Search results

  1. Rene Jr.

    Cute B, Nakutafuta

    Habari zenu wakuu. Namtafuta rafiki yangu wa kitambo sana, tulipotezana mwaka 2019 hapa JF. Kama ananiskia tafadhali anicheki pm.
  2. Rene Jr.

    Msaada: Natafuta shule nzuri za Sekondari

    Habari wakuu. Kijana wangu anaandika mtihani wa darasa la saba wiki ijayo. Najaribu kutafuta na kulinganisha shule za sekondari kwa ajili yake. Anapenda sana masomo ya sayansi, hasa kwa vitendo, hivo ningependa shule ambayo wana ubunifu wa sayansi, hasa clubs hai za ushindani na walimu wenye...
  3. Rene Jr.

    Joining Instructions Mbeya Day F5

    Salaam wakuu, Kama kuna mwalimu wa mbeya day, au mtu yeyote ambaye ana access na joining instructions za form 5 mwaka huu naomba tafadhali. Nazoziona online naona ziko outdated kwa miaka miwili!!
  4. Rene Jr.

    Nyie Wamakonde Vipi?

    Huku umakondeni bana unaweza kuvunjika mbavu, kila mmoja anaongea kama nchekeshaji. Na mnavopenda kula nyie hata safari ya Buguruni Kkoo mnabeba wali kwenye rambo.....hahahaaaa. Hakyanani Ntwara vituko. Nani yuko huku umakondeni tusocialize sku mbili hizi wakuu? Ladies please, kampani za wanaume...
  5. Rene Jr.

    Msaada wa Sheria, nahitaji wakili.

    Salaam wakuu. Humu najua wanasheria wako wengi, nahitaji recommendation ya mwanasheria. Kesi ya mambo ya ardhi, ni complicated kidogo hivyo ningependa nipate mwanasheria mzoefu sana. Prominent lawyers, please. Asanteni
  6. Rene Jr.

    Naomba kujuzwa utaratibu wa kuingiza Mbao/Magogo kutoka Congo.

    Salaam wakuu, Naomba anayefahamu upatikanaji na taratibu za kuingiza mbao au magogo kutoka Congo. Nina kaproject kadogo tu kanahitaji mbao kama miamoja za miti aina ya WENGE na BUBINGA. Hata kama kuna mtu anazo mbao/magogo kadhaa za miti hiyo tafadhali naomba tuwasiliane. Natanguliza shukran
  7. Rene Jr.

    Njia za uzazi wa mpango wa wanaume

    Salaam wakuu. Naomba wataalam wanijulishe kama kuna njia ya muda mrefu ya uzazi wa mpango kwa wanaume, njia ambayo ni easily reversible.
  8. Rene Jr.

    Wapi wanauza Anointing Oil ya Shepherd Bushiri hapa Dar?

    Kichwa cha habari kinahusika. Ndugu yangu anahitaji hayo mafuta. Yeyote anayefahamu wapi yanapatikana naomba anifahamishe. Natanguliza shukrani
  9. Rene Jr.

    Nahitaji Distilled Water, lita mia5. haraka

    Kichwa cha habari kinajieleza, nahitaji distilled water, lita zipatazo mia tano. Kampuni gani inaweza kuniuzia bidhaa hiyo wakuu. Shukran
  10. Rene Jr.

    Mold za Nguzo za nyumba zinapatikana wapi?

    Salaam wakuu, nahitaji mold za kutengenezea nguzo za nyumba zenye urembo, pamoja na "pannel" za fensi. Zinapatikana wapi na kwa bei gani wakuu?
  11. Rene Jr.

    Nani wakala wa Trekta za Massey Fergason Tanzania?

    Salaam wakuu, Nahitaji matrekta ya MF mapya au used. Tafadhali anayewafahamu mawakala anijulishe wakuu.
  12. Rene Jr.

    Reggae Lovers Rock!

    Salaam wakuu, thread hii tutakuwa tunapeana updates zote zinazohusu Reggae Music. Reggae shows zinazofanyika jirani na maeneo yetu, requests za nyimbo mbalimbali za Reggae, riddims, dj mix nk. Kiufupi ukiamka unajiskia "Airee" wewe ingia humu kula reggae mwanzo mwisho. Mkuu Paw tunaomba...
  13. Rene Jr.

    Ofisi za Rula Organization ziko wapi?

    Salaam wakuu, Naomba anayeifahamu hiyo organization, wanadai wako based Iringa. Kuna kazi wwalitangaza zoom, Ndugu yangu mmoja aliomba. Walimfanyia interview ya oral kwa njia ya simu. Baada ya kama week wamemwandikia email kwamba amepata kazi na anatakiwa kuhudhuria mafunzo Dodoma mwezi wa sita...
  14. Rene Jr.

    Wataalam Wa INTERCOM, Msaada!

    Nahitaji PBX, moderate pricing tafadhali. Kama unauza vifaa vya mawasiliano tuwasiliane tafadhali!
  15. Rene Jr.

    Naomba kujua ukomo wa matumizi ya coins za BOT

    Salaam wakuu, Kuna wazo ninalo la kutumia coins (sarafu) kwa ajili ya kazi fulani. Coins nitazotumia ni za miaka ya nyuma zisizokuwa kwenye mzunguko. Sitaziharibu, lakini nitaweka sehem ambayo zitakuwa kama mapambo. Na je nikihitaji kununua sarafu hizo kutoka BOT inawezekana? Nitahitaji sarafu...
  16. Rene Jr.

    Fine ya gari isiyo na inspection bandarini ni Shillingi ngapi?

    Wakuu naomba niiweke hapa hii, nina imani hapa wanapita wahusika wengi wanaweza kutoa majibu yaliyo sahihi. Ikitokea kwa sababu moja au nyingine gari iliyotumika imeingia bila kufanyiwa inspection huko ilikotoka, TBS wanaicharge fine ya pesa kiasi gani?
  17. Rene Jr.

    Milima ya Kitonga ni Milki ya nani?

    Salaam wakuu, Kila siku huwa napita maeneo haya lakini sijawahi kujiuliza swali hili. Bahati mbaya au nzuri tulipita maeneo haya na mdau mmoja tukapata wazo fulani lililopelekea kujiuliza sehemu ya kuanzia. Je, sehemu hii ya Bonde la Ufa iko chini ya milki ya nani? TANAPA wanahusika, au...
  18. Rene Jr.

    Nahitaji Kontena 40ft haraka

    Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji kontena tupu mbili, ziwe full document na zisiwe zimekatwa, zisiwe na kutu. Cash deal ASAP.
  19. Rene Jr.

    Kaspersky Antivirus or Internet Security Keys; Anyone?

    Wakuu mwenye funguo halali za hiyo kitu tuwasiliane nahitaji haraka.
  20. Rene Jr.

    Soko la Ulezi

    Salaam wakuu. Kuna jamaa yangu amelima ulezi anao mwingi sana upcountry. Wanaodeal na mazao naulizeni soko la hapa mjini likoje, kuna mteja Wa kuweza kununua gunia 50 kwa pamoja? Bei ikoje? Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom