Search results

  1. A

    TCU yafungua mfumo wa udahili wa pamoja(CAS) kwa mwaka wa masomo 2016/2017

    Wakuu msaada kuhc INFORMATION TECHNOLOGY NA TEXTILE DESIGN AND TECHNOLOGY
  2. A

    Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

    Wakuuu naomba ushauru mie nimesoma HGK na nimepata division one ya point 8 yaan BCC he naweza chukua faculty Gan tofauti na education
  3. A

    Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

    We mbona tarehe imeshapita matokeo hayajatoka na kuhc mkopo watapata wote
  4. A

    Nani aligundua shule/elimu?

    Wanajukwaa naomba msaada kwamba nani aliyeanzisha shule au elmu hapa dunian?
  5. A

    Naomba msaada wa ushauri ipo vp km nikijaza hv kwa udahili wa chuo kikuu mwaka huu?

    jaza bachelor of science eduction coz ajira hapa zinapatikana.
  6. A

    Rais Kikwete ziarani Australia

    duh!yaan xafari haziishi??
  7. A

    Combination za shule ya sekondari nsumba

    Kwa yule anayejua michepuo ya shule ya sekondari nsumba naomba anijuze.
  8. A

    Msaada:je division three ya point 25 nina weza kuchagulia kwenda khdato cha tano?

    Wanajamii forum naomba msaada. me nimemaliza kidato cha mwaka jana na nipata division three ya point 25 je naweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tana? Madaraja niliyo yapata ni kama ifuatavyo: PHYSICS:D CHEMISTRY:C BIOLOGY:B B/MATHEMATICS:C KISWAHILI:+B HISTORY:D GEOGRAPHY:C CIVICS:C ENGLISH:B
  9. A

    Kwa mwenye tetesi kuhusu matokeo kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anijuze.

    matokeo haiwez kutoka leo coz leo ni sikukuu labda mpaka jmos yani 15/2/2014
  10. A

    matokeo ya kidato cha nne 2013

    kwa anaejua matokeo ya kidato cha nne 2013 yanatoka lini naomba anifahamishe.
Back
Top Bottom