Search results

  1. Iruru

    Kanisa katoliki Tanzania laanza kubatiza waumini kwa kuwazamisha kwenye maji mengi

    Haha kwamba yeye ndiye muasisi wa ushwetani? Hahaa
  2. Iruru

    Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Sijui kwa nini raisi hakushauriwa kwenye hili. Makonda angeweza kupewa ukuu wa mkoa lakini sio Arusha. Yeye ana doa tayari la kuondoa haki ya watu kuishi na sio yeye Wala serikali waliowahi kukana hili. Hata Magu pamoja na kuwa kipenzi chake, hili alilichukulia kwa uzito na akamtoa Makonda...
  3. Iruru

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Ila mwaka kumekuwepo na mambo mapya; kupiga na kukamatwa wasio waislamu wanaokula chakula nyumbani kwao.
  4. Iruru

    Uhamiaji: Dereva na V8 Iliyobeba wahamiaji Haramu 20 wa Ethiopia Isihusishwe na CCM

    Ni ngumu kutenganisha uhamiaji na sisiem na hivyo ni ngumu kutenganisha uhamiaji na wahamiaji haramu.
  5. Iruru

    Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Naendelea kusoma comments. Naweza pata dawa labda leo
  6. Iruru

    Waziri wa Sanaa na Michezo aombe msamaha mashabiki wa Soka la Tanzania na Kutengua kauli yake kabla ya 29/03/2024

    Huyu waziri laiti asingetoa hii kauli. Ameleta taaruku na kuna kila dalili ya mchezo kujawa na fujo. Manara aliwahi sema in public kwamba Simba wananyunyuzia wapinzani wao sumu vyumbaji, serikali haijawahi sema lolote. Kote duniani, hakuna shabiki anayechaguliwa timu ya kushangilia bali huchagua...
  7. Iruru

    Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

    Kwa hiyo tunaanza kupangiwa namna ya kushangilia mpira? Mpira ni burdani, kila mtu anajua namna ya kuburudika nao. Haya yalianza, tutaua fan base ya mpira iliyopo nchini hivi hivi.
  8. Iruru

    Komwe (frontal bossing): Sababu ni zipi? Ni njia zipi za kuzuia ili mtoto asiwe na komwe?

    Hii ni identity ya people za north. Ni moja ya tabia ya mwanadamu ya kurithi. Huwezi kilikombia wala kuliongeza. Hata hivyo komwe sio ulemavu, ni sawa na tulivyo na watu warefu ama wafupi.
  9. Iruru

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Wako wataalamu wa muandiko. Watapitia maandishi yako na kuoanisha na yanayotajwa kuwa yako. Hapa huwezi dangaya hata kidogo. Bahati mbaya muandiko hata uigize namna gani ni ngumu kubadilisha everything.
  10. Iruru

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Kuna kuunganisha dots, kama kweli mmoja alipata supplementary kwenye mtihani tajwa na alipifanya akafaulu, huu nao ni ushahidi tosha dhidi ya kesi yao.
  11. Iruru

    Kwa Wizara ya Elimu: Kuhusu cut point za kuingia chuoni kwa waliomaliza Form Six 1980s- 2014

    Kabla ya mwaka 2010, hakuna mtu mwenye D ama E ambaye angepata nafasi ya kwenda chuo kikuu.
  12. Iruru

    Kwa Wizara ya Elimu: Kuhusu cut point za kuingia chuoni kwa waliomaliza Form Six 1980s- 2014

    Zamani ipi mkuu? Mimi zamani ninayojua chuo kikuu bila point 6 kwa mvulana na 8 kwa msichana huingii. Kumbuka pia wakati huo D na E hazikuwa principal pass.
  13. Iruru

    NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

    Hizo ndoto zako wachana nazo. Hakuna hospital inayotamani kufanya biashara na NHIF, hata hizi za serikali, sema kwa sababu zinapata ruzuku otherwise huwezi enda hospitali kwa vifurushi vya NHIF
  14. Iruru

    NHIF yakusudia kusitisha Mkataba wa Huduma kwa Hospitali za APHTA Ikiwemo Aghakani na TMJ

    Hii kinyume chake. Kwa muda mrefu sana walikataa kuwapokea wateja wa NHIF. Wakati wa jiwe wakawa hawana namna.
  15. Iruru

    Fatma Karume amshauri Bashe kutotatua shida ya Sukari kipindi cha mfungo Ramadhani

    Mkuu kula ni ibada kwa kila mtu sio waislamu tu, hata wapagani. Kusema utaleta sukari wakati wa ibada ya watu fulani ni kuwadharau wengine na ibada zao za kula.
  16. Iruru

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Mkuu mbona unakana kauli zako mwenyewe. Ziko clips kibao Kikwete akikiri kwa kinywa chake kwamba lowasa likuwa zaidi ya ndugu kwake.
  17. Iruru

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Kanuni ya mahusiamo ya kijamii inakataa maandishi yako haya. Pole sana Jk. Yaani mtu unayekiri alikuja nyumbani kukushawishi ugombee uraisi anaumwa alafu usio haja ya kwenda kumpa pole kweli?
  18. Iruru

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Kuna mtu anamlaumu Kikwete kwa kumkata Lowasa kwenye uraisi mkuu? Hoja inayojengwa ni Kikwete kuwa mnyima wa fadhila alizopata kwa Lowasa hata kufikia kuwa raisi. Alikuwa na nafasi ya kuendelea kutunza urafiki wao bila kuhusisha na nafasi za uongozi wa nchi. Hili la kuongoza nchi sio jambo la...
  19. Iruru

    Fred Lowassa: Baba hakuwahi kumsaliti rafiki yake

    [emoji1][emoji1]pole Mzee. Ukweli ni kuwa hakuna uzalendo hapa ila ilikuwa njia ya kujiponyesha. Neema ya Mungu, Mzee Magu akaewatia moto mpaka mkaamua kumdanjisha.
Back
Top Bottom