Search results

  1. kebepa

    Mbowe akwepa mjadala unaohusu Mahakama ya Mafisadi Star Tv Live!

    Acha mambo yako. Kuna nini cha muhimu kwneye hiyo mahakama? Nini kimekosekana kwenye mahakama za kawaida ambacho kitaongezeka kwa kuwa na hiyo mahakama?? kushupalia mahakama ya ufisadi isiyokua na tija , nao huo ni ufisadi!
  2. kebepa

    Maalim Seif Atinga Washington DC na ujumbe wake

    Kwa maelezo yako, pamoja na maelezo ya Pasco, inaonyesha kuwa Zanzibar kuna tatizo kubwa la watu kubaguana na pia zinatumika mbinu mablimbali kutaka kutatua tatizo hilo bila kuangalia "root causes" za tatizo. Mbinu za kutumia "mamaluki" kwa mfano, ni njia nzuri kwa kundi moja na mbaya kwa kundi...
  3. kebepa

    Maalim Seif Atinga Washington DC na ujumbe wake

    Mkuu Baragash, maelezo yako yanaweza kuwa ya ukweli kutokana na itikadi uliyonayo kuhusu unavyotamani Zanzibar iwe. Kuna mchanganyiko wa maelezo ambayo yapo halali kihistoria, lakini pia, unachomekea mambo mengi yanayokuza itikadi yako " ya kuendeleza ubaguzi". Maneno yako hapo juu, ni maneno...
  4. kebepa

    Majipu ni matokeo ya mfumo ndani ya mfumo, mnyonge lazima akombolewe

    Mkuu , hii ni serikali ya JPM, siyo ya CCM. Maana CCM wenyewe hawaelewani na hawamwelewi JPM. Picha halisi litaonekana akipewa uenyekiti.
  5. kebepa

    Yaliyojiri: Uchaguzi wa Marudio visiwani Zanzibar - Machi 20, 2016

    Huyu Shein hakuonekana kuwa angebadilika kuwa dikteta...mmh, ama kweli, ni ile ile
  6. kebepa

    Hamad Rashid Mohammed, Wacha Kujidanganya utakua Makamu wa Rais

    Nani kakuambia kuwa hatapata hizo 10%? ushaongea na anayegawa asilimia??
  7. kebepa

    Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

    acha longolongo, hizo hela atatoa au vepe, tujue moja?
  8. kebepa

    Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

    Inabadi tubadili utaratibu viongozi wawe wanaapa kwa mizimu ya mababu (tuone kama hawatachizika wasipotekeleza viapo vyao)! Maana naona kama imekua haina maana tena kuapa kwa Mungu huyu tuliyeletewa na wazungu na waarabu.
  9. kebepa

    Walimu Dar kusafiri bure kwenye daladala

    nampongeza pia kwa sababu anataka kuibua mgogoro ambao labda utasaidia kurekebisha baadhi ya sera za usafiri pamoja na kero za walimu
  10. kebepa

    Walimu Dar kusafiri bure kwenye daladala

    Wamiliki kukubali tu siyo issue, maana wanajua kua wao sio watekelezaji! yaani hawatakua barabarani , na wanajua anayeongea nao hana uwezo wa kutoa maelekezo kwa madereva na makondakta , maana dala dala sio mali ya umma
  11. kebepa

    Walimu Dar kusafiri bure kwenye daladala

    Angefanya vema sana kuongea na makondakta na madereva , maana ndio wanaoshinda barabarani na ndio wanaosaka cha juu baada ya kupeleka mzigo kwa boss ( mmiliki)!
  12. kebepa

    Walimu Dar kusafiri bure kwenye daladala

    Okay! Ameongea na makondakta pia? madereva je? ...Wangenunua mabasi special ya walimu ingekua poa sana. Vinginevyo wanataka kuleta ugomvi!
  13. kebepa

    ZEC: Hakuna Chama wala Mgombea aliyejitoa kwenye Uchaguzi wa marudio Machi 20

    Mfalme Jecha, hahahahaha! kwanini asijitangaze kuwa yeye ndiye rais? maana inaonyesha anaogopwa hata na JPM!
  14. kebepa

    Swali la Uchokozi: Magufuli angefanya nini kwanza?

    Kwani ni kitu gani wanakifanya sasa hivi zaidi ya kutumbua majipu?
  15. kebepa

    Swali la Uchokozi: Magufuli angefanya nini kwanza?

    Kama furaha yake ni kutumbua majipu baadala ya kuzuia majipu kuota , basi hatatenda haki kwa ustawi wa nchi! Atengeneze mazingira yatakayozuia majipu yasiote! Ashirikiane na wasahauri wake kutengeneza mfumo wa kuzuia majipu yasiote kuliko kutengeneza mfumo wa kutumbua majipu na kutangaza kwenye...
  16. kebepa

    Mbowe, Seif na UKAWA kwanini mmekubali haya?

    Mkuu, ugomvi tena utoke wapi? Nilikua nauliza tu kwanini umerudi tena JF wakati unasema wale vijana ndio walifanya uondoke?? ..ila unakosea unapoanza kuongelea mambo ya kushikiwa akili, zinaweza kuwa ni dalili za kukwepa kuulizwa maswali!
  17. kebepa

    Mbowe, Seif na UKAWA kwanini mmekubali haya?

    Hapa JF wameondoka??
  18. kebepa

    Mbowe, Seif na UKAWA kwanini mmekubali haya?

    Sasa umeshaambiwa kuwa hao vijana wameondoka?
  19. kebepa

    Uchaguzi Zanzibar: Hongera Rais Magufuli kwa msimamo sahihi

    Hivi kwanini Jicha bado yupo uraiani pamoja na kuliingiza taifa katika mgogoro mkubwa na hali ya sintofahamu?
  20. kebepa

    Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

    huyo jamaa inaonekana mibange ndiyo biashara yake. Wavuta bangi siyo wasemaji kivile. Wavutaji ni wazee wa peace and love!
Back
Top Bottom