Search results

  1. nickname

    Ujenzi wa nyumba: Budget ya milioni 25

    Hautaweza kujenga ukuta
  2. nickname

    Msaada lodge nzuri Morogoro

    City Dream Lodge, ipo vibandani karibu na Dolphins
  3. nickname

    Miaka 6 ya Hayati Magufuli mshahara uleule, miezi 3 ya Rais Samia Suluhu mshahara wangu umebadilika

    Mshahara umebadilika lakini kumbuka bei ya mafuta ya petroli na diesel imeongezeka...maana yake ni kuwa bidhaa zinaenda kupanda bei
  4. nickname

    Askofu Benson Bagonza: Kuweka nchi sawa ni kazi isiyoisha

    Huo ndio ukweli. Hakuna nchi ambayo ipo sawa, hata China, Japan na Marekani bado haziko sawa
  5. nickname

    Magufuli alikuwa muongo sana

    Moderators wa Jamiiforums ondoeni uzi huu...hauna faida kwa nchi hii
  6. nickname

    Rais Samia rejesha hadhi ya Ukuu wa Wilaya

    JK hajawahi kuwa DC
  7. nickname

    Msaada: Mishahara vyuo vikuu Tanzania

    Sio net , 3.5m ni basic salary
  8. nickname

    Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    https://www.jamiiforums.com/threads/rc-rose-mkoa-wa-chato-utakuwa-na-wilaya-5-kakonko-biharamulo-ngara-bukombe-na-chato-yenyewe.1875231/
  9. nickname

    Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Kikao cha RCC kimeridhia Chato iwe mkoa na utakuwa na wilaya 5.
  10. nickname

    Geita: Baraza la Madiwani laukataa Mkoa mpya wa Chato

    Wewe u muongo umeandika maoni binafsi ya watu. Walikuwa wanatoa maoni hayo kwa kuwa watu wa Geita waliona kuwa Wilaya ya Busanda yenye madini ingeenda mkoa mpya wa Chato. Makubaliano ya mwisho ni kuwa Wilaya ya Busanda inabaki mkoa wa Geita na kisiwa cha Rubondo kinabaki Chato Mkoa wa Geita...
  11. nickname

    Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

    Acha uongo, hujafika Chato. Huduma za ndege zipo kila Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi
  12. nickname

    Ombi: Serikali ituruhusu wananchi kutumia uwanja wa ndege Chato kuanikia mpunga, mihogo na mahindi wakati huu hakuna ndege

    Uwanja unatumika na ndege za ATCL zinatua kila Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi kushusha na kupakia abiria wanaotoka Dsm na wanaoelekea Dsm kupitia Mwanza
  13. nickname

    Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

    Maelezo yako hayajitoahelezi, umeshindwa kujustify kusema Tz inatumia teknolojoa ya miaka 21 nyuma wakati kwa sasa Tz inatumia teknolojoa ya 4G
  14. nickname

    RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

    Ndege zinatua kila Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi
  15. nickname

    Hivi kuna ndege imeshatua Chato tangu baada ya mazishi?

    Uwanja unatumika na ndege ya ATCL hutua uwanja wa Ndege wa Chato siku za Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi Karibu Chato
  16. nickname

    Hayati Dkt. Magufuli hakuisaidia Chato

    Wewe huijui Chato, unaifahamu kupitia vyombo vya vya Habari tu. Magufuli amefanya maendeleo makubwa sana wilayani Chato upande wa elimu. Kiufupi safari za ndege za ATCL hazijasitishwa, bado zipo kama kawa. Sisi tunaopanda ndege tunajua. Ungekuwa umeishi wilaya ya Chato usingeandika upuuzi...
Back
Top Bottom