Search results

  1. R

    Udhalilishaji katika Usaili unaofanyika na Sekretarieti ya ajira

    Ungekuwa ni wewe unasimamia kazi hiyo na endapo wote wana sifa ungefanyaje kuwaacha wengine na kuwachukua wengine? Bursara ya hali ya juu ni kuwaita kwa haki na kuwashindanisha. lakini pia, hao jamaa wana kanzidata na unaweza kufanya usaili huo mmoja ukapangwa kazi sehemu nyingine na hili...
  2. R

    Uzinduzi wa Ajira App

    Ajira Portal App ni mfumo unaorahisha utoaji huduma na hasa taarifa za uwepo wa nafasi za kazi Serikalini, unaweza kuomba kazi, ku-update information za portal kupitia app hii. Ingia play store na type Ajira Portal, utaiona na ina nembo ya bibi na bwana.
  3. R

    Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Uko sahihi na hoja yako inafanyiwa kazi. Mfumo wa online APTITUDE test system utaanza kujengwa na hivyo kuwafanya waombaji kazi kufanya usaili huko waliko.
  4. R

    Changamoto za Ajira Portal

    Sawa. Asante kwa mrejesho
  5. R

    Changamoto za Ajira Portal

    Soma ile user manual iliyoko pale kwenye portal ikuelekeze na unaweza wapigia simu kupitia namba za simu zinazopatikana kwenye portal ili wakusaidie. Mfumo sasa umekuwa mzuri sana
  6. R

    Changamoto za Ajira Portal

    HABARI; Sasa mfumo umeboreshwa kiasi kwamba kama huna sifa stahiki huwezi kuomba kazi. Ujumbe unaoletewa ni muhimu sana kuuelewa kwani ili uweze kufanikiwa kuomba, hakikisha degree/diploma uliyonayo ni sawa na zile zilizowekwa kwenye tangazo la ajira. Ukiudanganya mfumo haitasaidia. Maboresho...
  7. R

    Hali mbaya: Hospitali ya Kairuki yashindwa kulipa mishahara ya Januari

    Je, kukosekana kwa mishahara kun a uhusiano na uhaba wa wagonjwa? Je, kuna ongezekezo la vifo nchi watu kushindwa kwenda hospital? Kama huumwi, Kairuki utafuata nini? Je, umefuatilia kujua ni kwa nn hawajalipwa? Vyanzo vyao vya mapato vilikuwa nn? Think the unthinkable always
  8. R

    Wazungu wameichoka CCM, Wasituletee ya Libya

    Nimeisikiliza hotuba ya Mugabe, hakulitaja jina la Kikwete na maana halisi si hiyo hapo juu ya kile Mugabe alichozungumza. Hata hivyo, kuna tofauti ya CCM na nchi tajwa hapo juu. CCM wanabadilisha uongozi wakati katika nchi tajwa hapo juu, viongozi ni wale wale.
  9. R

    Mtatiro: Kaskazini wana Mkakati wa kwenda Ikulu

    Weka Majina Mtatiro, otherwise tutajua ni propaganda zako tu
  10. R

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Mtu aliyetaka kutulea Mradi wa kutengeneza mvua hafai kama ukoma. Tulivyo vipofu, Mpango wa MEM na MESS tunaufahamu? Serikali ya Mkapa ilianza kwa kuboresha shule za Misingi na ilipoingia Serikali ya JK ikaendeleza kwakuanza ujenzi wa shule za kata na ujenzi wa vyuo vikuu. Leo mtu anajitokeza na...
  11. R

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Pole, ukimaliza posho za utumwa ulionao utakuja kuelewa. Sipo kujadili mawazo finyu kama yako. CCM inao vijana wengi wazuri na waadilifu na EL hawezi kuwa kiongozi bora wa kuiongoza nchi sasa. Amejiuza vya kutosha na amenunua wa kutosha, hivyo upofu upo kwa watu walionunuliwa. Endapo nawe ni...
  12. R

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Hakuna hoja za kupangua, ulichoandika si hoja Bali mawazo ya kuambiwa. Unataja mitaa flani flani kuwa ana nyumba bila kuwa na ushahidi. Haya tuambie namba za vitalu vya nyumba. Za kuambiwa changanya na Zako. Uzuri mi si mwanasiasa lkn naona mnajitahidi kuchafua viongozi wote wazuri ili kuonesha...
  13. R

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Wewe Ni mpuuzi unayeandika ujumbe kwa kutumwa. Kwa ccm ya Leo, Pombe ndo anaweza kuwainua mapema. Amefanya vizuri kwenye wizara zote. Hizi Habari za kiswahili Hazina muda. Tujipange kutafuta viongozi na tuache ushabiki WA kipindi kifupi kifupi.
  14. R

    Ntatangaza Nia Mapema Machi 2015 - Dkt. John Pombe MAGUFULI

    akisimama Magufuli atakuwa Rais wetu. wala makubwa aliyofanya hayawezi kufananishwa na ufisadi wa Lowasa.
  15. R

    Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

    mkakati ulikuwa ni kupambana na Republican na sio kupambana na Hilary Clinton. kwa hilo la Mkumbo hakuna cha kutetea, mkakati ulilenga kuharibu chama chao. Bora walifukuzwa na sasa mambo yao yanaendelea vizuri
  16. R

    Habibu Mchange: Nitagombea uenyekiti CHADEMA

    Acha kashfa, mpongeze kijana kuonesha demokrasia.
  17. R

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Lowassa ni "oasis in the desert" kwa watanzania

    Mjumbe usibanwe na fikra za watu, jaribu kufikiri nje ya box. Mzee Lowasa amehudumu kwa miaka nenda rudi, hatakuwa na jipya. Anza kufikiria ambao hawajajipendekeza kama Magufuli, Migiro , Vuai, Mwinyi , Nchimbi etc.
  18. R

    Nimerudi toka Operesheni Pamoja Daima, sioni muujiza wa kuiokoa CCM!

    Duh, kwani ilikuwa ni hadi na wewe ukawa kikosi cha Ardhini?
  19. R

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Hapa suala sio kufanya jambo kwa kulipiza: Wala mimi si mwanachama wala mfuasi wa yeyote katika chadema bwana Mwekundu. Ingekuwa ni busara kwa zito ku-deal na huo waraka unaomtuhumu na sio kuandaa waraka wake wa kimapinduzi. Chadema wameukana waraka na sasa anaenda mahakamani (hii ndio njia...
Back
Top Bottom