Search results

  1. nickname

    Confirmed: Ni kweli Tanzania imenunua ndege ya Boeing 787-8 yenye line number 719

    Kumekuwepo na uvumi kuwa eti Tanzania imenunua ndege mbovu aina ya boeing 787-8 Dreamliner ambayo ni Terrible Teen line number 19 yenye serial number 35508. Uvumi huo na uchochezi huo ulienezwa na kukolezwa zaidi na mbunge wa Kigoma mjini mh. ZK kwenye mitandao yake ya kijamii zikiwemo akaunti...
  2. nickname

    Karibu Lodge mpya Morogoro - CITY DREAM LODGE

    :welcome:CITY DREAM LODGE MAHALI ILIPO: Morogoro mjini eneo la Vibandani ukiwa unaelekea Chuo Kikuu cha SUA, karibu kabisa na 'Dolphin Inn'. Kutoka soko kuu la mjini Morogoro au benki ya NMB, haizidi kilometa moja ndani ya mji. SIFA: Ni nyumba za kulala wageni mpya iliyoanza kazi tarehe 30...
  3. nickname

    Tusker Project Fame 6 - Vote for Hisia

    Vote for Hisia to save him at #TPF6...sms TUSKER 12 send to; 15324 - If you are in Tanzania 21001 - if you are in Kenya 8338 - if you are in Uganda +254739966811 - If you are in Burundi, 15324 - If you are in Rwanda and South Sudan or online at http://tusker.mobi
  4. nickname

    Vote for tusker project fame 6

    Vote for #TeamHisia to save him at #TPF6...sms TUSKER 12 send to; 21001 - if you are in Kenya 8338 - if you are in Uganda 15324 - If you are in Tanzania +254739966811 - If you are in Burundi, Rwanda and South Sudan 15324 or online at http://tusker.mobi
  5. nickname

    Natafuta girlfriend aishiye DSM

    Hi wana JF, Natumai mko poa..Natafuta galfriend anayeishi Dar wa kuwa nae kimapenzi .Umri wangu ni miaka 28 na nina kazi nzuri tu najimudu kimaisha..Naishi hapa Dar maeneo ya Kurasini. Ambaye amekuwa Interested aniPM
  6. nickname

    Nauza Kiwanja changu DSM,Mbezi Salasala- Kinzudi

    Nauza kiwanja changu ,kipo Dar es Salaam, Mbezi Salasala – Kinzudi. Unaweza kufika kupitia Mbuyuni(Bagamoyo road). MAELEZO YA KIWANJA; Kiko umbali wa mita 200 kutoka stendi ya daladala ya Kinzudi Kiwanja ni tambarare na kina nguzo katika mipaka yake Umeme na maji yako karibu Ukubwa ni...
  7. nickname

    Rais JK afanya maongezi na waziri mkuu wa uingereza David Cameron mjini Davos

    PICHA :JK AKUTANA NA KUFANYA MAONGEZI NA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA DAVID CAMERON MJINI DAVOS Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron walipokutana mjini Davos pembeni mwa Kongamano la Uchumi la Dunia jana Januari 26, 2012. Picha na Ikulu
  8. nickname

    Nilianza mbele

    Nilianza mbele kama kawaida! lakini akawa amechoka,nikamgeuza nyuma akawa analalamika mmh!,jasho likaanza kumtoka... ...nikataka nimuweke style nyingine ili nimuwekee mashine lol! Si akaanza kulia,ikabidi nimuache.Kweli kumnyoa nywele mtoto mdogo kaazi sana!
  9. nickname

    Aipigia magoti ATM

    "Mwenzio nina shida kubwa sana najua wewe ndio wa kunitatulia shida yangu,naomba uniazime sh laki tatu tu nitakurudishia wiki ijayo,najua unazo" alisikika Wa kusoma akiiomba ATM moja(jina la benki limehifadhiwa) usiku wa manane wa tarehe 20 Desemba,2011 katikati ya jiji la Dsm. Ukata ni noma!
  10. nickname

    Mwanaume afungua zipu!

