Search results

  1. R

    Bernard Membe: Tanzania diplomasia imeshuka awamu hii. Tutatengwa na majirani wakiona hatufuati vigezo vya WHO kupambana na COVID19

    Nimesikiliza dw mchana huu mzee wa diplomasia kafunguka duuu... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    Eti watu wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba

    Kumefurikaaa zaidi ya simba na yanga. Umaskini huu
  3. R

    Eti watu wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba

    Anaye gawa hizo pesa ni nani na mbona vyombo vya habari wako kimya na uwanja wa taifa umejaaa wananchi na makonda ndio mgeni rasmi nilijua kuna mpira...hapa kuna jambo na wakina mama ni wengi sana
  4. R

    Eti watu wametangaziwa Leo kwenda kupewa hela uwanja wa Taifa,ambazo hazina riba

    Mgeni rasmi ni makonda ni nn kinaendelea huko taifa hapa lazima kuna dili la pesa kwa umati huu kweli hela la uchaguzi lazima zipatikane
  5. R

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Hutaki unaacha na akapotea kabisa atatuacha tushuhudie haya.
  6. R

    Vodacom msipojirudi nina masaa 48 natupa Line yenu

    Hawa jamaa nilijua ni mie tuu kumbe wote ni kuhama tuuu nami nawapa siku 3 halotel itahusika Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    Kilichomtokea Joseph Mbilinyi ni Funzo kwa Watu wenye jeuri kwa ndugu, jamaa na Marafiki tujifunze

    Write your reply...wangeenda jiwe awatatute mmoja baada ya mwingine
  8. R

    Azam Two mbona tangu jana hamuoneshi habari za saa mbili usiku?

    km sio rungu limewashukia wasitoe live tv habari maana sio kawaida....
  9. R

    Azam Two mbona tangu jana hamuoneshi habari za saa mbili usiku?

    usikute nao washapigwa pin maana haijawai tokeo na ni wao pekee habari zao huchambua
  10. R

    Tayari Dizzim FM imewashwa tukae mkao wa kula kwa Wasafi FM....

    hii dizzim mmiliki ni nani na makao yake makuu ni wapi. hongera zao
  11. R

    Pwani Kibaha: Kibaka ajisalimisha kituo cha Polisi baada ya mzigo alioiba kumng'ang'ania kichwani; mwenye mali amtua

    angatoboa mfuko ili yamwagige angekufa kwa mujibu wa mama aliyeibiwa baada ya kuitwa kituo cha polisi na kumshika nyeti za mwizi huyo na mzigo ukashuka.
  12. R

    Jimbo la Tundu Lissu lina hali mbaya, hakuna maendeleo yoyote

    anayekusanya kodi na kuleta maendeleo ni tundu lissu au serikali
  13. R

    Mkazi Dar anaomba Msaada, Mke katekwa

    mungu wangu na kuna maiti 5 zimeokotwa ufukwe wa ziwa victoria zikiwa na mawe mungu wangu tusaidie. na hili la familia moja kuna jamaa anawajua wote ndugu zake mpka sasa bado hawajapata hata mmoja
  14. R

    Walimu wa sekondari wahamishiwa kufundisha msingi Masasi mkoani Mtwara

    hv kweli mwalimu aliyesomea kufundisha sekondary tena kwa kingereza leo hii unampeleka msingi akafundishe kwa kiswahili unategemea nn kwenye elimu ya mwanafunzi tokea msingi. elimu ndio inapigiliwa misumari ya mwisho kaburini hivyooo....
  15. R

    RC Makonda aipaisha Dar, matokeo ya darasa la saba

    shule za private ndio zilizo ipaisha dar huko madawati hakuna shida wala walimu.
  16. R

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    zero na mrija wa chakula wakati mstaafu anapiga adisi hadi raisi alimkatisha asije haribu....mungu kweli yupo
Back
Top Bottom