Search results

  1. M

    Wakazi wa jimbo la Kinondoni

    Naunga mkono wazo, ukizingatia Kinondoni ndiyo tunabeba jina la Wilaya. Kwa kweli tunapaswa kubadilika wana wa Kinondoni, tunao watu makini ambao wanaweza kufanya mambo makubwa sana kuliko huyu jamaa. Ukizingatia sisi tupo mjini na ndipo tunahistoria ya kubwa ila tunashindwa kufanya mabadiliko...
  2. M

    Ngeleja kikaangoni

    Mh. John Mnyika Mbunge wa jimbo la ubungo, leo jioni ktk kikao cha Bunge amemtaka Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Ngeleja ajiuzuru baada ya kushindwa kuwajibika. Moja ya hayo ni kushindwa kusimamia baraza ili kutekeleza makubaliano 26 ya Bunge baada Sakata la Richmond kutokea. Mh...
  3. M

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    Katika mjengo wa Bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania hapa mjini Dodoma, Bunge la CCM linapitisha muswada wa wao wa kuanza mchakato wa uundaji wa Katiba mpya ukiwa na masharti magumu sana kwa wananchi amabao watakaihoji tume teule ya Raisi ya kukusanya maoni. Moja ya sheria kali na...
  4. M

    JK kumuokoa Jairo na Luhanjo?

    Hizo PhD za kishemeji mimi sizitambui, ninatambua PhD kama yangu niliyikalia darasani na kufanyia utafiti. Hizo PhD za kupeana ili usipotezewe ugali mimi zizitambui hata kidogo. Mnadhalilisha Dr. Magufuli.
  5. M

    JK kumuokoa Jairo na Luhanjo?

    Raisi JK ameingia Dodoma kwa ndege asubuhi ya leo. Kwa muda huu inasemekana yupo ktk kikao na wabunge wote wa CCM ktk ukumbi wa Pius Msekwa. Moja ya ajenda ya kikao hicho ni kushinikiza wabunge wote wa CCM wawe kitu kimoja hapo kesho ktk kuchangia ripoti ya tume iliyochunguza sakata la Jairo...
  6. M

    Bora Upofu wa Macho Kuliko Upofu wa Akili

    Ni kwa mara nyingine tena Serikali ya CCM imewathibitishia watanzania kuwa wao ni wapofu wa Akili na siyo wapofu wa macho. Kitendo cha Spika wa Bunge na wabunge wao wa magamba kuusoma tena bungeni mswada wa Katiba mpya licha ya Raia, Wanaharakati na Wasomi kukataa mswada huo usiende Bungeni...
Back
Top Bottom