    Mbele ya mtumishi wa Mungu mwanaume akafungua zipu akaitoa akaiangaliaa! na kuanza kuiingiza taratiibu kwa mchumba wake,huku mwanamke machozi yakimtoka kwa raha aliyokuwanayo mpaka ilipoingia yote. Watu wakastaajabu hawakuamini kitendo walichoshuhudia cha mwanaume yule kumuingiza mchumba...
  11. nickname

    Vituko vya Madenge

    Madenge na Babu yake walikuwa na mazungumzo yafuatayo; BABU : Mjukuu wangu jifiche maana leo hujaenda shule na mwalimu wako huyoo anakuja. MADENGE : Babu jifiche wewe maana nimetoa taarifa kuwa sijaenda shule kwa kuwa babu amefariki.
  12. nickname

    Ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Nimepata habari za uhakika kutoka kwa Mkuu wangu wa kitengo cha rasilimali watu(Head of Human Resource-HHR) kuwa ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa serikali ni asilimia kumi na moja(11%) kwa kima cha chini na asilimia nane nukta sita(8.6%) kwa wengine wote. Kwa hiyo kama mtu alikuwa...
  13. nickname

    Mbowe alikuwa anatafuta umaarufu wa kisiasa

    Nimejaribu kuangalia na kufikiria sana kinachoendelea katika siasa za Tanzania na hasa hizi kampeni zisizo rasmi kati ya CCM na CDM. Baada ya CCM kujivua gamba na viongozi wake kuanza kuzunguka mikoani ,hasa ile ambayo CHADEMA wameshapita na kufanya maandamano,kilichoendelea ni technique ya...
  14. nickname

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Kuna mpango wa Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe wa kulipwa mamilioni ya fedha ili Viongozi wa Chadema waache kumsema Mr. Monduli kuwa ni fisadi. Mhe. Zitto Kabwe anajitahidi kwa kila hali kuzuia mpango huo. ============= Mmoja kati ya vigogo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa...
  15. nickname

    Mbowe kuiuza CHADEMA kwa mafisadi

    Katika kupitia vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali leo hii,nimejionea kichwa kimoja cha habari katika gazeti moja. Gazeti hilo linadadavua mpango wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe(Mb) wa kuiuza CHADEMA kwa mafisadi nchini Tanzania na vikao vinaendelea mjini...
  16. nickname

    Wanasiasa waenguliwa Tume ya Katiba Mpya

    Tuesday, 29 March 2011 21:20 Mwandishi Wetu MUSWADA maalumu wa kuunda Tume ya kukusanya maoni na kupendekeza muundo wa Katiba mpya ya Tanzania, unatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Aprili, mwaka huu.Habari zilizolifikia gazeti hili jana zimeeleza kuwa muundo wa tume hiyo hautawashirikisha...
  17. nickname

    Hongera Chadema

    Uchaguzi mkuu wa Rais,wabunge na madiwani nchini Tanzania ulifanyika mwezi Oktoba,2010.Uchaguzi ulikwisha na kila chama kiliambulia chake. Pamoja na CDM kulalamika kuwa matokeo ya Urais yalipikwa na kutotambua njia zilizotumika kumweka Rais madarakani lakini viongozi wa Chadema kwa busara...
  18. nickname

    pinda aagiza wakuu wa mikoa kuangalia athari za bomoa bomoa

    Mh.Waziri mkuu Mizengo Pinda akihitimisha ziara yake mkoa wa Kagera leo ametoa agizo kwa wakuu wa mikoa kuangalia athari za majengo na nyumba zitakazobomolewa kutokana na kujengwa kwenye hifadhi ya barabara. My take: Nionavyo mimi ni kuwa WM amepora madaraka ya Waziri wa Ujenzi.Hiyo ingefanyika...
  19. nickname

    Yu wapi mke wa Rais Mama Salma?

    Jamani wana JF naomba kuuliza,yu wapi First Lady mama Salma Kikwete?.Siku hizi simsikii kabisa na hata jana kwenye maadhimisho ya miaka mia moja ya siku ya wanawake duniani sijamsikia. Tatizo ni nini au ndoa imeingia mushkeri?Wenye taarifa zake naomba mtujulishe.
  20. nickname

    Regia adai kiwango cha elimu kimeshuka; PhD bungeni sawa na BA?

    Mh.Regia Mtema mbunge wa viti maalum wa CHADEMA wakati akijadili hotuba ya Rais katika kipaumbele cha Elimu amezungumzia kushuka kwa elimu nchini Tanzania. Akitoa mfano wa kushuka kwa elimu amedanganya kwa kusema eti hakuna tofauti kati ya mtu mwenye PhD na mwenye digrii ya kwanza katika...
Back
Top Bottom