Search results

  1. Kwezere

    Club Villarpark ya Mwanza imefungwa, nini chanzo?

    Nilingia hapo mwaka 2014 siku nne lilikuwa ni Bata na pisi kali watoto wa Kinyarwanda
  2. Kwezere

    Toyota vitz Rs

    Nina Vitz yangu 990 cc ikiwa inatembea nikiwasha ac gari inakosa nguvu na ikifika kwenye kilima inazimika.Tatizo ni nini?
  3. Kwezere

    RC Makonda, je unafahamu hili kuhusu mashoga na ushoga?

    Aisee! Jana nilikuwa Cocoriko Club Arusha kulikuwa na mashoga wa kutosha.Nadhani wametokea Dar
  4. Kwezere

    Barabara mpya Kijichi

    Duh! safi sana Kijichi ndio home tokea mwaka 1988
  5. Kwezere

    Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

    Pin Point,The Don,Empire Sports Bar, Andrews, Sky Lounge,Mississippi, Bougaloo, Via Via na Cappuccino zote za Arusha ni balaa.Unakula Stereo ya kufa mtu.
  6. Kwezere

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Nimetoka na kavitz kangu Arusha to Dar halafu nikarudi Arusha.Hakuna kupumzika ni mwendo tu.
  7. Kwezere

    Wapi Hidaya wa Pepe Kalle?

    Hidaya anaishi Arusha mjini maeneo ya Kaloleni jirani na Rift Valley Lodge.Bado kafungasha balaa.
  8. Kwezere

    Nahitaji gari ya Mil 5.5 mpaka 6.5

    Nina Vitz milioni tano
  9. Kwezere

    Special thread: Kwa waliosoma shule moja na viongozi mbali mbali tukutane hapa kujua vituko vyao shuleni

    Nimesoma na Mkuu wa Wilaya ya Longido.Ni mtu wa kujituma hana majivuno wala dharau.
  10. Kwezere

    Watumishi wote wa umma sasa kupitia mafunzo ya kijeshi JKT

    Safi sana watumishi wengi wa umma walaini sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kwezere

    Queen Darlin hata kama ni ustaa hapa mamaa umezidi

    Mababu zenu walivaa nguo?Utamaduni wa uvaaji wa nguo umeletwa na wazungu ambao nao wanavaa vichupi tu.Acheni kuponda.
  12. Kwezere

    Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo

    Nina Tecno y 6 yangu iko slow.Kuna wakati screen inasomeka "jamiiforum is not responding" wait or stop.Tatizo ni nini?
  13. Kwezere

    Nipo Arusha kikazi, uchunguzi wangu mdogo nimegundua yafuatayo...

    Kwa wastaarabu tu kuna Le patio,Zest,The Don,La Fiesta,Empire bila kusahau Triple A sports Bar.
  14. Kwezere

    Nimepata mchumba Mrina bar, ni kweli mwanamke anaejiuza anaweza kubadilika tabia na kuwa mke mwema?

    Kwa taabu aliyoipata pale mrina ukimuweka ndani atakuwa mke mwema.
  15. Kwezere

    Kama ulikula hizi pipi na bado uko kwenu

    Nilikuwa nazishushia na banzoka.
Back
Top Bottom