYE KIWANGO CHA KARIBUNI CHA CHINI YA 1600. PIA, HATUA TATU ZILIZOCHUKULIWA NA BENKI...
  12. John Mnyika

    Waraka toka Zambia: Dalili ya Ushindi wa Upinzani Tanzania 2015

    Waraka toka Zambia: Ushindi wa Sata na PF ni funzo kwa Afrika na dalili njema ya upinzani kushinda Tanzania 2015 Uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani uliofanyika Zambia tarehe 20 Septemba 2011 umetoa mafunzo mengi kwa nchi mbalimbali za Afrika na dunia kwa ujumla. Aidha; masuala...
  13. John Mnyika

    Tamko la Wabunge wa Jiji la DSM Kuhusu Kashfa ya Shirika la UDA

    Wabunge wa Jiji la Dar es salaam tumesikitishwa na tuhuma za ufisadi, ukiukwaji wa sheria, kanuni na maslahi ya wananchi katika mchakato wa ubinafsishaji wa Shirika la Usafiri Dar es salaam (UDA). Wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam tunamshukuru Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa taarifa na ufafanuzi...
  14. John Mnyika

    Maazimio ya CC ya CCM kuhusu Nishati na Madini; chama legelege huzaa serikali legelege

    Maamuzi yaliyofanywa na kamati kuu ya CCM katika kikao chake cha tarehe 31 Agosti 2011 kuhusu masuala mbalimbali yanayolikabili taifa hususani kuhusu nishati na madini imethibitisha ulegelege na kupoteza mwelekeo kwa serikali na chama hicho kwa ujumla. Aidha maagizo hayo bado ni legelege na...
  15. John Mnyika

    Kuhusu ubinafsishaji haramu na batili wa Shirika la Usafiri Dar es salaam (UDA)

    Tarehe 27 Julai 2011 vyombo mbalimbali vya habari vimemnukuu Meya Wa Jiji la Dar es salaam Dkt. Didas Masaburi akieleza kilichoitwa maamuzi ya Baraza la Madiwani wa Jiji kuhusu kuvunja uongozi wa Shirika la Usafiri Dar es salaam (UDA) na kuunda kamati ya kuchunguza matatizo katika shirika hilo...
  16. John Mnyika

    Bajeti ya Ofisi ya Rais; Kikwete na Ikulu wawajibike

    Niliyozungumza bungeni tarehe 5 Julai 2011 wakati wa mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Utawala bora na Uhusiano na Uratibu) MHE. JOHN J. MNYIKA: Mheshimiwa Spika, ninakushukuru. Ninaomba Mwenyezi Mungu aniongoze na kunilinda...
  17. John Mnyika

    DAWASA na DAWASCO ziwajibike kuondoa kero ya maji

    Pamoja na mafanikio ambayo yamepatikana kwa baadhi ya maeneo ambayo hapo awali yalikuwa hayatoki maji kuanza kupata maji; yamekuwepo pia malalamiko ikiwemo kupitia JF kuhusu kero ya maji katika maeneo kadhaa ya jimbo la Ubungo. Naomba kuwajulisha hatua ambazo tumefikia kwenye ufuatiliaji kwa...
  18. John Mnyika

    Nilichosema bungeni kuhusu mpango wa taifa (2011-2016) na Bajeti (2011/2012)

    MHE. JOHN J. MNYIKA (14/06/2011): Mheshimiwa Mwenyekiti, nashukuru kwa nafasi hii ya kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya kwenye Mpango kwa mujibu wa Kanuni ya 57 na Kanuni ya 58 ya Bunge.Mheshimiwa Mwenyekiti, kwa mujibu wa Katiba yetu, Ibara ya 63, Bunge ndiyo chombo kikuu kwa niaba ya...
  19. John Mnyika

    Mrejesho kuhusu Uwakilishi Wangu katika Mkutano wa pili wa Bunge

    Wakati wa kuomba kura nilikuja kwenu katika ukumbi huu kuwaomba mniunge mkono, kati ya ahadi nilizotoa wakati huo ni kuchukua maoni yenu na kuyawasilisha bungeni. Naomba kwa leo niwape mrejesho kuhusu uwakilishi wangu katika mkutano wa pili wa bunge kwa ajili ya kupata maoni ya kuzingatia katika...
  20. John Mnyika

    UJUMBE WA MBUNGE: Shukrani, Twende Kazi!

    WanaJF wenzangu, Nawashukuru kwa kuniunga mkono katika uchaguzi na kuniwezesha kuwa mbunge wa wote wa Jimbo la Ubungo. Tuendelee kushirikiana kutimiza wajibu katika kipindi cha mwaka 2010-2015 tukitekeleza ahadi jimboni kwa kuweka kipaumbele kwenye Akili, Ajira, Miundombinu, Maji, Uwajibikaji...
Back
Top Bottom