Search results

  1. A

    Kura ya maoni ya Ubunge jimbo la Msalala CHADEMA leo

    Leo kuna uchaguzi wa kura ya maoni ya ubunge jimbo la msalala chini ya chama cha democracia na maendeleo chadema.
  2. A

    Maige aomba ridhaa kwa wanaCCM Kata ya Bugarama

    Acha wauwane watatukuta nje
  3. A

    Katibu mwenezi wa CCM Bulyanhulu ajiunga CHADEMA

    Katibu mwenezi wa CCM kata ya Bulyanhulu iliyopo wilayani Msalala mkoani Shinyanga bwana Dismas Aloyce amevua gamba leo mbele ya Kamanda Alphonce Mawazo mwenyekiti wa Mkoa wa Geita katika mkutano wa kampeni za serikali za mitaa uliofanyika katika kijiji cha Kakola.
  4. A

    NEC imekula njama jimbo la kalenga.

    Tume ya taifa ya uchaguzi imetangaza ratiba ya uchaguzi mdogo katika jimbo la kalenga ambapo imeeleza kuanza Kwa kampeni hizo tarehe 19 Feb 2014. Wakati tume hiyo ikitoa ratiba hiyo, bunge maalum la katiba linatarajia kuanza tarehe 18 Feb 2014. Tume hiyo imetoa ratiba hiyo huku ikijua kuwa...
  5. A

    Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

    Uko sawa wangu.
Back
Top Bottom