Hebu jaribu kufanya yafuatayo;
1. Badili jina lako hasa maneno ya kwanza
2. Utoke kwenye utegemezi na jaribu kuingia ulimwenguni ili ukukomaze
3. Jaribu kuangalia filamu za kuhuzunisha kama utazoea...
Otherwise, utakuja kulia sebuleni mbele ya watoto kisa umekosa ada ya mtoto kama Pinda...
Yaani hata ile akili ndogo ya utotoni ya kuambiwa "njoo hapa" na ukajua tu lazima unaenda kuchapwa na unaanza kukimbia ilikushinda....! All the way from Mwanza to Dar ulidhani unaenda tu ku-prove sura ya unayewasiliana naye? Najaribu tu kujiuliza ungeenda ukafanyizwa hivyo kwa lazima utaweza...
Mkuu nashindwa kukupata unaposema una malengo MAKUBWA na mchumba wako..... Lakini pia kama sikosei, sheria zetu zinamtambua mwanamke uliyeishi naye kwa muda huo kama mkeo halali, achilia mbali dini na pengine labda na kabila lako....! Lakini kwangu mimi nadhani yafaa sana kuishi na mwanamke...
Ni uamuzi mzuri sana, na nakusihi kila mwaka utafute kitu japo kimoja ambacho sio cha lazima mwilini mwako uitafutie utawala wako mwenyewe... After sometimes you will back here and give out the result... It will be amazing..
Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha, utaendelea kula tu....! Ukimwingilia mwanamke kinyume na maumbile, huwezi kuacha, utaendelea tu, na utatamani kumjaribu na mwanaume mwenzio, na ukishakuwa na ujasiri wa kumuinamisha mwanaume mwenzio, basi nawe utakuwa na hisia za kuinamishwa hivyo hivyo, bali...
A man is the most complex animal on earth... Though it is the most clever one, he/she can study the behavior of others and understand for 100%, but not him/her self... It is the only animal which cries at both hurting and happiest situations, the only one which can say YES, but meaning NO, and...
Nimejifunza siri ziko aina mbili tu; Ya muda fulani, na ya kwa watu fulani tu. Na kila mtu huwa na siri atakayoenda nayo kaburini, hatoisema kamwe...
Unapomtongoza mke wa mtu, usipomhakikishia kuwa mtakayofanya yatakuwa siri, ni vigumu kumpata...
Ili pesa iwe imekusaidia lazima zikutoke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.