Search results

  1. Anyisile Obheli

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hizi ni picha za Mikunduge hamna warembo humo[emoji23] Sent from my A063 using JamiiForums mobile app
  2. Anyisile Obheli

    Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

    Aah ok asante Ila bado tuko nyuma wenzetu unaweza ukute new model gari let say 2023 lakini akatumia plate number ya miaka Mingi
  3. Anyisile Obheli

    Msaada: Gari hii ya milioni 9 inafaa? Nipeni uzoefu nisije nikapigwa

    Sijasema hivyo au kupinga Ila nimeuliza tu Mfano gari ikiwa katika Hali nzuri basi huwezi nunu kisa plate ni D ?? MSINGI wa swali number Moja ni je tunanunua plate number au gari
  4. Anyisile Obheli

    Wauza smartphone tukutane hapa

    320 ndugu simu iko na screen protector mpya na cover mpya, utafurahi Pia tuna Nothing Phone 1 hii inasimama 850
  5. Anyisile Obheli

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mbona hamnunui Oppo yangu A55, 128gb with 4ram blue [emoji838] hebu leteni pesa Bana Simu IPO Kkoo Msimbazi/Lindi
  6. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Poa ndiyo shida ya Watoto wa kikeni huwa mnasumbua Sana dada walituletea shida kwa kuzaa na wageni
  7. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]lakini kama hatujakualika na shida zetu hazikuumizi wewe umeingilia wapi na kuanza kuumia sasa. I think you should not allow your rotten mouth to speak bro umesema sina akili asa kama unazo Una maintain vipi kujibizana nami
  8. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Umejuaje kama nimetumia akili za kichwani kufikiri na siyo akili ya magotini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wake up from your box bros, don't come here and spit these nonsense instead
  9. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Inawezekana kwa sababu Wapemba wengi ni Watoto wa kikeni si kiumeni ndiyo maana wengi hawana ubin wa kiasili wengi Wana ubin wa Kihindi, Kiyemeni, Kibangaladeshi, Kiarabu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni Watoto wa dada zetu wa kounguja waliozaa na wageni lakini waunguja...
  10. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Hapa ndipo napata shida Sana kuelewa hii slogani ya Wazenji kujisifu Kimaarifa then kutwa Kucha wakilia kuwa Yule aso na maarifa Mtanganyika amewakalia Can you please be open inahere!
  11. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Watu wa visiwani kinachowakwamisha ni kaunafiki Tu, na huu Mungano si kweli kwamba hamuupendi mwasema msichokiishi na kuishi msichosema. Hiyo Ngoma na mduara wenu wa hatuutaki Muungano ukipigwa sasa wala hakuna wa kuwabishia Ila mmefyata kwa sababu mnazozijua
  12. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Swali zuri unajua mengine si kikanuni ni kufanyiana uhaini me nna lessen yangu ya Nje ya TANZANIA na huwa nitumia Tanzania how zenji na DL ya JMT?
  13. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Yep lakini sasa mwasubiri nini kujitoa wakati mna njia nyepesi??? Sina hakika kama mwalazimishwa au mnashindwa kwa sababu mna maslahi ambayo huwa mnajifanya hamuyaoni. Samia Mzenji, Mwinyi Mzenji si ndiyo ilikuwa so simple tena na zile nyimbo zenu za tunataka Nchi yetu zingeshamiri uzuri...
  14. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Hizi Stori za Mitaa ya kisonge au jawz corner [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Asa ninyi ambao mna Nchi yenu mbona kama mwisho hapo nawe umelalamika kuwa mwalipishwa ushuru wa bidhaa zenu huku bara[emoji848]
  16. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Ajabu eti leseni ya iliyotolewa na JMT iwe haramu kwa Serikali ya Mapinduzi
  17. Anyisile Obheli

    KWELI Mtanzania Bara huruhusiwi kuendesha gari Zanzibar bila kuwa na kibali maalum

    Ni sheria za kibaguzi wa kidini, ubaguzi wa rangi na ubaguzi wa kiasili wala hatuna namna ya kutouita ubaguzi Ukiwa Islmaia hakuna sheria hiyo Bana [emoji1787][emoji1787]
  18. Anyisile Obheli

    Why Kenyan women are having a hard time finding love in the Diaspora

    For Kenyans women mapenzi is an employment
Back
Top Bottom