Sababu kubwa ni mwanaume kushindwa kufanya majukumu yake ya msingi kwa familia. Endapo wanaume wote tungetumiza wajibu wetu kwa familia, hakika wanawake wasingelilia haki sawa
Nyie simba ni wakubwa kuliko Yanga kimataifa hilo linafahamika. Ila kumbuka record huvunjwa mzee na mpira wa sasa umebadilika sana.
Mnajifariji kwa historia utadhani mmekua watu wa porini
Raha ya mpira wa bongo ni huwezi shangilia ushindi wa timu yako bila kubeza upande mwingine.
Upande wangu nimefurahi Tanzania kuwa nchi pekee msimu huu kupeleka timu mbili robo fainali
Mimi sio muumini wa kuwatambishia wanaokula biliani leo kuwa mimi nilikula miaka iliyopita. Kwani naamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.