Search results

  1. Nabii

    Balali apewe Kinga!

    Mwanakijiji kweli hapa una hoja nzito lakini ebu niichambue kidogo kisha nitoe pendekezo: Assumption 1. I.Vyombo mbalimbali vya habari, baadhi ya Asasi zisizo za kiserikali na baadhi ya watu tunadhani kuwa Balali hakuhujumu BOT na Taifa yeye pekee. Yaani alishirikiana au alilazimishwa...
  2. Nabii

    MZUNGU ana access ya siri za serikali

    Zomba Pole sana kaka, nachukulia kuwa wewe ni Mu-Islam (kutokan na maandishi yako yaliyopita), kama ni hivyo, basi naomba urudi kwa mola wako na uombe toba kwa sana. Hakuna kitu kibaya kama kuwa fitna, mwanga na mchawi. Shukrani tele Zomba kwa kunijalia sifa. Rejea katika SURATUL...
  3. Nabii

    MZUNGU ana access ya siri za serikali

    LIYUNGU, Nabii unayajua haya maana uko Holland sasa unamalizia masomo yako na wewe kila mara uko na Damian. Wewe hujawahi kusimama na kufanya kwa kujituma kama anavyo fanya jamaa mbali ya kuwa DJ kila mara. LIYUNGU, SAMAHANI JARIBU TENA KUFANYA UTAFITI WAKO VIZURI ILI TUFAHAMIANE ZAIDI NA...
  4. Nabii

    MZUNGU ana access ya siri za serikali

    Majibu ya Nabii (N) kwa Liyungu (L) L: Nabii kwenye hili umeweka uongo mwingi sana sana. Nitajibu moja kubwa la uongo. N: Lunyungu , kwa nini ujibu moja tu na siyo yote ya uongo mwingi sana sana. Ngoja tuchambue majibu yako sasa. L: Hakkenburg alivyo pata nafasi ya kuwa Konsgula sijui...
  5. Nabii

    MZUNGU ana access ya siri za serikali

    MKAMAP: Nabii Tatizo unatumia hisia zaidi ya uhalisia , BORA MIMI NITUMIAYE HISIA ZA KWELI KUTAFUTA SULUHISHO, KULIKO WEWE MWENYE KUKAA NA UHALISIA ULIOUPINDISHWA. MKAMAP: Ninavyofahamu mie Viza hua haigongwi mhuri ila inaandikwa habari mhimu za msafiri na balozi Na hua inagongwa mihuri...
  6. Nabii

    MZUNGU ana access ya siri za serikali

    Mwawado, Asante Sana Maana Kweli Inauma Sana Ni Afadhali Tujaribu Kushughulikia Tatizo Kuliko Kukalia Kutoa Kasoro Tu Na Kuogopa Tu Eti Kwa Vile Sijui Mtu Ni Tajiri Hakuna Kitu! Nitafikisha Ujumbe Mara Moja
  7. Nabii

    MZUNGU ana access ya siri za serikali

    Awali nakupongeza sana ndg. Game Theory kwa kuanzisha uzi huu hata hivyo mimi ningependekeza kuwa kichwa cha habari kingekuwa ASIYE MTANZANIA NI KONSULA WA TANZANIA UHOLANZI maana kwa kusema MZUNGU ana access ya siri za serikali, mjadala unaanza kukwepeshwa kwa kuuliza maswali kama vile je...
  8. Nabii

    Rais Kikwete na safari za nje

    Lunyungu Endelea Kunisaidia: Je Taratibu Zetu Za Utumishi Wa Umma Zinaruhusu Mtu Asiye Mtanzania Afanye Kazi Nyeti Kama Hiyo Ya Kuwa Konsula? Kama Ni Hapana Je Huyo Simon Anashinikizwa Au Na Kwa Nini Jk Amtegemee Kwa Lipi?
  9. Nabii

    Rais Kikwete na safari za nje

    HAKUNA HAJA YA KUTUMA SWALI HILI SIRINI NA KAMA YEYOTE ANASOMA HAPA NA YUKO KARIBU NA PREZO AU MAMBO YA NDANI AU UBALOZI (UBELGIJI) NAWASOGEZEA SWALI HILI AMBALO NDUGU ZANGU WA HUKO WANAULIZA KILA SIKU, LIULIZWE AU LISIULIZWE RAIS AJIANDAE KUWA NA MAJIBU AU MAELEZO YA SWALI LIFUATALO: KWA...
  10. Nabii

    Kenya Election 2007: Outcomes

    1. Ningekuwa Kibaki - haiwezekani maana kamwe sitaweza kuwa Kama Kibaki kwani najali haki za binadamu na usawa. 2. Ningekuwa Raila - Kuendeleza msimamo kwamba uchaguzi urudiwe na kusimamiwa na tume huru. Hakuna kukubali kushirikiana na Mtu ambaye mwanzoni ameonyesha kushabikia dhuruma...
  11. Nabii

    Benazir Bhutto Assassinated!!

    Jamani hakuna kitu kinanitia kichefuchefu ninaposhuhudia watu wanajaribu kurithishana uongozi wa umma kwa staili hii. Demokrasia ya namna hii huleta maswali kibao. Tunaelewa kuwa baba yako au mama yako au mke wako au mume wako akiwa kiongozi wa ngazi ya juu haikuzui wewe (mmoja wa familia...
  12. Nabii

    Kibaki amerudi Ikulu

    HII NDIYO DEMOKRASIA YA NCHI ZETU SIJUI TUNAKWENDA WAPI MAANA KWA HEKIMA KIBAKI ANGEKUBALI TU AACHIE NGAZI. ODM WABUNGE 72 NA PNU WABUNGE 24. MBONA HUKO BUNGENI KUTAKUWA NI KILA SIKU KUPINGANA NA KUTOKA NJE YA VIKAO?
  13. Nabii

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    Haya nimedesa kwa kugoogle. Please note - by this article, we are not claiming that all who are involved in Free Masonry are cultists, or that all Free Masons believe all the items mentioned below. What we are saying is this - Free Masonry at its core is not a Christian organization. There...
  14. Nabii

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Ceteris paribus, ie. top most Government Leaders not changing their leadership style and governance and the majority Tanzanian mass continues to feel betrayed Pari Passu while the situation within the ruling Party continues to exhibit impartial treatments following factional lines of Wana &...
  15. Nabii

    Mbowe na tafakuri zake...

    Safi sana hata nami nasubiri kwa hamu record zisafishwe. Lakini kabla ya hiyo mleta hoja atumwagie jamvini jinsi RECORD ILIVYOCHAFUKA. Mfano aeleze taarifa alizonazo kuwa Mbowe anasoma vyuo gani na kozi gani zisizofaa au zisizowezekana au amefikia level gani isiyokubalika kwa sasa na kwamba yeye...
Back
Top Bottom